maji

  1. GE2025 Waziri Aweso: 'Tufocus' katika miezi hii miwili, kufikia Oktoba wananchi Tabora wapate maji

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewataka Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Maji wa Miji-28 kufanya kazi Usiku na Mchana ndani ya Kipindi cha Mwezi Julai na Agosti, akiagiza wananchi wa Miji ya Urambo, Kaliua na Sikonge mkoani Tabora kuanza kupata huduma ya Maji Mwezi Oktoba mwaka huu. Wakati wa...
  2. Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  3. D

    ARV za kutwa kwenye vyanzo vya maji south afriy

    I will be short South Africa maji ya bomba na mito ni mwendo wa kunywa ARV TU.
  4. Kama ni kujiuzulu,alipaswa afanye hivyo enzi za JPM badala yake alitoa kauli kuwa kipindi cha uongozi wao watashikisha watu adabu,huyo ni mfa maji tuh

    Friends and our Enemies, Muda siku zote huwa ni hakimu sahihi sana wa matendo yetu hapa ulimwenguni. POLE POLE,Enzi za mwendazake kipindi ambacho demokrasia ya Taifa hili ilikuwa gizani,uhuru wa vyombo vya habari ulikuwa mashakani,wafanya biashara walipokawa kifungoni na kutakiwa kuishi kama...
  5. KERO Maji ya DAWASA tabu Kinyerezi, Nakala kwako Mbunge, RC, DC, Waziri na kwako Mh Rais

    - Tatizo hili linaendelea hata baada ya kukamilika mradi wa maji wa tanki la bangulo uliogharimu bilioni 36.8 na maji hamna Kinyerezi. Wakazi wa Kinyerezi wapo katika wakati mgumu maji ya Dawasa yanatoka dakika 30 mara moja kwa mwezi,magari ya maji boza yanauza maji ya chumvi sh 24,000 lita...
  6. GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  7. Maji yalipolowana

    1: Babu yangu mkubwa alizaliwa ETHIOPIA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น 2: Alioa mke kutoka BOTSWANA ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ 3: Akahamia ANGOLA ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด 4: Kwa sababu ya changamoto, alihamia ALGERIA ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ 5: Walimkaribisha mtoto wao wa kwanza nchini BENIN ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฏ 6: Alioa mke wa pili huko BURKINA FASO ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ 7: Alikuwa shujaa, baadaye akaalikwa BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ 8...
  8. Huduma ya maji itakuwa ya uhakika na bei nafuu

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA HADUMA YA MAJI ITAKUWA YA UHAKIKA Hakutakuwa na mgao wa maji hili linawezekana mbona nchi nyingine wameweza hata sisi tunaweza Wananchi wa mjini na vijijini hawatakuwa na haja ya kuweka akiba kama ilivyo nchi zilizoendelea Maji ya bombani yatakuwa hayana haja ya...
  9. D

    Msiogope wauwao mwili peke yake bali mwogopeni Mungu auwaye mwili na roho ,Twendeni kwenye ibada pale pale ubungo maji injili lazima isonge mbele

    Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote! Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha! Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni...
  10. M

    Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  11. GE2025 Dorothy Semu: ACT tunashiriki uchaguzi mkuu 2025 na tutashinda kwa kishindo

    https://www.youtube.com/live/Eoix7OkgELE Updates Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa tunao ushahidi wa kutosha askari polisi alikutwa na rundo la kura...
  12. Jipatie vifaa vya maabara, Reagent za maabara, kemikali za viwandani, Vifaa vya kutibu maji (Water treatment consumables) Kwa bei rafiki

    Kama unamiliki taasisi ya afya, maabara, kiwanda, chuo kikuu, au unahusika na huduma za matibabu ya maji(water treatment)โ€” Alphacia Limited ni chaguo sahihi kwako Tunahusika na usambazaji wa: ๐Ÿงช Reagents za Maabara (Lab Reagents) ๐Ÿ”ฌ Vifaa vya Maabara (Lab Equipment & Instruments) โš—๏ธ Kemikali za...
  13. KERO Responded Wananchi Kawe: Ujenzi wa Kanisa la Mwamposa umetusababishia kukosa Maji na kufungiwa barabara

    Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo. Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
  14. Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili sekta ya nishati na maji

    WATAALAM SADC WAKUTANA ZIMBABWE KUJADILI SEKTA YA NISHATI NA MAJI ๐Ÿ“Œ Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa ๐Ÿ“Œ Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele ๐Ÿ“Œ Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda ๐Ÿ“Œ Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi...
  15. Mashine nzuri ya kuchuja maji (Water filter.)

    Kwema wakuu...! Naomba kufahamishwa Mashine ndogo ya kuchuja maji safi Kwa matumizi ya kawaida nyumbani aina zake na Gharama zake NatanguIiza shukrani
  16. Vita ya Teknolojia: Toyota wamegundua injini inayoendeshwq na maji, hamna haja ya battery wala umeme. Maji TU yatosha

    In a move that will shake up the global auto industry, Toyota has just unveiled a water-powered engine powered by hydrogen created through electrolysis โ€” emitting only water vapor! No lithium. No charging stations. Just pure disruption. With this bold move, Toyota isnโ€™t just competing with EVs...
  17. A

    China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China โ€“ Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  18. M

    Je maji yalitokea wapi?

    Hail the Prince, "Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji." Hivi maji yalitokea wapi? Nielezeni kwa upole
  19. W

    Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  20. P

    Wanatabata tunakudai maji safi pamoja na miundombinu ya barabara

    Wanatabata tunakudai maji safi pamoja na miundombinu ya barabara. Bila shaka mimi siruki ruki.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ