malezi ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Je, Watoto wanaolelewa bila vipigo hawana maadili?

    Kwa nchi yetu Tanzania vipigo kwa watoto inaonekana ni jambo la kawaida sana, na huku baadhi wakipongeza jambo hilo kwa kuona ndio msingi bora wa malezi kwa watoto unaowafanya kuwa na maadili, hofu, kusikiliza na kutekeleza maagizo ya wazazi aidha kwa kutaka au kutokutaka kwa kuogopa kuadhibiwa...
  2. Jamaa Fulani Mjuaji

    Wazazi tumefeli wapi katika malezi ya watoto wa "2000" tujisahihishe

    Wanajukwaa Nakuja Hapa kwa Moyo Mzito Sana Na Umejaa Majonzi Makali Mno Hasa Watoto wa Kike kwa Kizazi Hiki Cha 2000. Mabinti wengi Karibia 85% waliozaliwa 2000 Wameshaharibika naongea nikiwa na ushahidi Tosha na Asilimia Yote hiyo mabinti wanatumia "LAINI MBILI" au "WANAPIGA MIGUU YOTE" tena...
  3. The mission 2017

    Ustawi wa Jamii wana wajibu gani katika kusimamia malezi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira Magumu?

    Salamu wana bodi. Kuna haja ya ustawi wa jamii kuongeza mikono yake kuwafikia watoto hasa walio na umri wa chini ya miaka 5, wanao ishi katika mazingira magumu. Kuna wakati, Dunia inazunguka na kumuweka mtoto katika mazingira magumu sana, mpaka unajiuliza mtoto ameikosea nini hii dunia mpaka...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo alelewe na baba au mama ambaye si wake. Atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto

    Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo, alelewe na baba au mama ambaye sio wake. atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto mpaka atakapojitegemea. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Moja ya matatizo àmbayo hayazungumziwi ndàni ya jamii yetu ni pàmoja na changamoto ya Watoto...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nancy Nyalusi Asisitiza Wazazi Kuogeza Umakini wa Malezi ya Watoto Wao

    MBUNGE NANCY NYALUSI ASISITIZA WAZAZI KUONGEZA UMAKINI WA MALEZI YA WATOTO WAO "Tunalala nao, tunakula nao, tunaenda nao shambani; sasa hivi kuna baadhi ya watu roho ya utu hawana tena. Mtu anaweza akamuingilia mtoto wa mdogo wake, mtoto wa dada yake. Hali ni mbaya, nawaomba Mama zangu...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oliver Semuguruka Aguswa na Malezi Duni kwa Watoto, Kagera

    Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wanawake Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka maarufu "Twiga" amewataka wazazi kuwa karibu na watoto wao na kuwalea katika maadili ya Kitanzania ili wawe raia wema. Mhe. Oliver Semuguruka Ameyasema hayo wakati akihitimisha ziara yake mkoani Kagera ambapo...
  7. N

    Watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga

    Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku. Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku...
  8. R

    Hivi wazazi mnajua hatari kiasi Gani inawakabili watoto WADOGO mnaowaachia smartphones muda wote?

    Salaam, Shalom!! I declare interest, Mimi Rabbon ni baba wa watoto wengi, mtoto yeyote popote ni mwanangu sababu Mimi ni mwalimu wa watoto kiimani na kiroho. Twende haraka kwenye mada, zipo athari nyingi wazazi mnawaletea watoto wenu Kwa kujua na wengine kutojua. Ninakutana na cases...
  9. copyright

    Niliyezaa naye hataki kunipa mtoto wangu, nifanyaje?

    WanaJF kwema? Miaka tisa iliyopita nikiwa job kwangu alipita mdada mmoja wa makamo ila kanizidi miaka kadhaa, mi nikamuomba namba baada ya kusalimiana na akanipatia tukaanza kuchat na kuwasiliana sana mana ye hakuwa akiishi maeneo ya karibu na mimi. Tuliendelea kuchat kwa muda tuu na alinambia...
  10. Humble beginnings

    SoC04 Tanzania Mpya: Nchi itoayo fursa kamili kwa mtoto wa kike kutimiza ndoto zake bila vikwazo

    Utangulizi Watoto wa kike nchini Tanzania wanakabiliwa na changamoto mbalimbali katika safari yao ya maisha. Changamoto hizi huanzia chini kabisa kwenye malezi na ukuaji wao na huzidi kuibuka kadiri wakuavyo katika nyanja mbalimbali kama elimu, jamii, uchumi, na uongozi. Hali hii hupelekea...
  11. ERTUGRUL BEY

    Wazazi muwe makini sana na hizi cartoon kwa watoto

    Je, umeshawahi japo siku moja moja kukaa na wanao na kuangalia cartoon na kuona yaliyomo? Kuna jamaa mmoja wa karibu sana aliniambia siku moja amekaa home amechill na wanae wanaangalia katuni, akaona matukio ya vikatuni vya kiume vinakisiana, kwakweli anasema alishtuka sana kuona maudhui hayo...
  12. Shining Light

    Athari za uchumi imebadilisha malezi na maadili kwa watoto

    Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na watoto wao. Hata hivyo, sasa inawalazimu kuwa na watu wa kuwasaidia kulea watoto kama dada wa kazi au...
  13. J

    RC Chalamila: Wazazi wa Dar es Salaam acheni mzaha, mnaharibu watoto

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao. Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga...
  14. M

    SoC04 Tanzania tuitakayo ni elimu itolewe kwa jamii kuhusu malezi ya watoto hususani Vyuo Vikuu

    Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake. Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
  15. GoldDhahabu

    Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  16. A

    SoC03 Mapungufu yaliyopo katika malezi ya watoto na nafasi ya wataalam

    Malezi ni jambo ambapo Kila mtu/mwanajimii anapaswa kulitimiza. Malezi pia hutafsiria kwa namna tofauti kulingana na mtazamo wa wahusika, ngazi za elemu na pia aina za kazi au kipato hivyo kutupatia aina za malezi ambazo ni kulingana na maisha yetu na utamaduni. Mara nyingi tumekua na kawaida...
  17. H

    SoC03 Tusimame kwenye nafasi zetu katika malezi ya watoto, ajira kwa watoto ni ukiukwaji wa haki za watoto

    UTANGULIZI. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali, wazazi, jamii, Asasi za kiraia, wadau wa Elimu, na taasisi za kidini katika kuhakikisha suala la malezi linakuwa jukumu la kila mtu katika jamii, suala hili la malezi ya watoto bado limekuwa na changamoto kubwa sana kutokana na...
  18. Nyendo

    Hisia za watoto ni njia yao ya mawasiliano jitahidi kumjua mtoto anaashiria nini

    Hisia za mtoto ni sehemu muhimu ya maendeleo yake ya kijamii, kiakili, na kimwili. Ingawa uwezo wa kueleza hisia unaweza kuwa mdogo katika hatua za awali za maisha ya mtoto, wanapokuWa wanakua, wanapata uwezo wa kutambua na kueleza hisia zao. Katika miezi ya mapema ya maisha, watoto wanaweza...
  19. Wand

    KWELI Kuota kwa meno siyo chanzo cha tatizo la kuhara kwa watoto

    Kumekuwa na mazoea katika jamii mtoto anapoanza kuota meno huanza kuharisha na hivyo kuaminika kuwa meno yanasababisha mtoto kuharisha. Ukweli ni upi?
  20. R

    Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
Back
Top Bottom