Hawa kina Maharage Chande kazi imewashinda kabsaa, wameandaa slide kuhadaa umma hatua za JNHP, wakati si kweli.
Kigoma wamezima majenerata, umeme mdogo, unakatikakatika na kusuasua, katoa majibu ya kibabaishaji akimuingiza Ndalichako kutafuta huruma, nonsense kabisa.
Mkurugenzi hilo la kigoma...
Mteja...
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili?
Mfanyakazi Dawsco....
Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika?
Mteja.....
Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
Wakati Rais Samia akitarajiwa kufanya kikao cha Dharura na Baraza la Mawaziri kujadili suala la Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyoua watu 19, haya ndio yanayosubiri majibu ya Serikali.
Uwajibikaji wa Idara za Uokoaji nchini ukoje?, Idara hizo zina Miundombinu sahihi na inayostahimili hali...
Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi.
Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda.
SWALI: Wale...
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu...
Habari zenu wanajamvini,
Naomba kuuliza kuhusiana na matokeo ya usahili wa mahojiano ilifanyika tarehe 19/09/2022 chuo Cha Tengeru Institute of community development kwa kada mbali mbali, je majibu yameshatoka toka utumishi?
Na waliofanikiwa kupata NAFASI je wameitwa kwa simu au Bado...
Habari za muda huu?
Najua mko wazima kabisa! Wale mnaoumwa Mungu awajalie mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kumekuwa na hii imani kuhusu Virusi Vya UKIMWI watu wanatumia isivyo vipimo vya VVU(HIV SD BIOLINE au OraQuick HIV test) kama namna moja ya kijikinga ya haya maradhi. Watu wamekuwa...
MIRADI YA SERIKALI KATIKA TAASISI ZA SERIKALI
Hapa Bado Kuna maumivu makubwa na usumbufu kwa viongozi wasimamizi wa miradi,wazabuni na wakandarasi
Kama siyo TAMISEMI kunyanyua zaidi camera ili kuwaona adui zetu (mafisadi) ambao wamatawanyika zaidi, basi, TAKUKURU,TAMISEMI NA USALAMA ongezeni...
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
Doc Benway
4 hours ago
I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
Memba wote nawasalimu sana, moja kwa moja kuna mambo machache ambayo ni yakwaida ila yananitatiza kwa kutokujua maana zake, mwenye kuelewa anisaidie, Ni hivi unakuta
1) Mara nyingi naona majengo makubwa yakiwa katika hatua za ujenzi uzungushiwa mabati au gorofa kufunikwa kwa vitambaa. Je, ni...
Anaandika, Robert Heriel
Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha.
Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
Habari za muda huu wana Jf, nimeona na kusoma comments zote za uzi wa Retired wenye kichwa cha habari " Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?
Nilichogundua watu wamekosa umakini kwa kiwango kikubwa watu wengi wanajadili bila facts na porojo nyingi sasa nimejipanga kujibu baadhi ya hoja...
Waziri utukufu wa mungu ukawe juu yako, na nakupa pole na majukum yako kwa mbali sana maana ni kazi yako na ujira unalipwa hufanyi bure.
Naja kwenye dhumuni la andiko hili, moja kwa moja maana u waziri mwenye dhamana kwa hili.
Ndugu waziri chini ya wizara yako vipo vitengo vingi ambavyo kwa...
Kosa moja siku zote linaloendelea kutugharimu basi ni kusikiliza bila kuelewa hatupo tayari kusikiliza tumejianda kujibu kila wakati.
Inawezekana hii ni tabia yetu ya kutotafuta Ukweli, binafsi suala la Makinikia nimekuwa nikilifahamu hata kabla ya Mhe. Magufuli kuliweka kwenye meza ya...
Nakusihi Spika, ulichomfanyia leo Dkt wa Uchumi hakikubaliki machoni mwa wana CCM
Dkt kajikanyaga hadi huruma Trilioni 360 hatujui ziliko, hongera kwa Luhaga mpina kwa swali zuri.
Sasa mama wana CCM hawapendi mambo kama hayo na usirudie kuwabana mbele ya kadamnasi namna ile, utaundiwa zengwe...
Sakata la Makinikia limetinga bungeni baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuhoji kwa nini Serikali ilikubali kupokea Tsh. Bilioni 700 zilizotokana na kesi za malimbikizo ya madeni ya Makinikia badala ya Tsh. Trilioni 360 ambayo ni madai halali kwa Tanzania.
Mpina amehoji swali hilo la...
Jamani za leo?
Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu.
Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 .
1. Wanaume msiojielewa.
Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...