Swali la kujiuliza ni hili: Je, kweli tutafikia malengo ya maendeleo ya taifa kama mijadala mingi katika Bunge inaishia kwenye masuala madogo kama ujenzi wa vyoo, madawati na majengo ya shule? Hili ni swali muhimu hasa tunapotazama malengo makubwa ya taifa kama yale yaliyowekwa kwenye Tanzania...
Geneva, Uswisi. Kiongozi wa asasi za kiraia nchini Tanzania, Martina Kabisama, ameangazia maendeleo yaliyofikiwa na Tanzania katika kuimarisha haki za binadamu, mshikamano wa kijamii na majadiliano ya kitaifa wakati wa kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kinachoendelea mjini...
Geneva, Uswisi. Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Women in Social Entrepreneurship, Dkt. Astronaut Bagile, ametoa wito kwa Serikali, wadau wa maendeleo, asasi za kiraia na wananchi kwa ujumla kuimarisha majadiliano ya kitaifa na mshikamano wa kijamii ili kuponya majeraha ya kitaifa na kujenga...
Ikiwa ni kweli; Je, viongozi wa Sudan Kusini watajifunza kutokana na historia au watatanguliza njaa zao? Kipindi kile Janjaweed wanawaua Wasudan weusi, wanahistoria wakasema kuwa, Wasudan weusi ndiyo walikuwa wenyeji wa Sudan na ndiyo waliwakaribisha Waarabu lakini mwisho wa siku Waarabu wakawa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
Ilikuwa hivi, tarehe 12 January, wazalendo wa Zanzibar, karibu wote weusi, walichukua silaha za jadi na kuteka ghala la silaha kisha kfanya mapinduzi kuuondoa utawala wa Kiarabu visiwani. Wakiwa wamejaa shamra shamra za mapinduzi walianza kuwachinja waarabu na kufanya mauaji makubwa mengi yasiyo...
24 May 2025
Mahmoud T. Kombo Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania: Sasa Inatosha Majadiliano Kuhusu Umoja wa Afrika, Ni Wakati Murua wa Kuchukua Hatua..
https://m.youtube.com/watch?v=wJscmF_-oEw
Waziri Kombo alikuwa akizungumza leo Mei 24, 2025, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewasiri nchini uturuki kwa ajili ya mazungumzo ya usitishwaji wa mapigano huko Ukraine ambako inatazamiwa kuwa majadiliano yanahudhuliwa na Recep Erdogan
Kando na hayo Rais wa urusi voldmil putin yeye ametumiwa wawakilishi kwa ajili ya mazungumzo hayon na...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025)
Dar es Salaam, 8 Mei 2025
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer…
Majibu ya ChatGPT ni haya..
[Why are older people jealous of sucessful young people?]
===============
Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
1. Gara B achana na events za kujazana ujinga. Nyoosha kiingereza chako ingia dimba za kimataifa (level za Energy Summit).
2. Jifunze kwa moderators wa sessions za huu Mkutano. Kama kichwa si kizito, pambana platforms za kimataifa atatoboa.
Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma.
Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani.
Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
Majadiliano ya kidini baina ya wafuasi wa dini mbalimbali yamekuwa yakijadiliwa sana katika miaka ya hivi karibuni. Wengine wanaamini kuwa haya majadiliano ni muhimu kwa kukuza uelewa, uvumilivu na amani kati ya watu wa dini tofauti. Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa majadiliano haya yanaweza...
Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
Kutokana majukumu ya maandalizi mazito ya kazi za kikatiba kitaifa, kwa mfano ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchini nzima, pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025..
Mambo haya muhimu kwa taifa, yanahitaji muda mwingi wa kutosha kijipanga na kuyaandaa, yanahitaji umakini, utulivu, uangalifu...
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
Na Mwandishi Wetu
NI miaka kadhaa imepita kutoka majadiliano ya uchakataji wa gesi nchini Tanzania yaanze. Mara kadhaa majadiliano hayo yamesitishwa kutokana na makampuni ya kimataifa ya nishati kuwa na matakwa hasi kwa maslahi ya nchi.
Kila kukicha makampuni ya kimataifa ya nishati yamekuwa...
Kwema hapo wakuu
mimi ni mdau wa remote jobs hasa upwork.
Niliona tangazo huko upwork nika apply jamaa kanijibu nikapata kazi. Jamaa alinipa link ya telegram ambo upwork hawaruhusu kufanya ivo cos upwork hawapati chochote kutoka kwangu (upwork wanakata 10% kwa kila kazi ninayo fanya).
Kazi...
Nimemsikiliza sana kwa maakini taarifa ya Mhe. Mpina kuhusu ubadhirifu uliofanywa na Mhe. Mwigulu - Waziri wa Fedha, Mhe. Prof. Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Waziri wa Uchukuzi, na Meneja Mkuu wa TRC Ndugu Kadogosa kwa ubadhirifu mkubwa walioufanya kwenye Mradi wa SGR.
Kama yale...
JINSI MAJADILIANO NA MIJADALA VINAVYOCHANGIA UMOJA NA MSHIKAMANO WA JAMII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika jamii yetu, kuimarisha utamaduni wa majadiliano na mijadala ni muhimu kwa ustawi wa jamii na kushughulikia changamoto za kijamii, kitamaduni, kiuchumi na kielimu.
Makala hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.