majitaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kanali Mtambi aonya Siasa za Majitaka Mara, TAKUKURU yakazia kupambana na Rushwa

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa mkoani humo. Kanali Mtambi ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DUWASA: Changamoto ya kusambaa kwa majitaka Dodoma kulikosababishwa na chemba kuziba, imetatuliwa

    MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Ni kweli Kariakoo kuna changamoto ya Majitaka, tunakaribia kuanza utekelezaji wa mradi utakaoleta suluhu

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji. Kutokana na changamoto hiyo...
  4. mzee kokona

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma mjini mfumo wa majitaka mbovu sana, pananuka kinyesi

    Dodoma mjini kati mitaa ya sokoni inanuka ushuzi kinoma, mitaro inayotiririsha majitaka kupeleka kwenye mtaro mkubwa iko wazi harufu mtindo mmoja.
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Njoro, Kaloleni wavamia na kujenga juu ya mtandao wa majitaka moshi

    Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba. Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na DAWASA Jijini Dar

    Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam. Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Visiwa na nchi zinazopakana na bahari zaingiwa na taharuki baada ya Japan kumwaga majitaka yenye sumu ya nyuklia baharini

    Hivi majuzi Japan ilianza kuyaachilia maji taka yanayotoka kwenye kituo cha nyuklia cha Fukushima na kuyamwaga kwenye baharini ya Pasifiki, licha ya kwamba nchi zake nyingi jirani zilionesha wasiwasi mkubwa juu ya hatua hii, na hata kupinga kitendo hicho. Japan inadai kwamba eti maji haya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mnaonaje tuwakabidhi wawekezaji kutoka Dubai Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASCO) ili tutatue tatizo la maji?

    Mkoa wa Dar es Salaam, umekumbwa na tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama kwa muda mrefu. Kuongezeka kwa idadi ya watu na ukuaji wa mji umesababisha ongezeko la mahitaji ya maji, huku miundombinu ya zamani ikishindwa kukidhi mahitaji hayo. Katika kusaka suluhisho endelevu, nafasi ya...
  9. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Tutake tusitake siasa za nchi hii ni majitaka na za kiyawani! Katiba mpya ni lazima

    Siasa za nchi hii zimekuwa za kijinga sana aisee mbaya zaidi hata wananchi wenyewe wamekuwa kama mbwa koko hawawezi kuuma yaani wapowapo yaani hawana hili wala lile kila uchwao kulalamika tu bila action yoyote yaani wamekuwa wajinga tu yaani wao ni kulalamika tu! Huu ujinga wa kulalamika...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa ni majitaka yenye Zebaki (Mercury)kutoka migodini siyo maji ya maiti!

    Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform. Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Waliojenga kando ya bahari au maziwa, majitaka yao huenda wapi?

    Kwa hapa Tanzania, na huko Ulaya. Huwa yanaenda wapi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Huduma zetu! KUCHIMBA VISIMA VYA MAJI. KUWEKA NA KUTENGENEZA BOMBA (PLUMBING SYSTEM) KWENYE MAJENGO YALIYO KWENYE UJENZI NA YATUMIKAYO. KUBADILISHA/ KUSAFISHA PIPE ZA MAJI SAFI/TAKA ZILIZOPASUKA/ KUZIBA. KUTENGENEZA (REPAIR) PUMPS ZA MAJI. 0759600809 Gerezani
  13. Kiume3000

    JamiiForums Tanzania Kuna chanzo kizuri cha mapato, kwanini Serikali imelala? Manispaa na Majiji mifumo ya majitaka inawahusu hii

    Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana. Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Wanaotiririsha majitaka Mabibo wapewa siku saba

    MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na Manispaa ya Ubungo, wametoa siku saba kwa wananchi wanaotiririsha majitaka katika mabwawa ya Mabibo kujisalimisha. Mamlaka hizo zimesema, wahusika wote, wajisalimishe Manispaa au DAWASA na wale watakaokaidi agizo hilo ndani ya...
  15. Byra toilet construction

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji na ujenzi wa shimo la choo la kisasa kwa bei rafiki

    Hello, Watanzania habari? BYRA TOILET CONSTRUCTORS Tunachimba na kujenga shimo la choo kwa mfumo wa kisasa usiojaa maji taka wala kutoa harufu kwa mda mrefu sana..kwa gharama zifuatazo: 1,200,000/= kwa mkoa wa Daresalaam 1,500,000/= kwa mikoa mingine Note: KWA BEI HIYO KILA KITU NI JUU YETU...
Back
Top Bottom