mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wizi wa mali za Umma ni reflection ya jamii ya watu wasiostaarabika

    Kwa hasira kabisa ni wafokee wezi wote wa mali za umma. Jamii yoyote iliyostaarabika inatizama mustakabali wa vizazi vijavyo. Unapoiba pesa au mali za umma ni kielelezo cha ubinafsi kama mtu mmoja lakini kwa jamii nzima ni reflection ya kuwa jamii hiyo haijastaarabika. Vipo viashiria vingi...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna members kila mada za wezao wao ni kupinga na kukatisha tamaa

    Labda nina pasaka chache na eid chache humu JF, Jamiiforums bila watu sio kitu Tena wazee wanachoka au labda wana majukumu mengi ata muda wa kutype hawana, tupo new generation tunalisongesha gurudumu hapa JF. Inawezekana Kuna member walifanya makubwa kwenye majukwaa humu JF na mada zao...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto aliwahi kuniletea mali, nikashindwa kujiongeza

    Hivi kwa nini mwanamke wengi huwa hawawezi kuomba penzi. Yaani hawawezi kusema leo nataka unifanye?! Jambo hili liliwahi kunigharimu ndugu yenu miaka hiyo nikiwa mshamba-mshamba kwenye tasnia. Mtoto nilianza kumpenda sana akiwa mwanafunzi wangu wa tuition nikiwa form six. Nikamtongoza miaka...
  4. JamiiForums Tanzania MALI ZANGU NI ZA WANANGU.

    Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras. Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Mali zangu ni za wanangu

    Wengi wetu wa rika langu wazazi wetu hasa baba zetu walikuwa wanatuambia "Hizi mali ni za kwangu na mke wangu mkatafute vya kwenu",well there was ni option to accept their concern during those eras. Kwa bahati mbaya mimi sijawahi kulelewa na baba na mama hivyo si muhanga wa hiyo kauli,sasa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mali asili ni mali ya uhakika: Bila utajiri wa mali asili saa hii tungekuwa tumeisahau Urusi.

    Vikwazo vya kiuchumi alivyowekewa Urusi, hakuna taifa ambalo lingeweza kuvistahimili kama ilivyoonyesha Urusi. Hata mataifa ya magharibi ikiweo Marekani yameachwa midomo wazi, hawakutegemea!! Urusi imepata wapi jeuri hii?? Jibu lipo kwenye utajiri wa mali asili ilizo nazo urusi na ambazo...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Saalah (Silent Ocean): Anavyotakatisha na kutorosha pesa nchini, Uhujumu Uchumi, Kuteka na Kutesa watu, anavyolindwa na viongozi

    Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo nikapokea simu kutoka kwa Salah (C.E.O) au Simba wa Bahari akinitaka ndani ya wiki moja niwe nimetimiza...
  8. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

    Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake. Nakupa saa 72

    Kwa leo sitaandika mengi. Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu. Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June...
  10. JamiiForums Tanzania Mali: Wafanyakazi wawili wa Shirika la Msalaba Mwekundu watekwa

    Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal. Mali imekuwa na changamoto ya usalama tangu Mwaka 2012, matukio ya utekaji na kisha watekaji kutaka fedha ni ya kawaida kutokea...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza ukaoa halafu ukagoma kutoa mahari?

    Inawezekana ukafunga ndoa bila kutoa mahari, yaani hata ukiambiwa utoe ukagoma? Mahari ni lazima ili kufunga ndoa? Mfano mmekubaliana mnaenda kufunga ndoa ya kiserikali au kanisani. Kuna kigezo cha kuwa mahari lazima iwe imetolewa?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

    Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana leo tarehe 2 Machi, 2023 kwa ajili ya kusikiliza pamoja na mambo mengine shauri la mapitio (Review) ya uamuzi wake wa tarehe 9 Januari 2023 kati ya Feisal Salumu na Klabu ya Young Africans kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mtoto wa kiume apewe support kubwa ya ari na mali tofauti na wa kike

    Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike. Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe: Awamu ya Magufuli watu waliporwa mali na fedha

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema miaka saba iliyopita ilikuwa ya bonde la maumivu makali kwa wananchi wote. Alitaja maumivu hayo akihusisha wale waliofungwa magerezani na watumishi waliofukuzwa kwa kigezo cha vyeti feki. Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Njombe alipokuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Sarah kudai mgawanyo wa mali ambazo hakuhusika nazo kuzichuma? Tuendelee kukataa ndoa?

    Kwamba wakati mwenzake anapamba na kukata mauno huku bongo, yeye alikuwa anakula raha Italy, ila ghafla anakuja mtu kudai apewe nyumba na mali zote, na mahakama imekubali, kwamba tuendelee kukataa ndoa? Diamond platnumz ana akili sana, msimlaumu kwa uamuzi wake wa kuzaa na kulea watoto wake tu...
  16. JamiiForums Tanzania Mlioko nchini Mali mbona hamtupi Updates zenu za Mganga wenu Kuzuiliwa tena Airport kama kule Tunisia?

    Si huwa mnasema kuwa Simba SC tu pekee ndiyo Walozi ( Wachawi ) kwa Soka la Tanzania? Na akirejea Tanzania mtatuambia hayo Manyoya ya Sungura na Bundi aliyabeba ya nini kwenda nayo nchini Mali. Tukutane baada ya Mechi Usiku Ok?
  17. JamiiForums Tanzania Kwa nini mtoane Roho kwa mali alizoacha baba? Ijue Sheria ya MIRATHI, WOSIA na Usimamizi wa mali zitokanazo na Mirathi

    Binadamu wote ni lazima tupitie kifo ikiwa ndio mwisho wa maisha yetu hapa duniani. Wakati wa uhai mtu unaweza kumiliki mali zinazohamishika na zisizohamishika mahali tofauti tofauti ndani au nje ya nchi ya Tanzania. Kuondoka kwako duniani kwa njia ya kifo hakufanyi mali zako zipotee kwa...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Nimezisoma sheria za urithi katika Uislam, nikiri kwamba zipo kwa haki

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kiislam mgawanyo wa urithi uko kama ifuatavyo: Wajane hurithi 1/8, Wengi huendelea kutunzwa na watoto wao na nimeona kwa huu mgao unalinda wasiwe na tamaa za kutaka mwanaume afe ilinwapate mali, k Wazazi - Wazazi hupewa 1/6 ya salio baada ya kuondoa fungu la...
  19. JamiiForums Tanzania Namna wenzetu wanavyoona aibu kuiba mali za Umma

    Kuna kipindi nilikwenda Japan kwa shughuli flani. So nikawa nacheck news kwenye television, na uzuri Station niliyokua naangalia ilikua inatumia lugha ya Kiingereza katika kurusha matangazo yake so nilielewa vizuri tu kilichokua kinazungumzwa. Mtangazaji alitangaza kwamba kuna maiti ya...
  20. JamiiForums Tanzania Fahamu mambo matatu (3) muhimu kwenye maisha hapa duniani

    FAHAMU MAMBO MATATU(3) KWENYE MAISHA HAPA DUNIANI [ ] MUDA. [ ] URAFIKI. [ ] UPENDO. • Asalaam allhkum | habari za wakati huu... Kijana unatumia vipi muda wako katika (nyakati hizi) Muda ni mali aya muda unakuwaje mali sasa .je ?tunatumia mitandao kufanya mambo SAHIHI au ndo kupoteza muda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…