makosa ya jinai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha: Watuhumiwa 176 Wahukumiwa kwa Makosa ya Jinai Tangu Aprili 18, 2026

    Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema katika kipindi cha Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali vya makosa ya jinai ikiwemo ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, pamoja na kupatikana na nyara za serikali baada ya kufikishwa Mahakamani. Akitoa taarifa hiyo...
  4. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Jinai ya kudanganya taarifa za Cheti cha kuzaliwa cha mtoto

    Ni muda muafaka sasa kwa jamii kuliona hili tatizo ambalo linakua kwa kasi na litakuja kuwa na madhara makubwa sana siku za baadae. Linapokuja swala la kukemea maovu tusiwe na double standards au kusema kuna uovu wenye nafuu na usio na nafuu, uovu ni uovu tu. Nazungumzia tabia ya wanawake wa...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mama Samia badili Sheria ya Makosa ya Jinai ( Penal Code), iendane na Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Utawin mioyo ya 99,% ya watanzania.

    Sheria mama ya Tanzania ( Katiba) inasema, umri wa utu Uzima ni kuanzia miaka 18. Sheria ya Makosa ya jinai ya Tanzania ( Penal Code), inatambua kama kosa la jinai, tendo la ngono Kati ya mwanaume mwenye umri wa mialka 18+ na msichana mwenye umri wa chini ya miaka 18,hata kama msichana huyo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mbeya lasema Mwaka 2024 kulikuwa na Makosa ya Jinai 22,049 Mkoani hapo yaliyoripotiwa

  7. W

    JamiiForums Tanzania Joe Biden amsamehe Mwanae Hunter Biden makosa yake ya Jinai

    Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024. Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa hukumu ya mashitaka yake Desemba, 2024 Septemba 2024 mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden (54)...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Boniface Jacob: Polisi wamekuta tu Documents fulani hivi na wameondoka nazo

    Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam. Wakili Mwasipu akiwa nje ya...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tumemkamata Boniface Jacob kwa makosa ya Jinai anayotuhumiwa nayo

    Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia Boniface Jacob mkazi wa Mbezi kwa Msakuzi Jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo. Hivyo, wananchi wapuuze uwongo unaosambazwa mitandaoni kuwa ametekwa. Imetolewa na: David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi...
  10. Bams

    JamiiForums Tanzania Sheria nyingi zilizoundwa na CCM zimelenga kutengeneza mazingira ya kufanyika uovu

    Taasisi yoyote inapotaka kufanya uovu wowote, kwanza hutengeneza mazingira ya kuwezesha uhalifu kuweza kufanikiwa. Serikali ya CCM, muda mwingi imekuwa ikiandaa mazingira ya kisheria ya kufanya uovu dhidi ya umma: 1. Serikali ya CCM kwanza iliandaa na kupitisha sheria ya kinga ya viongozi...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania Bunge libadili Sheria ya makosa ya jinai, mtu anekamatwa nyumbani/ mtaani ni lazima mjumbe wa nyumba kumi na Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wawepo

    Katika miezi ya hivi karibuni baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu ulofanyika tarehe 29 Octoba mwaka jana bado kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini na baadae kuja kupatikana wakiwa hoi na taabani au wasipatikane kabisa wananchi hawa hukutwa maeneo...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunapata fundisho gani Kwa Trump, Rais wa zamani wa America, kukutwa na hatia Kwa makosa ya jinai?

    Hukumu ya kihistoria imetolewa katika mahakama za huko America, Kwa Rais mstaafu wa nchi hiyo, Donald Trump, kukutwa na hatia Kwa makosa 34 ya jinai, aliyoshitakiwa nayo. Hiyo inamfanya Donald Trump, kuwa Rais wa kwanza mstaafu wa America, kukutwa na hatia, Kwa makosa ya jinai tokea Taifa Hilo...
  13. Bams

    JamiiForums Tanzania Udhaifu Mkubwa Jeshi la Polisi ni kutomkamata Musiba kwa Makosa ya Jinai

    Kuua, kuhamasisha watu kuuawa, kutishia kuua au kushiriki kwa namna yoyote ile katika mauaji ni makosa ya jinai. Polisi hawastahili kusubiri kuambiwa wamkamate na kumfikisha mahakamani mtu anayefanya makosa haya. Kwa uwazi kabisa, Musiba, tena kwenye TV na kwa kupitia magazeti yake alisikika...
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ateua Mkurugenzi mpya wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai

    Amin Mohamed Ibrahim ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) na Rais William Ruto. Mohamed, bosi wa Kitengo cha Masuala ya Ndani ya Polisi, ana uzoefu wa zaidi ya miaka 30 katika uchunguzi wa makosa ya jinai na aliibuka kinara bora zaidi katika mahojiano ili kuteuliwa...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi, makosa ya jinai yaongezeka nchini

    Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko. IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
  16. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi

    UTETEZI WA KIJINAI DEFENSES IN CRIMINAL CASES. Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii. Imeadaliwa na Mr. George Francis. Email: mr.georgefrancis21@gmail.com Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
  17. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Makosa ya jinai chini ya sheria ya takwimu

    MAKOSA YA JINAI CHINI YA SHERIA YA TAKWIMU. Mr. George Francis. 0713736006 mr.georgefrancis21@gmail.com Habari ndugu mtanzania, Karibu tuwe pamoja katika kusoma na kufahamu makosa ya jinai chini ya Sheria ya Takwimu ili usije ukaingia hatiani na kukumbana na adhabu kali katika zoezi la...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa kuwa na Mbunge kama Musukuma ambae anadhania kuwa Mbunge ni kinga ya kutokukamatwa kama akifanya makosa ya jinai.

    Taifa letu linarudishwa nyuma sababu ya kuwa na wanasiasa wanaojali upuuzi huku wakipoteza kodi za watanzania kujadili masuala yasiyo na na maana Bungeni. Yaani mtu akiwa Mbunge ndio watumishi wake wasikamatwe kwa kupakia samaki waliovuliwa kinyume na sheria? Askari gani ambae hana weledi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Jonathan: Rais wa Ukraine katenda makosa ya jinai dhidi ya binadamu

    Profesa Jonathan Moyo wa Zimbabwe kamlaumu rais wa Ukraine, Comedian Zelensky, kufanya makosa ya jinai dhidi ya binadamu kwa kuwaingiza raia kupambana na russia, super power, na kuwatumia raia hao kama ngao vitani. Profesa Jonathan anasema nchi ya Ukraine ilijificha kwenye kivuli cha 'raia...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

    Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
Back
Top Bottom