Fisadi anaweza kutengenezwa kutokana na malezi, angalizo ni hili kwa wazazi/walezi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,321
5,493
"Kushindwa kuwapatia watoto mahitaji muhimu kama vile makuzi na malezi yenye kuzingatia maadili, na elimu bora ya awali tunahatarisha ustawi wa jamii ya kizazi kijacho

“Hapo ni kutengeneza Mafisadi, wapiga deal, wahuni wataendelea... Samaki hukunjwa angali mbichi," Dk. Richard Shukia - Mhadhiri UDSM
 
Back
Top Bottom