maji

  1. JamiiForums Tanzania DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
  2. JamiiForums Tanzania DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Oilver Semguruka Atatua Tatizo la Ukosefu wa Maji Shuleni

    MHESHIMIWA OLIVER ATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI SHULENI 🏷️Leo Tar 22 September, 2023 Mhe Oliver Daniel Semuguruka (Mbunge Viti maalum Mkoa wa Kagera) alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya Msingi Mgeza Mseto Bukoba Mjini, ambayo shule hiyo ni ya watoto wenye MAHITAJI MAALUMU. 🏷️...
  4. JamiiForums Tanzania Mchanganyiko wa nyanya, parachichi na vitunguu maji ni sahihi kiafya?

    Nimepanga niwe ninaula huo mchanganyiko mara tatu kwa wiki. Ni kachumbari ya nyanya, parachichi na vitunguu maji. Japo naweza kuitumia bila ya kuiwekea chumvi, ikiwekwa alau kidogo ladha yake inakuwa nzuri sana. Hata hivyo, kwa kuwa lengo langu kuu si shibe wala ladha bali afya, nimekuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia nikodie 'Chopper' ikakite Kambi Anga la Pwani ( Chalinze na Bagamoyo ) ili nikague Maji ya Mto 'yaliyochepushwa' kwenda Mashambani

    Halafu GENTAMYCINE nawaombeni tafuteni Uongo Mpya kwani huu wa kusema kila Siku kuwa Mvua hazipo hivyo Mito haijazi Maji katika Mabwawa ya Umeme ndiyo maana sasa Tanzania ( hasa Dar es Salaam ) kuna hii Kata Washa na Washa Kata umeshapitwa na wakati sawa? Endeleeni tu kutuona kila Siku kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kilio cha walimu na CWT kimekuwa kilio cha samaki machozi kwenda na maji.

    Hao jamaa kwa kitendo cha kugomea nafasi waliopewa na mh Rais kwenda kumsaidia kutekeleza ilani ni tatizo kubwa sana. Na chakushangaza maafisa utumishi katika Halmashauri mbalimbali nchini wanawaunga mkono hao majamaa kwa kuisapoti CWT. Wanaikandamiza CHAKUHAWATA ambayo kimsingi ipo kumsaidia...
  8. JamiiForums Tanzania DAWASA yafafanua sababu ya maji kukatika mitaa ya Tabata

    Baada ya kudaiwa kuna changamoto ya huduma ya maji Mitaa ya Tabata hasa kuanzia Posta kuelekea Segerea, ikiwa ni wiki ya pili kuna uhaba wa maji huku Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ikiwa haitoi taarifa ya kinachoendelea, ufafanuzi umetolewa. Awali ilidaiwa kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Poland yasema Ukraine ni mfa maji atawazamisha

    Kila raisi akipata fursa kuzungumza kwenye baraza la Umoja wa mataifa husema yale yaliyojificha moyoni.Hivyo ndivyo alivyofanya raisi wa Poland Andrzej Duda jana tarehe 19 ilipofika zamu yake. Katika hotuba yake hiyo aliendelea kutetea uamuzi wa nchi yake kutoruhusu nafaka zote za Ukraine...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi watakiwa kuoga kwa Dakika 2 tu na Kutoflash Vyoo kila wakati ili kutunza Maji Afrika Kusini

    Ni tahadhari ilitolewa na Mamlaka ya Huduma za Maji ya Jiji la Johannesburg Nchini Afrika Kusini ikiwataka Wananchi kutumia Maji kidogo vinginevyo watasababisha Mfumo wa Usambazaji Kuishiwa Maji kabisa. Wananchi wametakiwa kumwaga Maji kwenye Vyoo baada ya kwenda haja kadhaa na sio kila wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Umeme wa Msumbiji unatokana na Maji ya Mto Ruvuma, ila Mkoa wa Mtwara ( Tanzania ) ulio Jirani na Mto kuna shida ya Umeme

    Huwa napenda na kufurahi mno pale Wenye Akili Kubwa duniani na waliotutangulia Kimaendeleo duniani ( Wazungu ) wakituambia Waafrika ( GENTAMYCINE nikiweno ) ni Wapumbavu ( Mapopoma ) kwani huwa wanakuwa ( wako ) sahihi kwa 100%. Na kinachoendelea Kuniuma zaidi GENTAMYCINE ni kwamba Mkoa huo huo...
  12. JamiiForums Tanzania Choo cha Shima kinachohitaji maji kidogo tu

    Hiji ni choo cha shimo, nje unachimba shimo na unaweka bomba la kusafirishia uchafu. Uchafu unausukuma kwa ndoo ya maji. Ni rahisi kusafisha na uchafu unaoukusanya unaweza kuutupa shambani baada ya muda. Unaweza kuweka utararatibu wa kutapisha shimo kila baada ya miezi mitatu na kumwaga...
  13. JamiiForums Tanzania Kihesa Mgagao, Masege na Msalali Sasa Shida ya Maji Imeisha

    Kumtambulisha Mkandarasi Mradi wa Maji Kihesamgagao- Masege na Masalali Mbunge wa Jimbo la Kilolo, Mhe. Justin Nyamoga akiwa na uongozi wa RUWASA Wilaya ya Kilolo wamemtambulisha na kumkabidhi eneo la kutekeleza mradi wa ujenzi na usambazaji maji mkandarasi Mponela Construction JV Dimotoklasa...
  14. JamiiForums Tanzania DAWASA, mmeanza rasmi kutoa maji ya chumvi?

    Wasalam, Huu uzi naomba mods muwa tag DAWASA ili waje watupe jibu la swali letu. Je, DAWASA mmeanza kutoa maji ya chumvi rasmi? Malalamiko ya upatikanaji wa maji safi na salama yamekuwepo kwa muda mrefu sasa hali imebadilika baada ya kuanza kusambaziwa maji ya chumvi au yenye magadi makali...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

    Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
  16. JamiiForums Tanzania Katiba mpya tunaitaka, lakini sio kuliko maji, chakula na afya

    NI kweli Katiba hii ya mwaka 1977 ni nzuri sana kwa kiongozi na chama kilichoko madarakani. Hata CCM ikianguka leo chini ya katiba hii na sheria hizi za uchaguzi na jeshi la polisi haitarudi tena madarakani milele. Hata CHADEMA kama ikiingia Ikulu leo chini ya Katiba hii na sheria hizi za...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Massaga: Uzalishaji Maji tiba Hospitali ya Bugando kuokoa fedha ambazo zingetumika kununua maji tiba kutoka sehemu nyingine

    Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit). Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Hai Afanya Makubwa Kwenye Sekta ya Maji

    Mwaka 2020 jina la Saashisha Mafuwe likawa miongoni mwa majina 42 ya makada wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Hai, mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama ukafanyika na Saashisha Mafuwe akaibuka mshindi na baadae Chama kikarejesha jina lake...
  19. JamiiForums Tanzania Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

    Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
  20. JamiiForums Tanzania Bilioni 4.6 za Rais Samia Zaondoa Changamoto ya Maji Jimbo la Hai

    BILIONI 4.6 ZA RAIS SAMIA ZAONDOA CHANGAMOTO YA MAJI JIMBO LA HAI Serikali imefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Bil 4.6 kwa ajili ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi katika jimbo la Hai kwa kuboreshaji mradi wa maji wa Hai mjini ,Upanuzi wa mradi wa maji NIre-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…