makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Kuna madhara makubwa Mwenyekiti wa CCM kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu

    Mama Sophia Simba atabaki na heshima kubwa isiyoonekana kichama kwa kufukuzwa kwake kisha akanyamaza,ni wakati wakuhitaji mawazo yake. CCM ili iwe inajikosoa na kuikosoa Serikali bila uoga wowote ni wakati wakubadili mfumo wa Mwenyekiti kuwa ndiye Amiri Jeshi Mkuu, zipo hasara nyingi kwa chama...
  2. E

    SoC01 Umekwama kuanza kuweka Akiba? Ukifanya haya ni rahisi kuweka akiba na kufikia malengo yako makubwa maishani

    Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba. Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
  3. A

    SoC01 Matatizo makubwa yanazaliwa kwa utatuzi mbaya wa tatizo dogo

    Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
  4. Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  5. Wenye 'Mahausigeli' muwe mnafanya 'impromptu visits' Makwenu, kwani yanayoendelea kwa Watoto wenu mkiwa hampo ni makubwa

    Kuna 'Hausigeli' Mmoja 'Kanikera' sana Asubuhi hii yaani Bosi zake wameondoka tokea Saa 1 nae katoka kwenda 'Kukazwa' na Dereva 'Bodaboda' na kamuacha Mtoto peke yake Nyumbani analia tu muda wote, hajala chochote na hajamvalisha Kitu huku akijua sasa Dar es Salaam kuna Baridi Kali. Katika...
  6. Ada mpya za kutuma na kutoa pesa kwa Tigo Pesa

  7. Yanga tumekosaje Ubingwa? Hongereni Watani, tumeona mabadiliko makubwa mliyoyafanya katika Soka lenu

    Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
  8. Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

    Rafiki yangu mpendwa, Kuna vitu waliofanikiwa sana wanavijua, lakini huwa hawaviweki wazi. Wanafanya hivyo kwa sababu jamii huwa haielewi vitu vingi kuhusu mafanikio, na hivyo huishia kuwashambulia waliofanikiwa pale wanapojaribu kuwa wakweli. Mara ngapi umesikia masikini wakiwasema matajiri...
  9. L

    Mabadiliko makubwa yashuhudiwa kwa wanavijiji wa Xinjiang walioondolewa kwenye umasikini

    Nimeishi nchini China kwa miaka 13 sasa. China ni nyumbani kwetu kwa pili na ni nchi ambayo naipenda sana, nchi ambayo naishi, nafanya kazi na hata kumsomesha mwanangu. Kusema kweli najihisi mwenye bahati kuwepo hapa na kushuhudia mabadiliko ya kiwango kikubwa cha maendeleo ya kasi ya Wachina...
  10. M

    NMB tuoneeni huruma, kiwango mnachokata baada ya kuomba risiti ni sh10,000 -- ni kubwa mno

    Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimekwenda kuchukua fedha kwenye ATM zao na nikaomba risiti, kiwango kilichokatwa nikikubwa mno (sh 10,000). Hii gharama ya huduma ya kibenki ni kubwa mno, sikuamini macho yangu, ilibidi niangalie mara mbili kama ni sh 10,000 au 1,000. Nawashauri NMB...
  11. Serikali isiyagawe mashamba makubwa kwa wananchi wa jembe la mkono

    Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono. Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
  12. Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  13. Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
  14. C

    Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Habari wana JF, Binafsi nafurahia uongozi wako Mh Rais Samia, lakini napenda kutoa mtazamo tofauti ili kuboresha kwa kuwa bado una muda. Rais wangu, asikudanganye mtu, Uongozi wa Nchi ni mambo makubwa, ni juu ya hatma ya kesho, sio leo tu, ni juu ya leo na vizazi vijavyo. Nchi hii bado ni...
  15. Hivi ni kweli fukufuku anafanya matiti yawe Makubwa ya kuvutia na kusisimua?

    Salaam Wapenzi wangu, Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu. Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa...
  16. WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  17. Kuna mawe makubwa yametegwa barabarani mlima Salanda muda huu

    Polisi nendeni haraka! Kuna kila dalili ya watekaji kufanya yao hapo. Inauma kumkosa Magufuli!
  18. NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  19. Kuna muda huwa siwaelewi Watanzania na huenda ndiyo maana baadhi ya Mataifa jirani na makubwa yanatudharau bila Sisi kujijua

    Ni Watanzania Sisi ( GENTAMYCINE ) nikiwemo wakati wa Uongozi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli tulikuwa tunalalamika Mzunguko wa Hela ni mgumu na hata Kumlaumu Hayati kwa kutokupenda Kwake ' Kujichanganya ' na Mataifa Jirani na hata Makubwa ili Maendeleo ya haraka yapatikane na Ustawi wetu uwepo...
  20. J

    Je, tatizo ni Biswalo Mganga au Sheria inayompa madaraka makubwa Mkurugenzi wa Mashtaka? Rugemalila mbona alimgomea?

    Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi. Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria. Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili. Ramadhan kareem!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…