Habari nyote
Ninaomba kufahamishwa uzi makini unaojadili tabia za wanyama na maumbile ya dunia na vilivyomo hapa JF. Mimi ninapenda hizi mambo. Hunitoi National Geographic TV, Discovery channel...
Siku hizi nimenogewa na WildEarth Tv, hawa wanarusha video live toka mbugani kule South Africa...