makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais awasili Rwanda kumuwakilisha Rais Samia katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Afrika

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali nchini Rwanda ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mapinduzi ya Kijani Barani Afrika wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mheshimiwa Makamu wa Rais Dr. Mpango, iliyoko Tabata Kisukuru kwa Swai maji taka yanapita yanapita kwake.

    Wakuu ni muda mrefu saana maji taka toka ktk nyumba jirani na Mheshimiwa Dr Mpango, yana tiririka na kupita karibu na milango ya apartments za wapangaji wake. Ki tendo hiki hakivumiliki na ni aibu kwa kiongozi mkubwa kama yeye kuacha kiendelee bila kuchukua hatua. Siwezi kuweka video au picha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais asisitiza mambo mbalimbali ya kuzingatia kukuza uwekezaji na kuendeleza sekta ya utalii

    Makamu wa Rais, Philip Mipango, akiwa katika hafla ya kukabidhi magari ya kukuza Utalii, Mikumi, mkoani Morogoro amesema kutokana na wingi wa utalii unaoongezeka ni muhimu kwa wawekezaji wa ndani kuwekeza katika kujenga hoteli ili watalii wasiwe wanalala kwenye mahema mbugani Aidha amezitaka...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais akikabidhi magari katika Mradi wa Kukuza Utalii (REGROW), Agosti 17, 2022

    Makamu wa Rais ameshiriki wa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Magari maalum yatakayotumika katika kuboresha Miundombinu ya Utalii yaliotolewa na Mradi wa Kuboresha Usimamizi wa Maliasili na Utalii Kusini mwa Tanzania (REGROW) Mikumi mkoani Morogoro, leo Agosti 17, 2022
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha. Aliwatisha pia...
  6. JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais Dkt. Mpango huyu Tajiri Muha Muyama ni nani Kwako? Kwanini ana Kiburi na Kaibuka Wewe ulipokuwa tu Makamu wa Rais?

    Halafu wakati ukijiandaa ( ukiniandalia ) Majibu yangu kwa Maswali niliyokuuliza nina Swali lingine Kwako, kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na JWTZ kwa Kawe Lugalo. Makamu wa Rais na hao Watendaji wote niliowataja hapo juu pamoja na wa JWTZ ni kwanini hilo Ghorofa...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango asema wananchi waweke chakula huku mipaka hawajazuia kupeleka nje ya nchi

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua. Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan aondoka Nchini kuelekea Dakar, Senegal kuhudhuria Mkutano

    Taarifa katika Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango inasema, "Leo tarehe 06 Julai, 2022 nimeagana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya Mhe...
  9. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Rwanda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Madola

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  11. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais alivyowasili nchini Uswisi

    21 May 2022 Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alivyowasili nchini Switzerland Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Philip Isdor Mpango amewasili nchini Uswisi kushiriki katika kongamano la Davos World Economic Forum The World Economic Forum. Agenda nyingi zitajadiliwa...
  13. JamiiForums Tanzania Dodoma: Kilele cha Wiki ya Ubunifu Kitaifa 2022, leo Mei 19, 2022

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango yupo Mkoani Dodoma akiwa mgeni rasmi wa WIKI YA UBUNIFU KITAIFA 2022 Anthony Mtaka, Mkuu wa MKOA - Dodoma Tunawapongeza sana Wizara ya Elimu kuyaleta maonesho haya hapa Dodoma. Na sisi kama mkoa tumetoa fursa. Kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  16. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

    Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
  17. JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kujua kuwa bila Magufuli asingekuwa Rais

    Kumekuwa na mfululizo wa mashambulizi makali ya maneno ya kisiasa kutoka kwa Rais Samia na wasaidizi wake wa karibu dhidi ya mtangulizi wake marehemu Magufuli. Binafsi sifurahishwi nayo kwa kuwa yamemlenga mtu aliyekufa (Magufuli) na yanasemwa na waliokuwa wasaidizi wa marehemu Magufuli, ambao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…