majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Inabidi tuseme wazi bila kupepesa macho!! Tatizo la Dr Koboko ni kuwa anaona kula kwa kadri ya urefu wa kamba ya udaktari tu haitoshi! anataka aunganishe na ile ya ufamasia!! Sababu yake ni kuwa eti kwa sababu anaweza kutoa dawa pharmacy bila mgonjwa kuwa na prescription Hataki mfamasia atoe...
  2. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina...
  3. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa askari wetu kuvaa au kutokuvaa uniform wanapotekeleza majukumu yao ukoje?

    Wasalaam, Kwanza kabisa niwapongeze na kuwashukuru askari wetu wa jeshi la polisi kwa KUTEKELEZA MAJUKUMU yao, watu mengi huwabeza askari wetu lakini ukweli ni kwamba bila wao hata kaugali tusingeweza kulala kwa amani huku mitaani. Jambo ninaloomba ufafanuzi ni kwamba ukoje utaratibu wa askari...
  4. JamiiForums Tanzania Je TISS haina weledi wa upataji wa taarifa au sio majukumu yake?

    Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:- 1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama? 2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama? Kwa hali hii je...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaoelewa majukumu mapya ya Lukuvi na Paramagamba Kabudi, tujulisheni ufanisi ukoje

    Nawasalimu kwa jina la JMT kazi inaendelea. Sina mengi ningependa tu kufahamu hawa wazee wetu Mzee Kabudi na Mzee Lukuvi majukumu yao mapya ya kuwa viranja wa mawaziri yameleta matokeo chanya? Na je ukitaka kuwapa ushirikiano ofisi zao ziko wapi za ukiranja? Ni hayo tu.😄😄
  6. JamiiForums Tanzania Huruhusiwi kumuingilia 'mke mdogo' wa baba yako hata kama Baba yako alimuacha kwa talaka

    Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama ataachwa baadae na baba yako. Hutakiwi kumuingilia wala kuonesha vishawishi vyovyote vya kumtamani.
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujitolea kujifunza kazi yako, unilipe pale nitakapoweza baadhi ya majukumu

    Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU. Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne. Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
  8. JamiiForums Tanzania Ni mbunge Mpina pekee anayetumia ubunge wake ipasavyo, wabunge mliobaki naomba tujikumbushe majukumu ya Bunge la Tanzania

    Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Majukumu ya Bunge yametamkwa katika Ibara ya 63 (2) ya Katiba ya Nchi, kwa maneno yafuatayo: “Sehemu ya pili ya Bunge itakuwa ndicho chombo kikuu cha...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje hajafanya jambo jipya, anafanya majukumu yaleyale. Tunahitaji ubunifu

    Kwa wale ambao wamekuwa wakitembelea Balozi zetu nje watabaini wazi kwamba muundo wa kiutumishi kwenye balozi zetu zote Duniani umejengwa kidiplomasia na tafsiri ya watendaji wa Wizara ni kwamba ukihudumu Wizara ya Mambo ya Nje basi wewe ni mwanadiplomasia na hivyo unaweza kuisaidia nchi kama...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yaweka majukumu ya kustawisha maeneo ya vijiji mwaka huu

    China imetoa Waraka wa Serikali Kuu kwa mwaka 2022, ambao umeweka majukumu makuu ya kusukuma mbele kwa pande zote ustawi wa maeneo ya vijiji mwaka huu. Ikiwa ni taarifa ya kwanza ya kisera kutolewa na serikali kuu ya China kila mwaka, waraka huu unachukuliwa kama kiashiria cha vipaumbele vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia majukumu uliyompa Prof. Kabudi ni sahihi ila kwenye timu ya mikataba mwongeze Prof. Luoga na Mwambe

    Nakupongeza Mh. Rais kwa kulipa umuhimu swala la mikataba. Mikataba kwa nchi hii iliturudisha nyuma hivyo ni muda sahihi kuirejea hata kama tulishakosea hapo mwanzo. Waswahili husema kutenda kosa si kosa ila kurudia kosa, ni sahihi kabisa kujirekebisha kwa maslahi mapana ya nchi hii. Mh. Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mawaziri wapya tumewaona, tunasubiri hati za majukumu yao ili tukusaidie kupima kasi yao

    Rais Samia, Pole na kazi ngumu ya kujenga taifa (ujasiriadola) katika mazingira mapya yenye changamoto lukuki. Kazi ya kujenga nchi inahusu kuuliza na kujibu maswali yapatayo kumi hivi, mojawapo likiwa: "Katika safari yetu ya kusukuma gurudumu la maendeleo kuelekea kwenye kilele cha mlima wa...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais yeyote yule ana Majukumu mazito sana wananchi tuungane kuwaombea marais wetu

    Raisi ni cheo kikubwa sana kinachotawala nchi yeyote duniani hapa Majukumu ya Raisi ni mazito sana kwasababu anatawala nchi yote kwa ujumla na kuhakikisha kila jambo linakwenda kwa usahihi kama katiba inavyo ongoza. Inapotokea Raisi ametingwa basi wananchi wakati mwingine wajaribu kuelewa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa Wizara

    MGAWANYO WA MAJUKUMU KATIKA UTENDAJI WA WIZARA Watanzania kwa Muda mrefu tulikuwa na hamu kubwa ya kuona Mgawanyo wa madaraka na Majukumu katika utendaji Kazi katika Serikali. Kuna Jambo kubwa sana la kujifunza na kujivunia kwa Rais wetu Mpendwa @SuluhuSamia jinsi anavyoongoza na alivyowapa...
  17. JamiiForums Tanzania First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

    Je umeshawahi kukutana na mtu akakueleza kwamba ''Huyu ni mdogo wangu'', lakini huyo mdogo mtu akaonekana ni mbavu nene na mkubwa kimaumbile kuliko mkubwa mtu? na wakati mwingine hata urefu mdogo mtu humzidi mkubwa mtu. Wazaliwa wa kwanza hufubaa sana kutokana na majukumu wanayo beba japo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, wanasiasa kutembelea sana Wanasiasa Wastaafu ni Utaratibu tu au nchi imewashinda na Majukumu ni mazito kuliko walivyotarajia?

    Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki. Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 askari polisi 13 waliuawa wakitekeleza majukumu ya kulinda raia

    Polisi wana kazi ngumu ya kulinda raia na mali zao, kubaini na kuzuia uhalifu, kukamata na kuwalinda wahalifu hadi wanapofikishwa mahakamani pia kulinda amani ya nchi. Hata hivyo takwimu za makosa ya uhalifu januari hadi disemba 2020 zinazotolewa na NBS zinaonesha mwaka 2020 polisi 13 waliuawa...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepotea Jamvini kwa sababu ya majukumu tu

    Nipende kuomba radhi kwa kupotea jamvini kwa muda. Sababu kubwa ni majukumu mengi niliyopewa. Wakati muafaka ukifika nitarejea. bado misimamo yangu ni ile ile na kamwe haitobadilika. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…