Kuna watu hawapendi maneno mengi.
Mchi inalalamika kukosekana maji. Cha ajabu Mh Rais anawachekea chekea wakina awesoambao uwezo umeishia pale alipo.
Huyu jamaa kama ilivyo hata tabia za wake zake naye ndio alive ni msanii saniii sana anaweka usanii kwenye maisha ya watu.
Akimuondoa mhalifu...
Waziri wa maji Aweso.
Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi.
Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
Naandika haya malalamiko rasmi kwenda kwa Rais wa Januhuri Muungano wa Tanzania na Waziri wa maji, kuhusu kukosekana kabisa kwa usambazaji wa maji eneo la Tabata kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa
Kukosekana kwa maji kwa muda mrefu kumegusa maisha yetu ya kila siku na kumeunda hatari...
Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa
Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo.
Watu...
Anonymous
Thread
bomba
hakuna majimajimaji safi
mwanza
safi
uhuru
wakazi
MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA
Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
Kufatia kuwepo kwa kero ya muda mrefu ya maji katika wilaya ya Biharamulo moani Kagera, serikali imetenga Zaidi ya shilingi Bilioni 70 kwaajili ya kuanza ujenzi wa maji kutok ziwa Victoria.
Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Mhandisi Ezra Chiwelesa wakati alipokuwa akiongea...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa wa fedha katika sekta ya maji katika Jiji la Mwanza kwani miradi mingi inaendelea na ikikamilika changamoto ya maji itategemewa kubaki historia.
Waziri Aweso ameyasema hayo...
Acheni uongo, nyama ya kuku anayekula majalalani. haiwezi kuwa bora kuzidi anayetunzwa ndani, mlo kamili wa gharama, maji safi na kuhudumiwa kitabibu
Kichwa cha habari chahusika
Niwatakie siku njema
Matendo haya hayaendi pamoja hata siku moja.. Upande mmoja maji yakipwa basi upande mwingine maji hujafa
Maji yakipwa yana faida na hasara zake! Vilevile maji yakijaa yana faida na hasara zake
Tunachoangalia hapa ni matendo yote mawili kuyaweka kwenye mizania. Ni lipi lina hasara zaidi na lipi...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Unyianga kilichopo Kata ya Mtamaa, Manispaa ya Singida tunalia kukosa huduma ya maji safi, ni miaka kadhaa sasa tangu ‘Danganya Toto’ ya kujengewa Tenki la Maji na kuwekwa mabomba ifanyike lakini hadi leo hatujawahi ona maji yakitoka.
Tulijengewa tenki la maji na...
Idara ya maji mkoani mbeya wanaweka kiasi kikubwa cha madawa water guard hadi maji yanapoteza ladha lakini yanaleta madhara ya kiafya kwa watu maana wanaweka muda huo huo na kutumika.
Ukinywa maji hutamani kunywa tena.
Wizara ya Maji
Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua.
Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
DAWASA Wametengeneza Chemba iliyokuwa inamwaga maji taka Ilala Sokoni.
Awali Mdau wa JamiiForums.com alisema, "Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana kutokana na chemba ya maji taka kuziba na kutiririsha maji taka yenye kinyesi barabarani ambapo wafanyabiashara wa soko la mbogamboga na...
Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana.
Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa.
Hakuna taarifa yeyote inayotolewa.
Viongozi wetu wa juu nao kwasasa naona kimya kabisa, zile amsha amsha hazipo.
Basi mtupe hata taarifa tatizo ni nini na maji...
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho mabomba kutiririsha maji ni siku ya jumanne, hadi leo hakuna kitu.
Na hii hali ina karibia mwezi sasa...
Machozi ya furaha yanawatoka wana Butiama baada ya kuletewa mradi wa maji wa Mugango-Butiama, sasa hivi wamesahau kutumia punda kwenda umbali mrefu kutafuta maji. Rais Samia amekuwa mkombozi wao.
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo.
Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla.
Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio.
Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
dar
dar es salaam
dawasa
forums
habari
hatuna
hawana
jamii
jamii forums
jana
kero
kimara
kimara temboni
lini
maji
mbili
tuna
ukosefu
ukosefu wa maji
wakazi
wiki
zaidi ya
zake