makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  2. Yoda

    Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

    Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa. Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani. Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
  3. chiembe

    Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

    Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
  4. Oscar Lyrics

    Nguo za mtumba ambazo zinaweza kukuletea madhara makubwa

    Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki, Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida, Pamoja na ukweli kwamba nguo hizi za mtumba haziepukiki kwa sababu bei zake ni rafiki kwetu, kuna baadhi ya nguo...
  5. D

    DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  6. D

    Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
  7. L

    Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  8. Yoda

    Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  9. ELI COHEN

    Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  10. Tlaatlaah

    CHADEMA kuna matatizo makubwa ya kiutawala yanayo chochewa zaidi na ombwe la uongozi, unadhani tatizo liko wapi?

    Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao? Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi...
  11. L

    Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  12. B

    Tusidanganyane, hakuna tajiri aliyefanikiwa kufika malengo makubwa bila mikopo

    Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua. Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani...
  13. Y

    Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

    Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
  14. M

    Mambo makubwa uliyowahi kuyafanya utotoni wazazi wakasena wamepata mtoto

    Wasee mko musuri! Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe. Nianze namimi. 1. Nakumbuka hili tukio lilitokea nikiwa darasa la tatu kama siyo la nne, nilikuwa chalii sana. Ilikuwa pumziko saa nne...
  15. M

    Dkt. Charles Kimei: Samia amefanya makubwa Vunjo

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha huduma kwenye vituo vya kutolea huduma...
  16. Dr PL

    Tatizo la matiti makubwa kwa mwanaume (gynecomastia) na tiba yake

    Picha kwa hisani ya Google Kuota matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) ni kuongezeka ukubwa/ujazo wa matiti kwa mwanaume. Hutokana mabadiliko ya viwango vya homoni za kiume (Testosterone) na homoni ya kike (Estrogen) kwa mwanaume [hormonal imbalance] ambapo mwanaume anakuwa na viwango vya juu vya...
  17. G

    Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  18. Loading failed

    Vijana jifunzeni kwa hawa wazee wenu wanao sota huko kwenye majiji na mijini huku wakijificha kwenye majuto makubwa ya kivuli cha wapambanaji

    Ndugu zangu salaam Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
  19. gallow bird

    Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  20. Komeo Lachuma

    Kwa sasa tunaishi kwa mashaka makubwa. Hatujui nani anafuata

    Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni na kwenye mapango. Khayatollah amefichwa sana na anahamishwa hamishwa kila baada ya muda flani...
Back
Top Bottom