Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa.
Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa
Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...