makundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P h a r a o h

    Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  2. ELI COHEN

    Kamwe usidharau nguvu ya watu wajinga katika makundi makubwa

    Walipokuwa wachache mlisema hawatafika popote kwa maana mliona hakuna vision kati yao, hakuna logic kati yao. Lakini wajinga hawajui kujitilia mashaka, watalaumiana wao kwa wao mara nyingi sana lakini hawawezi kuangushana katika kuifikia plan yao, wataua wachache watakaojifanya wana akili zaidi...
  3. D

    DAWASA yawashika mkono makundi maalum Sekondari ya Pugu

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imetoa msaada kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum katika Shule ya Sekondari Pugu, wilayani Ilala. Msaada huo ni sehemu ya mchango wake kwa jamii na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kuboresha ustawi wa jamii inayoihudumia...
  4. Kichuguu

    Nimefadhaishwa sana na Yanga Kuishia Makundi

    Ingawa mkeka wangu leo kwa Yanga umelipa, ila nimefadhaishwa sana Yanga kuishia Makundi tena pamoja na kusakata kandana safi vile. Pamoja na kuwa kundi lao lilikuwa gumu sana, Yanga ilifanya makosa mawili makubwa ambayo yamenisababisha msongo mkubwa wa moyo. Kosa la kwanza kubwa sana na...
  5. Waufukweni

    Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  6. Mshana Jr

    Wayafikie na makundi mengine, madada poa wasiwasahau.. Na wauza mmea pia

    Polisi waanza kuwatembelea VyaPombe; Staff Sagenti wa Polisi ( S/SGT) Sabas ambaye ni Polisi kata wa Kata ya Nawenge Tarafa ya Vigoi Wilaya Ulanga alipotembelea vilabu vya pombe za kienyeji ambapo amewasisitiza wanywaji wa pombe hizo kunywa kwa kiasi na kuzingatia afya zao kwani wao ni nguvu...
  7. Munch wa Annabelle

    Yamepotelea wapi makundi ya WhatsApp ya madada poa?

    Bwana Yesu asifiwe...…... Asalam aleykum....... Wakuu katika tafiti zangu nimegundua kuna uhaba mkubwa wa magroup ya wasap ya maafisa utamu/utelezi ukilinganisha na miaka ya nyuma Hivi tatzo ni nini au serikali imetia mkazo na sheria kali ndo maana hayapo? Au kuna nini haswa mpaka kupelekea...
  8. T

    Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  9. Genius Man

    Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  10. Genius Man

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena

    Nchi inapopata kiongozi mjinga inakuwa hatari sana hapo ndipo makundi ya kigaidi hujitokeza yanateka na kuuwa tukivuka hapa tusifanye makosa tena. Lazima tujiulize mpaka sasa ni wangapi wametekwa ni wangapi wame uwawa kikatili ni wangapi wamenyimwa haki zao, ni wangapi wapo gerezani kwa kesi...
  11. R

    PostGE2025 CHADEMA: Tunaunga mkono Gen Z na Makundi yote yanayodai haki, Tunawapa pole watanzania wote

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya watanzania , vijana wa Tanzania Gen Z, viongozi wa dini, wanaharakati na makundi yote ya kijamii kuwa...
  12. N

    Maandamano ya Wanaharakati yanategemea makundi ya wasio na hatia ili Kufanikiwa

    Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi. Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.” Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi Kama mwizi anavyochoropoka...
  13. Pakome

    Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  14. Fbn

    Geita: Polisi yawaonya Viongozi wa makundi ya WhatsApp 😄

    Kila kukicha mwisho mtavua nguo sasa. Viongozi wa makundi ya whatsapp mnatakiwa mje kutoa taamko.
  15. H

    PostGE2025 Adui wa serikali ya Tanzania siyo Gen Z tu yapo makundi mengi

    1.Wazee wanaoishi kwa kuombaomba mitaani waliotelekezwa na ustawi wa jamii 2.Waliodhurumiwa pesa zao baada ya kufanya biashara na serikali 3.Waliofukuzwa kazi serikalini kwa uonevu bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu 5.Wastaafu waliodhurumiwa mafao yao na serikali bila sababu za...
  16. pulex

    Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

    Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika. Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
  17. R

    Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  18. S

    Yanga ns Simba zote mbovu, zitaushia hatua ya makundi

    Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi. Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili. Kwa sasa, hatuna timu za kushindana kimataifa msimu huu unless zinabadilika.
  19. appoh

    Haya ndio makundi yanayoogopwa na serikali

    Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni 1. Askari Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio hofu kwao wanataman kifo kama mlokole anavyotaman kuket kuume kwa yesu kristu serikali inawaogopa...
  20. Tajiri wa kinyankole

    Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
Back
Top Bottom