majumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba awataka Watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani. Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa hisabati anayefuata kufundisha watoto nyumbani kwao

    Mwalimu mahiri katika somo la hisabati shule za msingi, anafundisha katika shule ya msingi Misitu Kivule ilala dar es salaam ila katika Kipindi hiki cha likizo atakuwa anamfuata mtoto alipo na kumfundisha. Mzazi usimsumbue mtoto kwenda mbali na nyumbani. Huduma hii ni nzuri na ya uhakika...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hamas: Viongozi wetu wapo majumbani, vitani sio hospitali

    Hamas: kumekucha Viongozi wetu wapo majumbani mwao, na si mahospitalini. Wanapanga mikakati ya kuwamaliza Israel. Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema madai ya utawala wa Kizayuni kwamba viongozi wa harakati hiyo wapo katika njia za chini ya ardhi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye Notes au Books za mambo ya umeme wa majumbani

    Naomba mwenye access ya vitabu vinavo husu namna ya kusuku umeme wa majumbani
  5. JamiiForums Tanzania Hivi wazazi na walezi mnawezaje kuishi watoto viburi majumbani kwenu?

    Mimi ni mtoto wa pili katika familia ya watoto 8 nina miaka 27, bado naishi nyumba ya kifamilia bado mambo bila bila (maisha magumu kuhama) nimepoteza mzazi wa kike na wakiume anaishi mbali kidogo na sisi ila tunashukuru hajakataa uzazi wake. Kama mnavyojua katika familia lazima baadh ya muda...
  6. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu zimebaki Siku 4 tu ili JWTZ waanze Msako wa Nguo zinazofanana na Sare zao Majumbani na Mitaani

    Msije tu kusema kuwa Mzalendo Halisi GENTAMYCINE sikuwakumbusheni juu ya hili na Taarifa hii pia. Na wamesema Siku zao Saba za Huruma na Kuzisalimisha Kwao zikiisha tu Wakikumata nazo kwa Watakachokufanya unaweza hata ukashindwa kutoa Haja Kubwa ( Kuukweka ) kwa miaka mitano na utajua Mwenyewe...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani: Wafanyakazi San Francisco watakiwa kufanyia kazi majumbani kutokana na kiwango kikubwa cha uhalifu

    Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine. ======= Hundreds of employees at...
  8. JamiiForums Tanzania Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuleta Wadogo / Ndugu zenu wa Kike Majumbani mwenu, kwani Wanawavunjieni mno Ndoa zenu

    Kuanzia miaka ya mwishoni mwa 80 hadi mwanzoni au katikati ya 2005 60% ya waliokuwa wakiharibu Ndoa za Wanawake ni Wadada wa Kazi. Ila kuanzia katikati hiyo ya mwaka 2005 hadi leo hii nathubutu kuandika na tena kwa Kujiamini kabisa kuwa 99% ya Wanaoharibu Ndoa za Wanawake ni Wadogo zao wa Kike...
  10. JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa majumbani (pata 30% ukiniletea mteja)

    Fundi umeme wa majumbani kama kusuka, vifaa vya umeme kama pasi, heater, oven, microwave, fridge, n.k Ukifanikiwa kupata kazi au kuniletea mteja utapa 30% ya malipo ya mteja atakayotoa Tuma ujumbe pm. Dar es Salaam > Kibamba
  11. JamiiForums Tanzania Tuwalipe vizuri Wafanyakazi wa majumbani mwetu

    Wana jamvi habari za usiku huu, Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa. Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kuwa wakala wa rangi za majumbani

    Habarin wadau,samahani nilikuwa naomba kujua jinsi yakuwa wakala wa rangi za majumbani,je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo,na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani,nipo mkoan dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
  13. JamiiForums Tanzania Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Maprofesa na Madaktari wa UDSM zinathibitisha namna Taifa lilivyofeli. Je, hata majumbani kwao wanaishi kwa dhiki hivi?

    Naomba niseme ukweli kwamba ukitembea vyuo vikubwa Duniani utabaini Ofisi za waalimu ( Tutorial/Dr/Prof) NI eneo ambalo mnaweza mkakaa nakufanya majadiliano mkiwa na facilities zote. For the first time nimefika university of Dar es salaam kumwona rafiki yangu ambaye nilisoma naye Ila Kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali inipe tenda ya kuwatengezea maji bahari kwa matumizi ya nyumbani

    Salama wandugu Sijui tenda nitapata vipi Mimi mzalendo. Mimi nitazalisha nawauzia DAWASA. Kama tatizo kama hili linawashinda wasomi wetu hawa, kuna haja gani kuendelea kuwasema tu hapa JF bila kuwasaidia na kuisaidia nchi kama mzalendo namba 1. Ni ndani ya wiki mbili huduma inaanza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni suluhisho la 'Kikatili' la Kukabiliana na Paka wanaolia kama Watoto Wachanga Majumbani Nyakati za Usiku tu

    Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 ‘Panya Road’ ni panya tunaoishi nao majumbani na si vichakani

    Alisikika kamanda mkuu wa kanda ya kipolisi ya dar es salaam mwezi wa tano mwaka huu wa 2022 akisema wamefanikiwa kuwakamata vijana wasiopungua thelathini na moja 31 katika operesheni ya kuwasaka panya road iliyofanyika maeneo yote ya mkoa wa dar es salaam ambayo ilianza takribani tarehe...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Samadi ya maji ya majumbani ya faida zake

    Samadi ya maji ya majumbani ni mchanganyiko wa samadi ya kuku, kinyesi cha wanyama wa kufugwa katika hali zote mbili yaan unyevu au ukavu. Wanyama hao ni ng'ombe, nguruwe, mbuzi na kondoo pamoja na maji. Viungo vyote hivi vina changanywa kwa pamoja na vinaweka kwenye chombo kama ndoo au kuroba...
  20. JamiiForums Tanzania Majumba ya kifahari ndani ya pori hapa Arusha ni mfano wa kuigwa

    Wakuu, Waswahili wanasema tembea uone! Katika pitapita zangu kama vlogger huku Arusha nimekutana na majumba ya kifahari, viwanja vya Golf, mito ya maji safi, wanyama mbalimbali na makazi yenye ubora wa hali ya juu vyote vikiwa ndani ya pori! Yaani wakati tunabanana hapo mwananyamala na Manzese...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…