makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. JamiiForums Tanzania Mzabuni wa Jezi Taifa Stars Sandaland kumpeleka Makonda Mahakamani

    Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Hatua hiyo imetangazwa kupitia tamko rasmi la kampuni hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Makonda kuunda kamati ya kuchunguza zabuni jezi za timu za Taifa.

    Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo leo Septemba 18 imefafanua kuwa Waziri wake Paul Makonda anatarajiwa kuunda Kamati ya kuchunguza mkataba wa mzabuni wa jezi za Taifa Stars ili kubaini manufaa ya makataba huo kwa Timu za Taifa. Taarifa ya Wizara hiyo imeeleza kuwa Waziri huyo...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda; Hizi sio jezi za stars, tuheshimiane

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa kwake na jezi mpya zinazosambaa zikidaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Waziri Makonda ameweka wazi msimamo wake kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa vazi hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda afika Barcelona, akabidhi jezi yenye jina la SAMIA na lake

    Ila TANZANIA
  5. JamiiForums Tanzania Mbona Paul Makonda hayuko frontline kwenye camera kama zamani

    Tunakumbuka kuwa Paul Makonda alikuwa mtu wa Main stream, ilikuwa ni ngumu kupita miezi bila yeye kuonekana kwenye media, alikuwa yuko radhi atangaze kuwaletea Arnold Schwarzenegger na Sylivester Stallone a.k.a John Rambo... lakini ni muda sasa haonekani kwenye media. Je kaamua kuwa low key au...
  6. JamiiForums Tanzania Bashe Atunukiwa Tuzo ya Sera Bora za Mifumo ya Kilimo.Amedhihiridha Alikuwa Mtu Sahihi Wa Kusimamia Wizara ya Kilimo

    My Take Nilitoa ombi Kwa mamlaka la kumteua Makonda Wizara ya Kilimo lakini halijafanikiwa. Narudia tena kuwaombea wahusika watubadilishie Uongozi wpale Wizara ya Kilimo Kwa sababu walioko wameshindwa kuwalinda Wakulima na hatusikii tena ajenda za kuwalinda Wakulima Wadogo hususani kwenye...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri sasa vita vya chinichini ni kati ya Mwigulu, Makonda na Ndejembi

    Itakumbukwa waziwazi kuwa Mwigulu na Makonda Walikuwa wakimfitini Nchimbi. Halikadhalika Makonda hampendi Mwigulu na anatamani naye aanguke puuuhhh. Wasichokijua ni kuwa aliyeletwa yaani Ndejembi aye kama binadamu baada ya muda ataanza kuiwaza 2030. Hivyo ataingia ktk mawindo Siasa ni hovyo...
  8. JamiiForums Tanzania Makamu wa raisi ajaye ni Paul Christian Makonda.

    Paul Christian Makonda ni mwanasiasa mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Aliteuliwa katika nafasi hiyo ya uwaziri na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 8...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  10. JamiiForums Tanzania Makonda na Mwigulu Nchemba nani ataukwaa umakamu wa rais.

    Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba. Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti. Tuweni wapole , muda utazungumza . Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Namuona Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais!

    Kutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT. Hii aina ubishi na aina comeback! Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa. Over.
  12. JamiiForums Tanzania Yu wapi Waziri mchapakazi bwana Makonda?

    Ni kipindi kirefu sasa, ndugu yetu bwana Makonda hajatokea/ kuonekana isivyo kawaida! Makonda ambaye pia ni Waziri anayesimamia Michezo na Habari, imezoeleka ni Kiongozi apendaye aonwe mara kwa mara kwa matukio yasiyo punguka, ni ajabu sasa ni karibu ya Mwezi hajafanya hivyo. Si Kizimkazi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli CCM ndio inayotawala, ila wanaotawaliwa hawapo isipokuwa kundi la wauwaji pekee na 2030 tutadili nao

    Huu ndiyo ukweli uliopo Chawa mpoo!! 2030 au kabla ya hapo, wauwaji wote hamtajitetea, Kila aliyeshiriki kufanya mauwaji au kuhusika kwa namna yoyote Ile, hatakaa salama! TANZANIA yenye matumaini na Amani, ipo yaja
  14. B

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa waziri Makonda: Fuatilia michezo ya Jumuiya ya Madola genji inatia udhaifu timu ya taifa ya riadha

    Ni ukweli usiopingika kwamba kwasasa Riadha imekua. Ukuaji huu kwa umetokana na mazingira rafiki yaliowekwa na serikali hususani kupitia taasisi mbalimbali zikiwemo majeshi kwa kuajiri wana riadha ambao hawana kazi ingine yoyote zaiid ya kukimbia, na uboreshaji wa miundombinu mbalimbali na...
  15. JamiiForums Tanzania Imekuwaje Mwana FA,Msigwa na Makonda wote Kuingia Mitini kwenye ziara ya Nchimbi uwanja wa Afcon Arusha

    Comments ziwe fupi fupi ingekuwa Samia Wasingetokea pia? Nchimbi anatisha hata kikanusho hajaonekana
  16. JamiiForums Tanzania Makonda: Lissu ni mropokaji hata mazungumzo ya CCM na Upinzani tulimtumia sana Mbowe, anatunza siri

    Makonda alisema hayo akiwa Arusha akijibu tuhuma za Kumshambulia Lissu, alisema Lissu hata CCM huwa hawamwamini ndo maana Vikao uwa wanamshirikisha mbowe anatunza Siri na uwa anafika makubaliano vema na CCM si kama Lissu, https://www.youtube.com/watch?v=vskxiEQ9IMc Brunatnica
  17. JamiiForums Tanzania Huruma za Watanzania juu ya MAKONDA na MSIGWA ndiyo zinazotuumiza leo na zitaendelea kutuumiza sana, tuache huruma za kijinga

    Mimi kuna mda akili hua ina niambia Lissu atuache kutupambania sisi watanzania tulio wengi ni wajinga sana. Tulia nikupe mfano mzuri tu hapa utakumbuka vizur na nahisi utakubaliana na Mimi. Mama alivyoingia tu akafanya Uteuzi wa Zuhura Yunus kua Msemaji wa Serikali.. Unakumbuka watanzanoa...
  18. JamiiForums Tanzania Hongera Makonda kwa Uzalendo.. Samia akupe Uwaziri Mkuu

    Je nani ni mzalendo wa kweli kati ya yule anayetangaza nchi yake na anayemtangaza mkuu wa nchi yake? MY TAKE Ukila na kipofu usimguse Mkono. Haya ndi mambo Samia anataka ndo anaita Uzalendo. Tanzania ina viongozi wenye laana.
  19. JamiiForums Tanzania Nimepita Leaders club, hivi Makonda kamshauri Rais pajengwe kitu gani?

    Hii nchi ni una mataila, Nimepita Leaders club, nmekuta kinachojengwa ni ushuzi mtupu, nauliza naambiwa ni maandalizi ya Afcon real? Rais kashauliwa na kashaulika real? Makonda Makonda kumanyokooo
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Ya BongoFleva: Makonda Akataliwa Na Wananchi

    https://www.facebook.com/share/v/193vb1Mttf/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…