Nilichojifunza kuhusu wanawake wanapenda mahusiano ya kutawaliwa

Ctech

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
754
816
Amani ya bwana Mungu iwe pamoja nanyi Ndugu Zangu!

Katika harakati za mahusiano kila mtu amepata uzoefu wake wa namna moja ama nyingine, kwa uzoefu wangu katika mahusiano nimegundua jambo moja ambalo vijana wengi wa kizazi hiki wanashindwa kukigundua!

Mpenzi wangu ni mwanamke niliyemdekeza sana, nafanya anavyofeel akaja kuniona fala akaanza kuleta wenge na kuonesha kama hisia zake kwangu zimepungua siku moja usiku akaniletea wenge, nilimmind vibaya sana nikampa wiki moja ya kujifikiria na asinitafute katika muda huo!

Kesho yake simu nyingi, sms nyingi ananibembeleza, akaanza kunipa ambavyo hata nilikuwa sipati, unagundua nini hapa? hapa unajifunza kwamba mwanamke hataki mahusiano ambayo yapo cool muda wote anataka mwanaume ambaye anaweza kumgombeza na hata kumkoromea.

Mwanaume mwenzangu asikudanganye mtu wanawake wanapenda mwanaume anayeweza kudominate mwanaume mwenye sauti!.. ukijifanya mpole na mtakatifu mwanamke anachukulia uhusiano wenu kama Boring hivi!..

Jifunze au jiwekee utaratibu wa kumkoromea mwanamke wako kila baada ya kipindi fulani hitamdhihirishia mwanamke kuwa wewe ni mwanaume mwenye sauti, anayeweza kuongoza na Huongeza Mvuto wako kwake!

Your Elder Bro!

Santana
 
Ila ujue hao wanawake DNA zao sio sawa wote.

Kimsingi ni kumsoma kuwa anataka nini. Kuna wengine hawapendi kukoromewa na kutawaliwa. Wanataka uhuru na hapo wanakuwa happy na upendo mwingi. Ukimtawala sana anaona kero na anaona kama ni wivu wa kijinga.

Japo kweli hata mimi kwa uzowefu wangu mdogo nimeona wanawake wanapenda mwanaume uwe dominant. Kuna mmoja nilikuwa nae kila nikiongea kitu anajibu 'hamna'.

Nilimzaba kofi moja akalia nikambembeleza tukawa sasa nikiongea angalau anajibu kitu. Nahisi masikio yake yalikuwa yameziba kwahiyo lile kofi liliyazibua.
 
Wewe jitie mtu wa Ku care saana,...sijui dear,honey,baby nyiingi uone jinsi mwanamke atakavyokuwa anakupeleka mbio!....wanawapenda watu ambao hawajali,wako harsh!...
 
Taken, ukiwa harsh kupitiliza utamfanya akimbie kuwa harsh kwa kiasi
 
Huyo anakumwaga muda si mrefu, utakuja hapa kuleta mrejesho, salama yako awe amevuka 30, lkn kama bado yuko kwenye 20, ataenda tu, mara nyingi ukiona hivyo kuna jamaa mwingine anasikilizia akiona kule kunalipa zaidi anasepa, tena atakumwaga siku ambayo unamuhitaji, dadadeki!
 
Kikubwa zaidi ..n kuishi naye kwa kumuonyesha kua hata akitaka Ku move on ..kwako haipinguzi kitu. ..maana wanapenda saana kujaribu jaribu ....so ukiwa MTU flan HV "don care" unakua una MPA wakat Mgumu kukusoma
 
Mbona mie sielewi elewi sasa hapo???

Wao ukiwauliza wanasema wanapenda wanaume wapole wachesi, ambaye anajiamini, sasa na ww unasema vingine......

*Labda huyo mpenzi wako ndo anapenda ww uwe bondia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom