majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mke wangu hatimizi majukumu yake ya nyumbani ipasavyo

    Heshima kwenu ndugu zangu. Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua. Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali, Nimekaa nikatafakari sana nikaona bora nilete huku jambo langu hili ili nipate mawazo mapya. Nimekuwa...
  2. Hivi ukiishia Certificate ya Clinical Medicine unakua na majukumu gani kazini?

    Habari wakuu, nauliza ukisoma ile technician certificate NT Level 4 ya miaka 2, majukumu yako kazini yanakua ni yapi ukilinganisha na mwenye diploma?
  3. Iramba: DC Mwenda ataka mpango mkakati wa kutekeleza majukumu, akaza kamba kero za Wananchi

    MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI. Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
  4. B

    Kurugenzi ya Sheria ofisi ya Rais msaidie Jaffar kuweka "citations" za sheria aliyotumia pale anapotekeleza majukumu yake, kuondoa utata wa press zake

    Press release za serikali ya Tanzania zimekuwa na story tu, zinakosa Jambo kuu ambalo ni msingi wa sheria pale hoja inapohusuJambo la kisheria. Rais anapofanya uteuzi Kuna sheria iliyompa hiyo mamlaka, lakini press zote hazina sheria inayoonyeshwa. Rais anapofuta umiliki wa ardhi au anapotengua...
  5. J

    Dkt. Mollel: Chanjo ya Corona ni salama, ndio maana Rais Samia baada ya kuchanja akaenda Lugalo kuendelea na majukumu yake

    Naibu Waziri wa afya Dkt. Mollel amesema chanjo ya Corona ni salama ndio maana Rais Samia mara tu baada ya kuchanjwa aliweza kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Mollel amesema Rais Samia alitoka Ikulu baada ya kuchanjwa na kwenda Lugalo Hospital ambako alifanya ukaguzi na kufungua mradi...
  6. Ni yapi Majukumu ya BAKWATA?

    Kwanza nitangulize tahadhari sina nia ya kukashifu dini yoyote wala kufanya uzi huu sehemu ya malumbano Si kwamba nataka kuyaelezea majumu hayo la! Bali nataka mniambie ni yapi maana naona kama nielewavyo mimi sivyo Kuna hiki chombo kilichojipa mamlaka ya kusimamia waislam Tanzania (nina maana...
  7. Mwandishi wa habari akamatwa na Polisi akiwa katika majukumu yake mkoani Mwanza

    Taarifa ya kukamatwa kwa Mwandishi wa habari Shagata Suleiman na Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza. ................................................. Ndugu waandishi wa Habari na Taasisi za kihabari Nchini Tanzania, nasikitika kuwataarifu kuwa, Mwandishi wa habari mwenzetu na mwanachama wa Klabu...
  8. Kadri wanawake wanavyosimama kudai haki sawa, ndivyo wanaume wanavyozidi kuacha kutekeleza majukumu yao

    Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala linalopelekea wanaume kuwazalisha au kuwaoa na kuwafuja tu hawawi responsible tena. Zamani wanaume walikuwa...
  9. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Nikki wa Pili aanza kutekeleza majukumu

    Katika kuendeleza slogan ya mama yetu mpendwa mama Samia ya kazi iendelee. Mkuu wa wilaya ya kisarawe Mh.Nikki wa Pili ameanza kazi kwa kishindo kikubwa. Ametembelea miradi ya afya, ujezi, mazingira, maji na uwezeshaji wa vijana akiwa na siku moja tu kazini. Ni jambo kubwa sana Hili ni Jambo la...
  10. Ni zipi sifa na majukumu ya Mkuu wa Wilaya?

    Wadau naomba kujua yafuatayo juu ya sifa za kuteuliwa Ukuu wa Wilaya na KAZI za MKUU wa WILAYA. 1. Elimu 2. Umri 3. Ujuzi 4. Itikadi 5. Uzoefu Ili tusiwalaumu walioteuliwa kumbe wanasifa sahihi. Pia je, kama sio Watumishi Taarifa zao zinapatikana Wapi maana hawana MAFAILI. ====
  11. S

    Ili kuongeza ufanisi na makusanyo, TRA ivunjwe au ipunguziwe majukumu

    Habari Wakuu, Binafsi naamini moja ya chanzo cha nchi hii kutukukusanya mapato yanayoweza kutufanya tupige hatua kubwa zaidi, ni kuwa na taasisi moja(TRA) iliyokabidhiwa jukumu la kukusanya kodi za aina zote tena kwenye nchi kubwa kama yetu. Moja ya sifa kubwa ya nchi yetu ni kuwa na utitiri...
  12. T

    Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  13. R

    Elimu itolewe Tamisemi haraka, wizara imelemewa majukumu

    Nimekuwa naifuatilia Tamisemi na jinsi inavyofanya kazi, ni dhahili wizara hii imelemewa na majukumu. Haiwezekani Tamisemi ichuje ajira za walimu, afya, kilimo n. k wakati Kuna tume ya ajira. Hiyohiyo wizara ihusike na uhamisho wa watumishi, iratibu mitihani na ulipaji posho, ishughulikie...
  14. Kuna wahudumu wa afya baadhi ya sehemu za kutolea huduma za afya wanakwepa majukumu yao

    Habari, Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini Nitatoa mifano hapa A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
  15. Sioni tatizo RCs na DCs kujiita cheo cha wanayemwakilisha eneo husika, kama wanatekeleza majukumu ipasavyo

    Katika hafla ya kuwaapisha wakuu wa mikoa, Mhe. Spika amewaasa wakuu wa mikoa kuacha kujiita marais wa maeneo wanayoyaongoza akidai kufanya hivyo kunawafanya kujiona kama Rais. Binafsi sioni tatizo kujiita jina la unayemwakilisha eneo husika. Lililo la msingi kwao ni kumwakilisha Rais kwa...
  16. Unaifahamu kampuni yoyote inayofanya door to door marketing?

    Habari za majukumu? Naomba mtu yeyote anisaidie details za kampuni zinazofanya door to door marketing. (Maarufu kama watu wa promotion, na wanauza bidhaa mchanganyiko kama vile vipodozi, sabuni, vyombo n.k kwa kuvitembeza mtaani) Nahitaji kupata details zifuatazo 1. Jina la kampuni 2. Mahali...
  17. B

    DC Jerry Muro umeusoma ujumbe huu na ukalinganisha na majukumu yako? Jiandae

    Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria. DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione clip mtaani? Hata Wananchi anaowasingizia wasipige hata picha? Vijana mnapewa madaraka kwanini...
  18. Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  19. Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa Sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania

    Nashauri tuanzishe Wizara ya Mafuta na Gesi (The Ministry of Petroleum and Natural Gas) ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania. Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji...
  20. Majukumu ya Katibu Mkuu

    Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya; 1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa. 2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama. 3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…