Wanajukwaa kuanzia leo nimeona mabadiliko kwenye Akaunti yangu ya Mpesa upande wa Tozo za kutuma Pesa kwenda Mitandao mingine na kwenye Tozo za lipa kwa Simu Ndo kusema kuwa vodacom wanapuuza Makubaliano waliyoyaweka, Watanzania wanyonge Tunalia na Tozo hizo!
This is Funny
Kampuni yake iliyomiliki 49% ya HISA za Simba si hizi kampuni zinazotangazwa kila kukicha. Hizi zinahitaji mikataba maalum ya kibiashara ili zitangazwe hivi wakuu. Unaponunua hisa si lazima upewe matangazo ya kibiashara bali unakuwa shareholder tu.
Mo ni...
TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio.
Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC.
Una...
Nimesikiliza dira ya dunia kwenye matangazo ya leo wanasema Kenya na uingereza wameingia makubaliano ambapo kupitia hayo makubaliano, madaktari wasiokua na ajira watapatiwa ajira hizo nchini uingereza.
Naomba viongozi wetu waige ubunifu wa aina hii. Tusibakie na ubunifu wa kudhibiti wapinzani...
Rejea picha hapo juu
(picha kutoka mtandaoni)
Hayo ni makubaliano ambayo unahitajika kusaini kabla ya kupokea chanjo, kwamba uko tayari kwa lolote lile litakalo tokea na serekali haito wajibika.
Je, hii ina maana gani?
Je, ni kwamba Serekali haina imani na chanjo hiyo?
Au wanafahamu wao kwamba...
Bei ya mafuta imeendelea kupanda katika masoko ya barani Asia baada ya mkutano wa nchi zinazosafirisha mafuta kwa wingi duniani OPEC kuvunjika bila makubaliano juu ya mpango ulionuiwa kuongeza uzalishaji.
Kuvunjika kwa mazungumzo kati ya mataifa wanachama wa OPEC na wadau wengine kumeongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.