malezi ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Hisia za watoto ni njia yao ya mawasiliano jitahidi kumjua mtoto anaashiria nini

    Hisia za mtoto ni sehemu muhimu ya maendeleo yake ya kijamii, kiakili, na kimwili. Ingawa uwezo wa kueleza hisia unaweza kuwa mdogo katika hatua za awali za maisha ya mtoto, wanapokuWa wanakua, wanapata uwezo wa kutambua na kueleza hisia zao. Katika miezi ya mapema ya maisha, watoto wanaweza...
  2. Wand

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuota kwa meno siyo chanzo cha tatizo la kuhara kwa watoto

    Kumekuwa na mazoea katika jamii mtoto anapoanza kuota meno huanza kuharisha na hivyo kuaminika kuwa meno yanasababisha mtoto kuharisha. Ukweli ni upi?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mamilioni ya pesa anayotaka Jackline Mengi kwa ajili ya malezi ya watoto wake haya hapa!

    Mahakama imeeleza kuwa uamuzi wa kiasi halisi kinacholipwa lazima ufanywe kwa kuzingatia njia na hali ya maisha ya baba. Mawasilisho na viambatanisho vinadhihirisha kuwa kabla ya kifo cha marehemu alikuwa akitoa kiasi kilichoombwa kutokana na uwezo na hadhi yake. Marehemu alikuwa baba mzazi wa...
  4. prince basho jr

    JamiiForums Tanzania Wazazi wajikite kujenga misingi bora ya malezi ya watoto wao

    WAZAZI WAJIKITE KUJENGA MISINGI BORA YA YA MALEZI YA WATOTO WAO. Kasi ya mabadiliko ya hali ya maisha imekuwa ikitengenisha wazazi na watoto wao hadi kufikia wazazi kukosa muda wa kutosha kukaa au hata kuishi na familia zao kwa muda mrefu katika Dunia ya sasa. Katika Dunia ya sasa sio jambo la...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Malezi ya Watoto kipindi wakiwa kwenye Balehe

    Huu ni wakati ambao mabadiliko mengi katika mwenendo wa maisha ya mtoto hujitokeza ambayo hutokana na homoni ambazo husababisha mabadiliko ya kimwili, kiakili, kihisia, na mahusiano yake kijamii pia. Katika umri huu, watoto hufanya uamuzi wenyewe kuhusu marafiki, michezo wanayoipenda. hisia za...
  6. Dr NGWAKWA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mama yangu ni mwanamke jasiri...

    MAMA YANGU NI MWANAMKE JASIRI Naitwa Moza Nilizaliwa Migato iliyokuwa wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga, Ambayo Hivi Sasa Ipo wilaya ya Itilima Mkoa wa simiyu. Mimi Ni mtoto wa sita (6) Kati ya watoto (12) aliobahatika kupata mama yangu, Ambapo Kati ya hao wanane (8) ndio wako hai huku wanne...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muda katika malezi ya watoto na athari zake kwenye maisha ya mtoto na jamii yake

    Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO Utoto hauepukiki lakini je watoto wengi wanafurahia utoto wao? Hali ya...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto wadogo, yahitaji umakini mkubwa

    Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi. Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo, sumu n.k Kutokuwasimamia watoto hawa, kunaweza kusababisha madhara, kama vile; kunywa maji machafu...
Back
Top Bottom