makundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Al Merrikh keshatoboa huko, Yanga itaitoa kuingia makundi?

    Timu ya Al Merikh ya Sudan imefanikiwa kusonga mbele hatua ya mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa faida ya bao la ugenini dhidi ya Otoho d'Oyo ya Jamhuri ya Congo baada ya kutoka nayo suluhu ya bila bao katika mechi ya marudiano leo. Katika mechi ya kwanza kuzikutanisha timu hizo...
  2. bongo dili

    Makundi ya watu yanayoishi kwa stress kwenye jamii

    Naandika leo jumapili hii nikitulia home baada ya kupita mtaa mmoja hivi nikayashuhudia haya. 1. Dada wa kazi. Hili kundi uongozwa kwa kuwa na stress hasa leo jumapili maboss zao na familia nzima wakiwa home angalau siku za kazi kwa mabosi wasioshinda home urudi jioni plus watoto kuwa shule...
  3. demigod

    Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

    Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango...
  4. MK254

    Urusi inaelekea kuwa taifa la hovyo lenye makundi ya mamluki waliorasimishwa

    Serikali ya Urusi inataka kuanza zoezi la kutambua rasmi makundi ya mamluki ndani ya nchi, maana kwamba yeyote anaibuka na kubuni jeshi lake la mamluki kisha analisajiri na kuanza kufanya yake popote. MOSCOW - The Kremlin said Friday that Russia could grant legal status to private military...
  5. Bright18

    SoC03 Ushirikishwaji wa makundi maalumu katika sekta ya utalii

    UTANGULIZI A: 1. SEKTA YA UTALII. Sekta ya utalii ni miongoni mwa sekta mama hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, sekta hii huchangia takribani asilimia kumi na saba (17%) ya pato la nchi pia ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya ajira kwa rika zote kuanzia wamiliki wa makampuni ya...
  6. MK254

    Makundi ya Waislamu Waafrika wavamia na kuzuia sherehe za kusheherekea tamaduni za Kiafrika

    Yale yale tu, Waafrika wanakusanyika kusheherekea tamaduni na desturi za Kiafrika kisha Waislamu Waafrika wakaibuka na kuzuia na kusema zifuatwe tu tamaduni za Kiarabu yaani Kiislamu kwenye mkoa wa Yoruba, Nigeria, Afrika........ A Muslim group, Majlisu Shabab li Ulamahu Society, in Ilorin...
  7. Mr Dudumizi

    Hayati Magufuli alipambana na makundi matatu hatarishi na akafanikiwa kuyaangamiza kwa 85%. Je, Rais Samia ataweza kupambana na haya mawili yaliobaki?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Leo naomba nije na mada inayohusu "maadui mamboleo" wa taifa letu, tukiachana na wale watatu wa zamani waliokuwa wakijulikana kwa majina ya (1) maradhi, (2) uvivu, (3) umasikini. Sasa tuna maadui wapya watano ambao ni (1) ufisadi, (2) ujinga, (3) ushoga, (4) uteja...
  8. MK254

    Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria

    Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu. Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29. Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material...
  9. U

    Simba ni mbovu, ni katimu ka Makundi tu, hakajawahi kupitia mechi za mtoano

    Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa. Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia...
  10. Teko Modise

    Naomba kufahamu kuhusu makundi ya muziki ya Wenge BCBG na Wenge Musica

    Mimi huwa nasikiliza miziki ya Kicongo lakini sio mjuvi sana wa kudadavua mziki huo. Sasa nimekuwa nikipata mkanganyiko kuhusu Wenge BCBG na Wenge Musica. Naombeni mnijuze, haya makundi yana uhusiano? Na je waliwahi kufanya kazi pamoja? Lipi ni kundi lenye mafanikio zaidi? Karibuni mtiririke...
  11. M

    Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
  12. Analogia Malenga

    Baadhi ya Makundi ya Kenya yaliyofanya maajabu

    THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY) Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa. Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za Klepto na "Tuendelee, Swing, Furahia na Mpenzi." Hata baada ya kusplit na kwenda majuu na kuacha...
  13. Sildenafil Citrate

    Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  14. F

    Makundi 7 ya watu wanaoheshimiana sana Tanzania. Nini siri yake?

    Kuna makundi ya watu wakikutana mahali wanaheshimiana sana. Mimi nimeona makundi yafuatayo, je kuna siri gani? 1. Wachawi 2. Washirikina 3. Wanasiasa 4. Wanajeshi 5. Polisi 6. Wafanyabiashara wakubwa 7. Viongozi wa dini 8. Mateja 9. Madalali 10. Matapeli 11. Mafundi 12. Walevi
  15. B

    Mwenezi Mjema afanikisha futari kwa watu na makundi mbalimbali Dar

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema kuanzia Jana Alhamisi Aprili 06, 2023 ametoa futari kwa watu na makundi mbalimbali kwenye Jamii kwenye mwendelezo wa Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan. Mwenezi Mjema kwenye ujumbe wake ameeleza:- "Tukiwa katika...
  16. Mohammed wa 5

    GOLI la mudathir yahya lawania Gori Bora la hatua ya makundi cafclcc

    𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜𝗜 Goli la Mudathir Yahya dhidi ya TP Mazembe limechaguliwa kuwania goli bora kwenye hatua ya makundi #CAFCC Unaweza kumpigia Kura kupitia ukurasa wa Twitter wa CAF - (CAFCLCC) #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko🟢🟡 NB:Hadi sasa tupo mbali sana Twendeni Wananchi 💪
  17. Kilimbatzz

    Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  18. MK254

    Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

    Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua..... Austrian police warned Wednesday of a possible "Islamist-motivated attack" in Vienna against churches, citing undisclosed information received by the country's...
  19. GENTAMYCINE

    Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  20. B

    Kenani Kihongosi atua Singida kuzungumza na Vijana makundi matatu

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) Ndugu Kenani Kihongosi kuanzia leo Alhamisi na kesho Ijumaa Machi 02-03/03/2023 atakuwa mkoani Singida na kufanya matukio matatu:- ✅ Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Bodaboda na Bajaji. ✅Kukutana na kuzungumza na Vijana wa Chuo...
Back
Top Bottom