majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Taasisi Zenye Majina Makubwa Serikalini Wana Maisha Magumu Sana Kwa Sasa, Waliopo Halmashauri Wengine Wanawazidi Maisha

    kuna jambo nimeliona katika hii miaka miwili ya fedha ya 2025 na 2026, sijui nini kimetokea kwenye baadhi ya taasisi za Serikali, lakini hali ya ukata ni ya kutisha sana. Kuna taasisi ukisikia jina lake unaweza kudhani watumishi wake wanakula mema ya nchi. Unasikia mtu anafanya kazi kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Dhana ya wazee wetu wa zamani kubadili majina ya wake zao kufuata koo zao mara tu wanapowaoa kwanini sasa imekuwa ngumu?

    Habari, Nimeleta mada hii kwenu baada ya mama wa watoto wangu kunieleza hadharani kwamba hawezi fanya ujinga huo, Mama wa watoto ameniambia wazi kwamba kubadili majina yake kwenye vyeti vyake kufuata majina ya koo yangu ni ujinga, Hoja yake imenikwaza kwasababu binafsi nimeona ni kama...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanadamu wakitoka nje ya dunia wanapewa namba na sio majina yao?

    Kuna mada nimekutana nayo kuhusu kuwa sisi wanadamu ni namba na ndio maana namba zikizidi au kupungua sawa na ajari ya watu kumi masai mmoja. Kwa nini mpaka vitambulisho vina namba na ukiangalia namba hizo ni lazima kuwa watu fulani. Namba ni nini kwa elimu ambayo hata uzazi wanasema mtoto wa...
  4. JamiiForums Tanzania Ili kupambana na ukata huu mkali ilibidi vijana wa-normalize uhalifu na tabia mbovu na kuupamba majina ili tu wasiwe pressured na jamii

    1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa connection 3: Machawa imekuwa hyped ila kiukweli watu wanauza utu na ubinadamu wao kwa ajili ya kumpamba mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Thread ya kuweka majina kuwasadia wazazi VIJACHO, na wanaotafuta majina mapya. Taja jina, jinsia, asili na maana yake

    Ashe-Engai Jinsia: me Asili: Maasai Maana: Ashe = Ahsante, Engai = Mungu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti na mikoa zipo nyuma ?

    Kasoro mikoa michache kama Kilimanjaro, mikoa mingi yenye makao makuu kwenye wilaya zenye majina tofauti zipo nyuma sana 1. Musoma - ipo nyuma sana, mji huu ukitoa watumishi wa umma na majengo ya serikali upo nyuma sana 2. Bukoba - Mji upo nyuma sana kwenye mzunguko wa pesa, wengi wameukimbia...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadilisha majina yote matatu kwenye ID yako?

    Huwa natamani sana kubadilisha majina yangu yote matatu,najua haitobadilisha kitu kutoka kwa mzee wangu,atabaki kuwa mzee wangu hadi kiyama. Je inawezekana au ni jina la kwanza tu..!?
  8. JamiiForums Tanzania Tuambie majina yako ya utani tukujue wewe ni wa kishua au mtoto wa kitaa

    Members. KILA MTU ana maisha Fulani ivi ameyaishi. Katika ukuaji wake. Tukiwa bado wadogo tuna jishepu kutokana na maisha HALISI ya kwenu na wazazi wetu. Mimi binafsi nimeisha maisha ambayo ata ukiniambia niyarudie sito kubali. Nimeisha katika MAZINGIRA magumu mno, KIASI Cha kujitegemea nikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania HERVÉ FALCIANI: MTU ALIYEVUNJA UKIMYA NA KUVUJISHA KWA DUNIA MAJINA YA MAFISADI WANAOFICHA PESA ZAO BENKI YA USWISI

    Usiku wa Desemba 22, 2008, Geneva ilikuwa katika hali yake ya kawaida ya majira ya baridi. Baridi ilikuwa imetanda. Krismasi ilikuwa karibu. Mji ulikuwa ukijiandaa kwa sikukuu, huku katika majengo ya kifahari ya benki za Uswisi, fedha za matajiri wa dunia zikiwa salama nyuma ya milango...
  10. JamiiForums Tanzania Kama hutaki mkeo afanye kazi. Andikisha Mali kwa majina yenu au yake. Nje ya hapo huo ni uhuni.

    KAMA HUTAKI MKEO AFANYE KAZI. ANDIKISHA MALI KWA MAJINA YENU AU YAKE. NJE YA HAPO HUO NI UHUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shahidi. Moja ya nguzo kuu za maisha kwa Watibeli ni Kufanya kazi. Kazi ni ibada. Iwe ni mwanamke au mwanaume wote lazima wafanye kazi. Kazi ni shughuli...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini Biblia ya Kingereza ilitengeneza majina ya Kizungu kama Jesus, John, Luke, Mark na Mathews ?

    Lengo la wazungu lilikuwa nini hasa walipoyabadili majina ya mashariki ya kati kuyafanya ya Kizungu mfano Jesus, John, Mathew, Luke au Mark ? Kwa nini pia majina ya Biblia yakipelekwa kwenye lugha nyingine kama Kiswahili yanabadilishwa mfano kuwa Yesu, Mathayo, Luka, Marko au Yohana?
  12. JamiiForums Tanzania Hii kitu ina majina mengi, huko kwenu inaitwaje?

    Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
  13. JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini makampuni ya simu mmeruhusu kusajili line za matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation, ili wawatapeli wananchi?

    Vodacom Tanzania, mmewasajili matapeli kwa jina la Mo Dewji Foundation
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  16. JamiiForums Tanzania Tuongeze thamani ya majina yetu

    Unajisikiaje kutumia jina lile lile ulilopewa na wazazi wako toka udogoni mpaka unakufa nalo? Kama tunaweza kuongeza thamani ya viwanja vyetu, mashamba, majengo n.k, ni muhimu pia kuongeza thamani ya majina yetu. Kama mpaka umri huu, bado unatumia majina yaleyale uliyopewa na wazazi, na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MAJINA YA NYIMBO ZA RHUMBA KALI

    Wakuu natafuta nyimbo ambazo Zinamiondoko kama ya nyimbo hizi za rhumba 1. Innos b "avertisement" 2. Fally ipupa "Mh 3. Papa wemba "Emmanuelle" 4. Nyinginezo Yaan rhumba fulani ivi smooth afu solo fulani ivi wakuu Naomba mnitajie majina ya NYIMBO zinazoendanna na izo ziwe old au modern 🙏🙏
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Chupa ya kipa wa England ilikuwa na majina ya wapiga Penati wa Argentina

    Wachezaji wa Argentina waliiotea chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, ambayo ilikuwa na maelekezo yaliyoonyesha upande ambao kila mchezaji wa Argentina alitarajiwa kupiga penati iwapo wakifika katika hatua hizo. Baada ya kuiona, wachezaji wote wa Argentina walikusanyika kuisoma...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Jina la Yesu lina TBS kuzidi majina mengine yote

    Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2 – "Akanitoa katika kisima cha uharibifu, na katika matope matepete; akasimamisha miguu yangu juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…