makazi

  1. Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  2. Ni kosa gani ulifanya wakati unanunua kiwanja cha makazi au biashara?

    Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine! Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile eneo, eneo lina viwanja takribani 300, sasa mimi nilienda kununua wa mwisho nikakuta maeneo mazuri...
  3. NHC: Ujenzi wote wa Nyumba za makazi na Ofisi za Umma ziwe kazi za na mali za milele ya Tanzania National Housing Corporation

    U hali gani Tanzania ! Naomba niweke mchango wangu wa mawazo hapa Jamii Forums. Napenda kuweka wazo rasmi kwa National Housing Corporation (NHC) kuwa ipewe umakini, umuhimu na umaanani katika ujenzi wa nyumba zote za Makazi na Majengo ya Umma hapa nchini yaani isitokee Raia yoyote afanye...
  4. U

    Watu milioni moja wakimbia makazi yao kufuatia mashambulizi makali ya Israel dhidi ya magaidi ya Hezbollah nchini Lebanon

    1 hr 53 min ago Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: 1 million people displaced in Lebanon, prime minister says One million people in Lebanon have “moved from place to place in just a few days,” the country’s caretaker Prime Minister Najib Mikati said on Monday as...
  5. Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

    Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo...
  6. A

    MASHAMBA /VIWANJA VYA MAKAZI NA UFUGAJI VINAUZWA MAENEO YA YOMBO MPERA, UMEME UPO.

    Habari wakuu,Kwa mtu anayehitaji huduma ya mashamba ya kununua,viwanja kwa ajili ya makazi,ufugaji,kilimo, unapata maeneo,umeme upo.hekari moja inaanzia milioni 15 na viwanja kuanzia laki 8 mpaka milioni 3.maeneo yapo YOMBO MPERA WILAYA YA MKURANGA.KARIBUNI SANA.
  7. Waziri mkuu wa India asherehekea na kufanya ibada kuzaliwa kwa ndama katika makazi yake

    Waziri mkuu wa India, Narendra Modi amesherehekea pamoja na kufanya ibada baada ya kuzaliwa ndama wa ng'ombe mwenye alama nyeupe kichwani katika makazi yake ya 7, Lok Kalyan Marg. Modi alisema makazi hayo yamebarikiwa kwa ujio wa ndama huyo aliyempa jina la Deepjyoti(mwali wa moto). Katika dini...
  8. M

    Siku ya maandamona Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kutoka kwenye makazi yako

    Nikiwa kama mtanzania mpenda amani ,naomba vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu vihakikishe kuwa siku ya hayo maandamano uchwara ya chadema ,viongozi wote wa chama haswa Mzee Mbowe,Mnyika ,Tundu Lissu,Mpuuzi Lema na Mjnga Sugu hatakiwi kutoka nje ya uzio wa nyumba zao kwa siko husika.
  9. G

    West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  10. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  11. A

    DOKEZO Uvunjifu mkubwa wa Sheria za Mazingira na Makazi Misugusugu, Kibaha - Pwani

    Mimi ni mkazi wa mtaa unaitwa Vitendo, Kata ya Misugusugu, Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani. Hapa jirani yangu kimejengwa kiwanda kikubwa cha kuten geza Ethanol na vingine vinavyotokana na molasses ya miwa. Tatizo linakuja, kiwanda kimejengwa ubavu kwa ubavu na makazi, kuna shule mpya ya...
  12. Waziri Ndejembi: Tuwajengee Watanzania Makazi bora ya gharama nafuu

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuendelea kutekeleza malengo yake ya msingi kwa kuwajengea watanzania wa kipato cha chini makazi bora na yenye gharama nafuu. Mhe Ndejembi ameyasema hayo leo Agosti 07, 2024...
  13. A

    Natafuta Mchumba (mke mtarajiwa): Makazi Mbeya mjini

    Kichwa cha habari cha husika hapo juu. 1. Mimi ni mwanaume ninayejielewa na nakusudia kufunga ndoa mwaka huu ikimpendeza Allah. 2. Miaka yangu 40, mwajiriwa serikalini na mjasiria mali pia. 3. Natafuta mwanamke kwa maana ya Mchumba ili ikimpendeza Allah basi tuweze kufunga ndoa mwaka huu tuishi...
  14. KERO Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo hasa maeneo ya Mivumoni na Marobo (Tegeta) pamoja na Kinzudi

    Maeneo ya Kinzudi Utupaji wa takataka kwenye makazi ya Watu umekithiri kwa kisingizio cha kuziba makorongo ambacho ni kinyume na uhifadhi wa mazingira. Walianza kwenye viwanja vilivyo mabondeni, makazi ya watu na sasa wanamwaga kwenye mito iliyochimbika baada ya mvua kukatika. Adha, hii...
  15. Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

    Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili: 1. Makazi pekee. 2. Makazi na biashara. Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je? Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
  16. Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara. Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
  17. Naomba mnipe ushauri wa sehemu gani nzuri na affordable ya kuweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi

    Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora. Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae. KUSUDIO: Ni...
  18. Balozi za Tanzania kutakiwa kuwa na makazi ya kudumu na siyo kulipa kodi ni sawa?

    Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara. Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu. Wazo la...
  19. SoC04 Programu ya Ujenzi wa Miji Salama ngazi ya Kata: Adhima kuboresha Makazi katika Mitaa na Vijiji

    UTANGULIZI Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi. Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu...
  20. SoC04 Programu ya Ujenzi wa Miji Salama ngazi ya Kata: Adhima kuboresha Makazi katika Mitaa na Vijiji

    UTANGULIZI Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi. Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…