mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shairi: Kama mnataka mali

    Shairi bora kupata kutokea 1. Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali, Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali, Wakataka na kauli iwafae maishani. 2. Akatamka mgonjwa, ninaumwa kwelikweli, Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali, Roho naona yachinjwa...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Nilifungiwa akaunti zote za bank za kampuni yangu. Nikafungiwa akaunti zote za biashara. Hata akaunti yangu binafsi ya mshahara wa ubunge ilifungwa toka mwaka 2018, nikazuiwa kupokea mshahara ambao ni haki yangu kisheria" Mhe.Freeman Mbowe akizungumza na wanahabari. My Take: Natengua msamaha...
  3. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Kiafrika ya Ubuntu inavyoweza kusadia kupambana na ubadhirifu wa mali za Umma Tanzania

    Ubuntu ni falsafa ya Kiafrika inayosisitiza ushirikiano wa jamii kama msingi wa maisha bora. Ubuntu ni neno la Kingoni linalotafsirika kwa Kiswahili kama "mtu si mtu bali watu". Msingi wa falsafa hii ni mtu si mtu bali watu. Katika lugha ya Kihaya "Omuntu ti muntu ka ataliho bantu". Falsafa...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Kudhibiti wizi wa mali za umma Baraza la mawaziri lisiwe na siri

    Aliyekuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Musa Assad amesema ubadhirifu unaotokea kwenye baadhi ya wizara huwa hauna maelezo zaidi ya kusema 'Ni maamuzi ya Baraza' Amesema suala hilo linafanya kuwepo kwa mianya ya rushwa na matumizi mabaya ya mali za umma, hivyo ni vizuri kuwa na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wasanii na wote mliojaliwa mali

    Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Baba anataka kuuza mali, hataki kunigawia mimi mwanae

    Habarini ndugu zangu, poleni na majukumu ya kazi, naombeni ushauri wenu maana nimeshikwa na gadhabu sana tangu siku ya jana. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 39, na kwetu tumezaliwa watatu tu mimi nikiwa wa kwanza, elimu yangu ni degree 1, baada ya kumaliza chuo na kukosa ajira nikawa tu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Corona haina kinga kwa maana ya Chanjo - Jikinge kwa hali na mali chukua tahadhari

    Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie. Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
  8. JamiiForums Tanzania Mpira ni fedha na mali: Orodha ya clubs zilizoingiza fedha ndefu 2020/21

    Yanga mmechagua porojo mtavuna porojo. Simba Sc ileeeeeee ni moja kati ya vigogo wa Africa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Malighafi zinazotumika Tanzania kutengeneza barakoa zinatoka nje au zinazalishwa na rasilimali zetu?

    Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume kadhaa wanaishi kwenye ndoa kama wako gerezani kwa hofu ya kagawana Mali

    Itakuaje sasa tukiachana ama mama watoto akitaka tuachane?? Mwendo wa pasu kwa pasu
  12. JamiiForums Tanzania CHAN FINAL: Morocco yaifunga Mali 2-0 na kutwaa ubingwa

    The Atlas/Morocco wanaandika historia ya kubeba ubingwa wa michuano ya CHAN mara mbili mfululizo. 2018 🏆 2020 🏆 Rekodi kwa miamba ya Atlas. Baada ya kuitungua Mali 2-0 kwenye mchezo wa fainali ya CHAN, timu ya taifa ya Morocco inakuwa timu ya kwanza kutwaa taji hilo mara mbili mfululizo...
  13. JamiiForums Tanzania Mali iliyoko Singida ni utajiri kwa watu wake na Taifa

    Wakuu, Mjadala unawekwa mezani kuhusu fursa za kiuchumi kutokana na rasilimali asili zilizoko Singida 1. Safu za mlima Sekenke hadi Makutupora ina mkanda wa madini ya Dhahabu. Wajerumani walivuna sana madini hayo na jinsi ya usafirishaji wake ilikuwa wanatumia mitaro ya zege. 2. Zao la...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie Wananchi tunaopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Tanroads wanatusumbua sana kutulipa fidia ya mali zetu

    Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa Nduli uliopo katika manispaa ya Iringa. Baada ya kuelimishwa wananchi hatukuwa na pingamizi la mradi...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna hatua ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
  16. JamiiForums Tanzania Sankoré University: Among the oldest in Mali Empire and West Africa

    Modibo Mohammed Al-Kaburi was a distinguished scholar and professor at the Sankoré University, Mali Empire, in the 14th Century. The Sankoré University was capable of housing 25,000 students and had one of the largest libraries in the world with roughly 1,000,000 manuscripts Modibo Mohammed...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea kutumia mali badala ya maarifa

    Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo. Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Tunaendelea kutumia mali badala ya maarifa

    Hadhi ya mtu, jamii au taifa hutokana na vitu viwili tu; mali/rasilimali au akili/maarifa waliyonayo. Yaani utajiri hutokana na matumizi ya kimoja wapo kati ya vitu hivi au vyote viwili kwa pamoja na kinyume chake umaskini hutokana na ukosefu/upungufu wa hivyo. Kwakuwa si rahisi sana kwa mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Kifungo cha Miaka 15 gerezani kinaweza kumkabili "Mtoto wa Siri" wa Rais wa zamani wa Algeria kwa tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali

    Mwaka mpya unaonekana kuanza vibaya kwa 'mtoto wa siri' rais wa zamani wa Algeria aliyeondolewa madarakani, Abdelaziz Bouteflika, anayejulikana zaidi kwa jina la Madame Maya baada ya upande wa mashtaka kuomba kifungo cha miaka 15 kutokana na tuhuma za rushwa na ubadhirifu wa mali zinazomkabili...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili miaka mitano ya tumbuatumbua na matumizi mabaya ya mali za umma

    Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila siku ni kweli Basi Tanzania tunaongozwa kwa kuwa na mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi. Tunateua watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…