Akizindua soko kuu jipya la Karikoo leo, Februari 8, 2026, Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wasimamizi wa soko hilo kuhakikisha suala la usafi linazingatiwa ipasavyo, ikiwemo miundombinu ya majitaka.
Amesema kuwa miundombinu ya soko hilo ikisimamiwa vyema itachangia kuwepo kwa mazingira...
WaTz wengi haeajui uhalisia wa mambo hasa kisiasa wanadhani mtu kisiasa anapimwa kwa elimu yake na pesa au style ya maisha yake,wengi mlimdharau Babalevo na kumkashifu na kusahau kuwa kuna Mungu haya msiemtaka kaletwawa.
Mjifunze kubakiza maneno wakati mwingine,Babalevo ni bora kuliko wote...
Ukifika hapa Mwenge jirani na Equity Bank na Mikocheni 'B' usawa wa Clouds FM mitaro imejaa maji taka na taka.
Hii ni aibu ikiwa tunazo mamlaka za kuhakikisha usafi. Wahusika DAWASA na Halmashauri Kinondoni tokeni maofisini mje mfiksi hizi kero, ni aibu kuwa na uchafu namna hii.
CCM wamekumbuka kuweka kwenye ilani mpango wa miji kuwa na mifumo ya maji taka iliyounganishwa badala ya kila nyumba kuwa na shimo la choo la kuhifadhi kinyesi na maji taka uani wanaloishi nalo uani na linalonyonywa na magari?
Habari wanajamvi, eti kuna njia ya kupunguza mzigo wa majitaka kwa njia mbadala.
Kuna mtu kanishauri ninunue chumvi kg 5 , chlorine lita 1 na chokaa kg 5 nichanganye pamoja halafu nimwage ndani ya shimo?
Je ni kweli? Nahofia nisije nikatengeneza bomu mambo yakaharibika zaidi
Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden.
Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi kubwa ambayo ungeweza kuitumia kwa kitu kingine chenye tija. Hujaa na kutoa harufu mbaya, inakusumbua...
UTIRIRISHAJI MAJITAKA POSTA WADHIBITIWA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imedhibiti utiririshaji wa majitaka kwa uondoaji wa majitaka na taka ngumu zilizokuwa zimepelekea chemba kuziba katika eneo la Posta.
Mamlaka inasisitiza matumizi sahihi ya miundombinu ya...
Juzi niliandika hapa JF taarifa kuhusu maji taka yaliyokuwa yakitiririka eneo la Posta barabara inayotokea Kanisa la KKKT kuelekea Karimjee ambayo yalikuwa yanatoka katika chemba zilizokuwa zimefumuka.
Inadaiwa kuna maafisa wa Mamlaka ya Serikali wamefika na kutengeneza miundombinu iliyokuwa...
DC KIBAHA AFUNGUA BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI DAWASA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amefungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).
Akifungua kikao hicho katika Shule ya Uongozi ya Mwalimu Nyerere Wilayani Kibaha, Mhe...
Sura ya mji wowote hujionesha kwenye maeneo makuu ya kibiashara (business center), soko kuu na stendi kuu ya mabasi...
Kwa wakazi wa Tabora na wasafiri kama mimI mnaofika ktk mji huu wa Tabora mara kwa mara kwa njia ya barabara kwa kutumia usafiri wa bus, mnaweza kuthibitisha hili, kwamba...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo itasaidia kupunguza gharama za kuzoa majitaka kutokana na ufinyu wa maeneo ya kuyahifadhi...
Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
WAZIRI AWESO ANADI MIRADI YA MAJI KOREA
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa H. Aweso (Mb) ametembelea na kufanya mazungumzo na Benki ya EXIM ya Korea ambayo imefadhili utekelezaji wa miradi ya Majitaka nchini Tanzania yenye jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 248.3 (Mkoa wa Dar es Salaam 90 $US milioni...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa mkoani humo.
Kanali Mtambi ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na viongozi wa vyama vya siasa...
MREJESHO KWA WADAU: DUWASA YATATUA KERO YA MAJITAKA
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) inapenda kutoa mrejesho kwa wadau na wateja wake kuwa changamoto ya iliyokuwepo ya kusambaa kwa majitaka kulikosababishwa na chemba kuziba imetatuliwa mapema mara baada ya kupokea...
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mkama Bwire amesema wanakabiliana na changamoto ya maji taka katika eneo la Kariakoo kutokana na miundombinu iliyopo sasa kuelemewa na kushindwa kuendana na uhitaji.
Kutokana na changamoto hiyo...
Wananchi wa Kata za Njoro na Kaloleni Manispaa ya Moshi wamevamia na kujenga makazi ya kudumu juu ya mtandao wa majitaka na hivyo kukwamisha Oparesheni ya kuzibua chemba zinazoziba.
Mbali na Hilo,wananchi hao wamekuwa wakitumia vibaya mtandao wa majitaka kwa kutupa takangumu kwenye mfumo wa...
Kazi ya kusafisha mifumo ya majitaka ikiendelea kutekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) katika mtaa wa Mchikichi na Kongo Kariakoo Jijini Dar es salaam.
Kuziba kwa mfumo huu kunasababishwa na wananchi wenye tabia ya kutupa taka ngumu ikiwemo mawe makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.