Muda sio rafiki sana ila haraka haraka kwa mwendo wa Ngiri tupendekeze majina 10 ya members humu walioupiga mwingi hapa JF. Tukijaliwa kabla ya tarehe 31 Dec 2024 tutatoa final list ya 10 bora.
1. MamaSamia2025
2. Pascal Mayalla
3. Lucas Mwashambwa
4. Tlaatlaah
5. Mbaga Jr
6. USSR
7...
Wadau, nifahamisheni watu hawa waweza kuwaita kwa jina gani kwa uhusiano huu.
1. Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. (Yaani ameoa mdogo wa mke wangu), mimi namuitaje?
2. Mdogo wa kike wa Mwanaume ambaye tumeoa familia moja.
3. Wanawake ambao wameolewa familia moja (Yaani wanawake wawili...
Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi.
Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
📖Mhadhara (68)✍️
Katika mizunguko yangu ya leo tarehe 27/11/2024, majira ya saa 14:20 nilifika kwenye duka la nguo la dada mmoja mwenye umri kati ya miaka 30 - 40. Wakati nachagua nguo dada huyo akiwa na mwenzake walikuwa wanazungumza jambo. Kwenye mazungumzo yao dada mwenye duka anamshauri...
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
Kuzaliwa kwa vituo vipya vya kupigia kura tofauti na vilivyotumika kuandikisha imetajwa kuwa sababu ya wananchi kutoona majina yao katika sehemu walizojisajili.
Hilo limesemwa na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kata ya Mtoni, Nobert Kamugisha baada ya kuwapo kwa malalamiko ya baadhi ya watu...
Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari.
Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika,
Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao,
Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi...
Ndugu zangu,
Tukiweka imani za dini pembeni na ukikaa ukichunguza sana huku unajiuliza maswali mengi utakuja kugundua kwamba kuna utata wa majina ya kijinsia , maumbo ya kijinsia na mavazi yake? .
Swali.
1: Ni kwanini basi jinsia ya kike ikaumbwa kwa umbo lile na imekuaje kuaje mpaka ikawa...
WKuu
Nina kijana yuko form 3 anaingia form four.
Sasa majina anayotumia jina la katikat siyo sahii nataka nibadili.Shuleni walidai haiwezekani.
Je utaratibu wa kisheria ukoje
Leo nataka nikupe haya maarifa hadimu Sana, tena Sana.
Wenye hekima Watanielewa.
Kule nchi ya mbinguni au peponi, kuna itawala wa KIMUNGU. Wale wenye neema ya kuingia mbinguni watauona huu utawala.
Utawala huu Mungu ameandaa kwa ajili ya Wanadamu.
Sasa basi, kwa sehemu, Mungu ametufunulia...
Baada ya majina ya wagombea kutolewa jana na kubandikwa hali ya sintofahamu imeendelea kujitokeza km ilivyo kwenye maeneo mengi nchini.
Mkoani Singida kata ya Utemini ambayo inasimamia mitaa mitatu ya Sabasaba, Utemini na Stesheni wagombea waliobandikwa ni wa CCM tu.
1.Mtaa wa Sabasaba hakuna...
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya:
Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar.
Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya...
Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili.
Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya kiarabu kwa waislamu.
Zama za kale watu walipewa majina kulingana na vitu mbalimbali au matukio...
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Longdon kata ya Sokoni One Jijini Arusha, wamedai kuwa hawatashiriki uchaguzi wa kumchagua mwenyekiti wa eneo hilo kutokana na aliyeongoza kupata kura za maoni 189 jina lake limekatwa na aliyepata kura 36 jina kurejeshwa kama...
Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji.
Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo".
Nitatoa mifano:
1. Majina...
Ni zaidi ya Wiki moja sasa tangu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, alipotoa agizo kwa Jeshi la Polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua wale waliohusika katika wizi wa vitabu vya majina ya wakazi katika kituo cha Josho, kijiji cha Kikelelwa, wilayani Rombo. Tangu wakati huo, hakuna taarifa...
Wanajamvi,
Hayawi hayawi sasa yamekua. Naona TAMISEMI na DAs wengine wameanza kuachia mikeka. Leo ni zamu ya Dar Es Salaam. Hongereni sana kwa mliopata.
Wengine tuendelee kusubiri.
NOTE: Ikitokea nafasi omba. Unaweza omba Songea ukaibukia TMDA
Majina haya ya kiarabu asili yake original ni ya wayahudi yenye lugha ya kihebrania,
Kama una majina haya basi tambua kwamba asili ya jina lako ni kwa wayahudi
Shlomoh - Suleyman (Sulemani)
Mosheh - Musa
Amram - Imran
Chanokh - Idris
Dawid - Dawud
Yishmaʿel - Yahya (Yahaya)
HaSatan - Shaytan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.