Ukweli ni kwamba watu wenye ulemavu wana mahitaji mbalimbali, hivyo kupitia sensa itakuwa sehemu sahihi ya kushughulikiwa changamoto zao, baada ya kukamilika kwa utaratibu huo.
Kitendo cha kuwaficha wenye ulemavu hao kutawakosesha haki yao ya msingi katika shughuli za maendeleo zitakazokuwa...