Kuna mipaka ya ubinadamu ambayo baadhi ya watu huivuka kwa makusudi, wakiacha nyuma maumivu, mateso, na chuki inayowasha moto wa hasira moyoni mwangu. Kuna makundi fulani ya watu, hata wakilia mbele yangu, wakilia kwa machozi ya damu, bado sitaweza kusikitika. Na kama ningekuwa na lita 20 za...
Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo.....
1.Mama Ongea na Mwanao
2. Samia Squad
3. Mama tutakutetea hadi Umauti
4. Mama Samia Tunakupenda
Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
Baadhi ya makundi hatari zaidi ya wauzaji wa dawa za kulevya duniani yanajulikana kwa uhalifu uliopangwa, ukatili wa hali ya juu, na ushawishi mkubwa wa kimataifa. Makundi haya yanaathiri afya ya umma, usalama, na utawala. Haya ni baadhi ya makundi maarufu zaidi:
1. Sinaloa Cartel (Mexico)...
Haijawahi tokea, polisi wanakamata raia wasio na kosa kwa sababu za kutoelewana kwa chama tawala na upinzani, na kwa amri kutoka juu, kukamata badala ya kupeleka watu kituoni wakafunguliwe mashitaka unapeleka kuwa jeruhi kisha kuwatupa maporini.
Ukatili wa aina hiyo tunausoma kwenye utawala wa...
Yanga alicheza fainali kama best looser kutoka mechi za champion hakupambana tangu awali na huko pia alibebwa na simba baada ya kufanya vizuri na nchi kuongezewa washiriki..Simba anakwenda kucheza fainali kwa kuipambania wenyewe na kulitwaa kombe na kuivunja rekodi ya yanga ya kufika fainali na...
Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani
Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma:
1. Wahindi wa Amerika
• Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi)
• Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi
• Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
Kwa ambao wasio na ABCs za kundi hili... The Numbers Gang ni genge la wahalifu hatari zaidi ndani ya magereza ya South Africa. Chanzo cha kuanza kwake bado hakijafahamika ila kuna stories tofauti tofauti.
Hoja yenye mashiko zaidi ni ile ya lilianzishwa kutetea maslahi ya wafanyakazi weusi...
Kufuatia kuenea kwa matangazo kwamba wananchi wa Gaza waandamana kuwapinga Hamas,wapiganaji wa makundi mchanganyiko huko Gaza wamesema wataanza kuwatafuta mapandikizi ambao wanafanya kazi za kufanikisha malengo ya Israel.
Wapiganaji hao wamewakumbusha wananchi wa Gaza kwamba chochote...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) katika hatua ya kujali na kuthamini makundi maalumu katika jamii, imetoa msaada wa mahitaji ya kibinadamu katika kituo cha Makao ya Kulea Watoto Yatima, kilichopo mtaa wa Nzasa, Kata ya Kijitonyama Wilaya ya Ubungo.
Hatua hii ni...
CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"...
Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
Hii tabia yenu ya kufunga barabara kuingia coco beach mpaka tanzanite Bridge mnatuletea wengine kero.
Bora mtafute maeneo mengine mkafanyie mazoezi yenu, mazoezi yenu wengine mnatuletea kero tu. Yaani kila Jumamosi mnafunga barabara. Huu upuuzi wngine tuna misele yetu mnatupotezea.
Ova
Ukweli ni kua Mbingu na Ardhi ni vitu viwili tofauti .
Uovu na Wema ni vitu viwili tofauti .
UZALENDO na kutokua mzalendo ni vitu viwili tofauti.
Hata hivo Licha ya utofauti huo, ukweli ni kua Kila kimoja wapo nyuma yake kuna Wafuasi wengi .
Hamna kitu kinaitwa huyu yupo katikati, Hana...
Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha amesema kuna wanachadema bado wanaugulia maumivu kama vile wamefiwa. Anahoji ni maumivu gani ya...
Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao
Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo
IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa makundi ya kigaidi, bali aliwapiga na wafadhili wao wakuu na kuwadhoofisha kabisa, pale alipopiga mitambo...
Huku waasi wa M23 wakiwa wameuchukua na kuweka chini ya himaya yake mji wa Goma, baadhi ya vikosi vya askari wa kukodiwa walokuwa wakipigana sambamba na majeshi ya serikali ya Congo DRC, imekuwa ni viguu kuamini kuwa ndani ya Congo DRC kuna makundi ya waasi na mamluki yapatayo 120.
Yote makundi...
Siku ya kutangaza makundi ya mashindano ya CAF Yanga walishangilia Sana.
Kilichowafanya washangilie ni nini? Waliona timu walizopangwa nazo ni vibonde au vipi?
Angalia jinsi Yanga walivyoshangilia timu walizopangwa nazo.
Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi.
Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya:
Mwaka 2019:
• TP Mazembe 8-0 Club Africain
Mwaka 2023:
•...
Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani.
Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.