makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. F

    JamiiForums Tanzania Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  2. JamiiForums Tanzania jeshi la polisi likimtafuta Makonda

  3. JamiiForums Tanzania Paul Makonda yupo mbugani anakula bata

    Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepost video fupi katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha yupo mbugani akiwa anakula maisha. Japo hajaeleza kuwa yupo katika mbuga ipi lakini video inaonyesha ni mazingira ya mbugani, na hajaandika chochote kuelezea video hiyo ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Nape, Makonda na Kubenea. Ni Coincidence au kuna uhusiano?

    Nakumbuka Makonda alivamia Clouds. Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake. Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake. Makonda akaendela kushika hatamu/patamu. Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake. Mama kaingia madarakani.... Kamteua Nape...
  5. JamiiForums Tanzania Mashitaka dhidi ya Paulo Makonda ni njama za mafisadi, wauza unga na wapinzani wapenda uovu aliowadhibiti wakati akiwa RC Dar es Salaam

    Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa. Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu. Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sabaya yupo ndani, Mbowe yupo ndani na sasa Makonda anaelekea ndani

    Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua kuwa nchi ya haki kwa mahakama zake kutenda haki bila kuangalia unatokea wapi. Ole Sabaya mkuu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
  11. JamiiForums Tanzania Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8. Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. Hii ndio Taarifa iliyopatikana...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaomchukia Makonda ina maana hawaoni hata magari ya polisi?

    Magari yanayotumiwa na polisi hapa Dar kupiga doria ni asante Makonda yote. Alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Makonda aliamuru magari yote yaliyokufa na kurundikwa kwenye ofisi mbalimbali za serikali yapelekwe kwenye gereji yafanyiwe ukarabati na yakabidhiwe kwa polisi ili kuwaongezea nguvu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Yametimia, Mahakama Kuu yaamuru Paul Makonda ashtakiwe

    Haya Comrade Waziri Nape Mwenyezi Mungu akupe nini na Wewe pitia hapo hapo kuhusu lile Sakata la Kuvamia Clouds Media Group kisha tutawahimiza na Wengine akina Manji nao waje na Mashtaka yao ili mradi huyu Mtu aozee kabisa Jela. Habari ya Mahakama kuamua Makonda akamatwe upesi ipo katika Gazeti...
  14. JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

    Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani. Mambo mengi yatakaa sawa...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye tuanzie ulipoishia

    Nakukumbusha Mh. Waziri mteule wa wizara ya habari. Mara baada ya kiapo chako naomba urudi viunga vya St. Peter ukasome ripoti ya tume ya Uvamizi wa KITUO Cha Clouds. Kisha tuendelee na mapendekezo ya tume huu ndio muda wa kuikomboa tasnia. Na yule alikutolea bastola tumuite aseme nani...
  17. JamiiForums Tanzania Mabaa medi na Makonda ni watu wenye akili sana

    Km kichwa cha hbr kilivo hapo juu. Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeniii... Nimekua nikiwafatilia kwa muda sasa naweza kukiri kwa kinywa changu kabisa... Hawa watu wakiwa kwenye majukumu yao ni watu makini na wanatumia akili nyingi sn... Km unakubaliana na utafiti wangu hebu tueleze kisa...
  18. JamiiForums Tanzania Saed Kubenea kwenye hili la Kumshtaki Paul Makonda wala usituchoshe 'Werevu' kwani 'Unafiki' wako unajulikana na wala haujifichi

    Ndiyo maana wengine mnapigwa Kofi na Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi Maishani mwenu ila hamtaki Kujifunza na hata 'Kutubu' kwa Muumba ili awasamehe. Ni Matumaini yangu makubwa kuwa Hela mlizohongwa ili mbadilishe Maamuzi ya Kisutu zitawafanya mkajitibie 'Magonjwa' yenu mbalimbali ukiwemo ule wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia kesi ya Makonda mnapoteza muda wenu bure, hakuna kesi pale

    Niaminini ninachowaambia! Misingi ya kesi ya makonda ni tofauti kabisa na ilivyokuwa kesi ya Sabaya!! Ikumbukwe kwamba Punde tu sabaya baada ya kutenguliwa u DC, aliwekwa kitimoto/mahabusu chini ya Takukuru kabla ya kushitakiwa! Sasa ishu ya makonda ukiitazama unaona kabisa waziwazi hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…