maji

  1. JamiiForums Tanzania Siku ukizama kabisa kwenye kina kirefu cha maji

    Kipindi cha mashindano ya dunia kule Budapest, Hungary; Anita Alvarez alizama chini kabisa mwa Pool. Ukiangalia pale kwenye dawati la wakufunzi, Andrea Fuantes ambaye ni kocha wake anaonekekana kutokuwa na utulivu sababu mwanafunzi wake yupo chini kwa muda mrefu. Anakurupuka na kuzama majini...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Hali ya huduma ya Maji Safi Dodoma

    Hali ya huduma ya Maji safi Dodoma. Kufuatia ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lililosababishwa na Serikali kuhamia Dodoma, mahitaji ya maji yaliongezeka kutoka Lita Milion 44 kwa siku mwaka 2017 hadi Lita Milion 133 kwa siku mwaka 2023. Vyanzo vyote vya maji vilivyopo Dodoma vina uwezo wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Dodoma ndio hakuna maji namna hii?

    Nimekaa hapa wiki moja nzima, mabomba hayatoi maji. Nadhani serikali imeharakisha kuhamishia makao makuu hapa Dodoma kabla suala la maji halijatengemaa. Awesu ndo yupo Italy anakula bata tu. ==== UFAFANUZI KUTOKA DUWASA ====
  4. M

    JamiiForums Tanzania Suala la timu ya USM Alger kuja na Maji na vyakula linafikirisha sana

    Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao. Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hii bili ya maji

    Habari zenu. Ni hivi nyumba ninayoishi ilikatiwa maji sababu mwenye nyumba hakwenda kulipa ingawa sisi tulimtumia bili yake kama kawaida. Sasa maji yalivokatwa niliangalia deni kupitia application ya kwenye simu yangu, lilikuwa ni 40185.2 wakasema lilipwe kabla ya May 21. Basi sisi tukaachana...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya kikazi ya Waziri Jumaa Aweso nchini Italia

    ZIARA YA KIKAZI YA MHESHIIWA JUMAA AWESO WAZIRI WA MAJI NCHINI ITALIA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso alifanya ziara ya kikazi Rome-Italy hivi karibu mwezi Mei mwaka 2023. Akiwa Italia Mhe Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Italia Mheshimiwa Mahamood...
  8. JamiiForums Tanzania Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Awaomba Wananchi Kuwa Walinzi wa Miradi ya Maji Inayoendelea Kuzinduliwa

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
  10. JamiiForums Tanzania Vifaa vya maji safi na salama vyakabidhiwa Jimbo la Gando

    JIMBO LA GANDO KUNUFAIKA NA VIFAA VYA MAJI SAFI NA SALAMA Mbunge wa Jimbo la Gando Mhe. Salim Mussa Omar amesema kwamba amemtuma Katibu wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la Gando Ndugu Mshani Ali Kachinga kukabidhi vifaa mbalimbali vya Maji katika Shehia tano vyenye thamani ya Shilingi Milioni...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uuzaji na usambazaji wa Bomba za maji (coil)

    Habari wakuu, Kampuni ya kutengeneza na kukusambazia Bomba za maji kwa Bei nafuu ya kiwandani kabisa Kila aina ya Bomba kuanzia class A, B, C, inch 1A, 1B, 1C, inch 1.5B & 1.5C. inch 2B, 2C. Pia Kila aina inatengeneza kulingana na order ya mteja. Karibuni sana wateja tufanye biashara. Pia...
  12. JamiiForums Tanzania Bilioni 5 kutekeleza Miradi ya Maji Jimbo la Ngara, Kagera

    MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na kutoa Shilingi Bilioni 3 Jimbo la Ngara kwaajili ya kujenga miundombinu bora ya Maji Safi na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma? Je, watu wa Dodoma wana maji safi ya kunywa?

    Utakuta tumekopa mabilioni kujenga ikulu kubwa zaidi duniani. Tumekopa hata ramani ya Mjerumani aliyotumia kujenga ikulu ya Magogoni, mwonekano ni uleule hata Zanzibari muonekano ni ule ule, nani katufinyanga namna hii? Ikulu ya kifahari kwa fedha za kukopa, kweli?! Embu angalia ikulu ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Pump ya kumwagilia maji 250000 TU

    Wadau ninauza pump hii hapa chini, Pump ni imara sana aina ya Robin kutoka Japan, inatumia mafuta kidogo sana . KARIBUNI
  15. X

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha kuratibu mfumo wa kumwagilia maji (Irigation Controller)

    Kifaa hiki kinawafaa wale ambao wana bustani au mashamba na wangependa kuratibu muda wa kumwagilia bustani au mashamba Kipo vizuri sana hakina tatizo lolote. Kipo complete na koki yake
  16. JamiiForums Tanzania OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  17. JamiiForums Tanzania DAWASCO na maji yenye tope Dar es Salaam

    Muda so baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam ukifungua maji ya DAWASCO asubuhi unakutana na tope zito. Maji haya machafu hayafai kwa lolote, hivyo mtu unamwaga mpaka lita mia moja unayolipia ndio upate masafi. Kusafisha na kutibu maji kwa kutumia Aluminium sulphate na chlorine siku hizi za...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu agombee tu Ubunge, hiyo ndiyo saizi yake ili akachangamshe Bunge. Urais maji marefu kwake!

    Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  20. JamiiForums Tanzania bunge wa Jimbo la Ulyankulu Mhe. Rehema Migila Amshikia Shilingi Aweso Mpaka Ajibu Hoja ya Maji

    MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji "Halmashauri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…