majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kwanini Majaliwa anashangiliwa na Watanzania wengi bila kujali dini wala kabila?

    Kwanini Majaliwa anashangiliwa na Watanzania wengi bila kujali dini wala kabila? kwasababu kwa kiasi fulani watu wanaona kama ameonyesha utu
  2. Samia atosha tukutane2030

    Watanzania wengi hawana akili timamu, Majaliwa wanayemshangilia leo wanadhani hayuko ndani ya mfumo

    Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais. Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri...
  3. Sifi Leo

    Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  4. JanguKamaJangu

    Kassim Majaliwa: Moyo wangu utulie niseme Magufuli alikuwa kiongozi Mzalendo

    Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya uwajibikaji, uaminifu, uadilifu, na upendo. Amesema Hayati Magufuli hakupenda mzaha katika kazi zake na...
  5. M

    Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo

    "Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
  6. Genius Man

    Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  7. U

    Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  8. K

    PostGE2025 Kumbukizi - PM Mstaafu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi, ukilazimisha hautadumu

    === Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. “Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea...
  9. L

    Former Pm - Majaliwa K. Majaliwa (Watanganyika tutakukumbuka)

    Kwa hii Press aliyofanya huyu aliyekupokea kijiti. Hakika wananchi watanganyika TUTAKUKUMBUKA. MUNGU akupe Maisha marefu Mzee wangu. Chao.
  10. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  11. L

    Nani anafaa kuwa Waziri Mkuu kuchukua mikoba ya Majaliwa Kassim Majaliwa?

    Wanabodi, 1. Mh. Dotto BITEKO (Huyu alianza kuandaliwa mapema sana) 2. Mh. Prof. Kitila Mkumbo (Huyu alihusika katika kuandaa Dira ya Taifa na Ilani ya Chama) 3. Mh. Bashungwa (Mtoto pendwa wa Namba 1 ndiyo Waziri aliyehudumu wizara nyingi tofauti tofauti kwa kipindi kifupi sana) 4. Mh. William...
  12. Genius Man

    Hatutanyamaza mpaka wakina Polepole waachiliwe

    Kesho tutakinukisha mpaka wakina Polepole waachiliwe hakuna kufungua huduma zozote tutasimamisha nchi hatutarudi nyuma
  13. JanguKamaJangu

    GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  14. M

    Majaliwa na Mpango ikiwapendeza mjiuzulu haraka

    Ushauri wangu. Hizi nafasi zenu zinaisha ndani ya wiki chache zijazo, mbele ni Giza... Achieni hizo nafasi kama kweli mlikuwa na heshima na Magufuli
  15. B

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushtukiza Kivukoni kukagua hali ya usafiri wa mwendokasi

    02 September 2025 WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHTUKIZA MWENDOKASI AZUNGUMZA NA WANANCHI Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara katika kutuo cha Mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) cha Kivukoni kilichopo Posta jijini Dar es Salaam kukagua hali ya usafiri na usafirishaji kupitia magari...
  16. Roving Journalist

    Kassim Majaliwa: Viwango vya udumavu na ukondevu vimepungua nchini

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022. Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
  17. K

    Kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa

    Hivi kuna mtu anamwelewa Kassim Majaliwa. Ametaka kugombea akakatazwa ! Je kazuiwa na wanamitandao. Kwanini hajawahi kuunga mkono kukemea mambo machafu ya utekaji, unyanyasaji unao endelea ? Je anasusia? Ni Mzalendo au kazidiwa na wanamitandao?
  18. DodomaTZ

    Majaliwa: Elimu ya Watu Wazima ni zana ya maendeleo endelevu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia. ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
  19. Roving Journalist

    GE2025 Kassim Majaliwa: Uchaguzi utakuwa huru wa haki na uwazi, Oktoba tukapige Kura

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wananchi kujitokeza kushiriki uchaguzi kwa kuwachagua viongozi, ambapo amesema uchaguzi huo utakuwa huru, wa wazi na haki huku akitoa rai kwa Wananchi kutopata hofu ya kujitokeza kupiga kura akidai kuwa wasiwe na shaka ya usalama. Ameyasema hayo...
Back
Top Bottom