makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Montevideo convention on statehood, Mkataba wa uwekezaji wa DP batili na Bunge letu lina mapungufu makubwa

    Sisi Kama taifa ni sehemu ya mkataba wa Montevideo on the rights and duties of statehood. Ndio maana hata Zanzibar kama sehemu ya JMT haina balozi UN au haiwezi kuingia mikataba na nchi zingine. Dubai sio state, je ina mamlaka ya kuingia mikataba na nchi zingine? Jibu ni hapana. Maana sio...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwenye viwanda tulichemka, Bandari tuweze? Nionyesheni tulichowahi kubinafsisha tukapata faida!

    Watanzania tumerogwa siyo bule! Siku zote mkaguzi wa hesabu za Serikali (CAG) mara zote ukaguzi wake katika sector ya Bandari amekuwa akisisitiza ufanisi uongezwe ili mapato yaongezeke ukilinganisha na Bandari zingine, lakini hakuwahi kusema kuna hasara iliyotokana na uendeshaji wa Bandari...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya China yamekuwa na manufaa makubwa kwa nchi za dunia ya tatu

    Mwishoni mwa mwezi Mei (30 Mei) China iliadhimisha siku ya saba ya wafanyakazi wa sekta ya sayansi na teknolojia. Siku hii iliadhimishwa kwa mwito wa kuhimiza utamaduni wa uvumbuzi, na kuendelea kujienga China kuwa nchi yenye nguvu kwenye sekta ya sayansi na teknolojia, huku ikifanya juhudi...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuendelea kwa teknolojia: Mabadiliko makubwa na athari zake

    Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake" Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii, tuko katika wakati ambapo mabadiliko makubwa yanachipuka katika teknolojia, na athari zake zinaonekana...
  5. JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  6. JamiiForums Tanzania Makosa makubwa ya Muswada wa TISS

    MAKOSA MAKUBWA YA MSWADA WA TISS Sehemu ya 1. Moja ya makosa ya mswada wa sheria ya Usalama wa Taifa, kipengele cha 5 cha mswada huo kinampa mamlaka Afisa usalama kukamata na kupekua viongozi, hapa Kifungu hicho kina kinakinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano inayosema kila mtu sawa mbele ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wilaya ya Uyui ina matatizo makubwa

    Wilaya Uyui, ni wilaya pekee ambayo ni wilaya korofi sana na kuna upigaji wa aina nyingi, Kuna ujenzi wa halmashauri mpya ya Uyui kuna ufisadi mkubwa wa kutisha watu wamejilipa pesa za kufa mtu, majengo menyewe hajakamilika ila imebidi wafanyakazi wahamie kabla ujenzi haujakamilika kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nyerere na ndoto kubwa ya Tanzania

    Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Julius Kambarage Nyerere. 1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli. 2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho. 3. Kiongozi aliyekuwa na msimamo na mjamaa wa kweli. 4. Kiongozi aliyelinda raslimali za ndani kwa nguvu. Hakuwa na haraka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa hawana heshima

    Nimegundua Hawa warembo Wanajifanya wajanja na wajuwaji kwa kila hoja ilihali %kubwa ni weupe vichwaji, kisa tu wanasifiwa barabarani kuwa ni wazuri. Kwanza wengi wao waliofaulu vyuoni kwa kuuza uchi Kutana na kimwanamke(age 23-27), tako kubwa au hips, chenye ajira kidogo, yaani kinadhani...
  13. JamiiForums Tanzania Mapokezi makubwa ya kamanda mwenzetu Lissu jijini Kahama

  14. H

    JamiiForums Tanzania Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

    Nawasalimu wote wakubwa kwa wadogo, Ni usiku wa kuamkia leo nimepokea taarifa kutoka kwa watu wangu wa karibu kua kuna daktari ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga katika mji wa Nyamongo wilaya ya Tarime. Daktari huyo kijana mdogo kabisa aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Afya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nchi hii imepitia madhira makubwa sana. Eti na hawa ni viongozi wa dini

    Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu. Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
  16. B

    JamiiForums Tanzania CCM yajifunza kusukuma maendeleo makubwa kwa wananchi kutoka China

    TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema leo Ijumaa Aprili 28, 2023 kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa Monitor, ila nikiwa Rais nitafanya haya

    Wakuu habarini za muda huu. Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana. Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa. Kwa kiasi kikubwa bado tunalia na matatizo yale yale; Umaskini,miundo mbinu mibovu,huduma hafifu za...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanya mageuzi makubwa TTCL

    Na Mwandishi wetu, WHMTH, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…