1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii
2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali
3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu
5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za...
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
Salaam!
Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama.
1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea.
2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea.
3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea.
Kwa...
Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi.
Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili.
Kwa sasa, hatuna timu za kushindana kimataifa msimu huu unless zinabadilika.
Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni
1. Askari
Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio hofu kwao wanataman kifo kama mlokole anavyotaman kuket kuume kwa yesu kristu serikali inawaogopa...
Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
Wasalaam waungwana wachapakazi na Wazalendo wa Nchi hasa Tanganyika..
Yafuatayo ni makundi yanayo hatarisha sehemu zao za Siri kishughulikiwa na kuchakaa kabisa
1. Wanawake wenye tamaa ya pesa nyingi bila kushughulika.
2. Wanaume wanaopenda kula vizuri kuvaa vizuri bila kutafuta pesa kwa...
Hardtimes create tough men
Machafuko na vurugu za kisiasa, ukosefu wa elimu sahihi ya dini,elimu ya kiraia na mateso ya kijamii(uongozi) vilizalisha kizazi cha vijana wenye hasira waliokua kutokana na mazingira magumu vikapelekea makundi haya kuzaliwa si kwa misingi ya Qur’an.
Asili ya vikundi...
Mgombea Ubunge Buchosa, Eric Shigongo akizungumza na wananchi wa Kata ya Kazunzu alipopita kuwasalimia mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania Ubunge jana Agosti 26, 2025 amewasisitiza Wananchi kuwa na umoja, kuachana na makundi yaliyokuwepo awali wakati wa mchakato wa Kura za ndani.
Shigongo...
BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo
HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio
Moja kwa moja,
Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza
Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
Kundi la kwanza ni watu wazima na kundi la pili niliona ni watoto, sasa hili la kwanza lilikuwa likiimba oktoba hatutiki nalo lilikuwa limejitenga nafasi na la lile la kwanza,
Hili la kwanza au la watoto lilikuwa kimya, watoto wale nyuso zao walikuwa wanashangaa tu wala hawajui nini...
Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza.
Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Wasaalam wapendwa viongozi wa wafanyabiashara ndogondogo makundi yote.
Narejea vikao vyetu na viongozi wenu kuhusu ajenda zinazohusu maendeleo ya biashara zenu kuwa: leo Tarehe 22 Julai, 2025 saa 8 mchana kutakuwa na mkutano wa kidigitali (zoom) nchi nzima mikoa yote yaani kati ya Wizara ya...
Wasalaam!!
1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia...
Moshi mjiniTunahitaji Kiongozi wa Kweli, Sio Mtumwa wa Makundi!
Katika kipindi hiki muhimu cha siasa, Moshi inahitaji Mbunge mwenye uzoefu, uwezo wa kiuongozi, rekodi ya utendaji uliothibitishwa, na moyo wa dhati wa kuwatumikia wananchi, si mtu anayesukumwa na makundi ya kimaslahi au ajenda...
Wewe shika stuli, kaa vizuri. Leo nakusimulia stori ya jamaa mmoja aliyewasha moto hadi leo dunia inachoma. Sio moto wa kuni, ni moto wa akili, damu, mabomu, na msimamo mkavu. Jamaa anaitwa Muhammad ibn Abdul Wahhab.
---
📍 Najd, Saudia – Karne ya 18 (Miaka ya 1700s)
Najd ilikuwa pori tupu...
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
1. Wadada
Tangu jamii ilipoamua kufanya sex kama “causal thing” na wengine wakwenda mbali zaidi ou commercialize sex, hali imekua tofauti. Vijana sasa hawajua struggle za kutongoza na kumhangaikia mwanamke, mana wanapatikana kiurahisi. And once you get it easily, it loose value.
2. Kanisa...
Kuna ukweli gani kwa madai ya baadhi ya watu kwamba Marekani ndiyo mwanzilishi wa makundi ya kigaidi kama Al-Qaeda, ISIS, Boko Haram na mengine mengi yanayosumbua katika nchi za Kiislamu au Kiarabu ili kuvuruga amani na kuchota rasilimali?
Kwa nini Marekani haijaanzisha makundi ya kigaidi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.