maisha

  1. JamiiForums Tanzania Kutoka Ndoto Kuweka Uhalisia: Jinsi Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza Stadi Mpya kwa Kucheza Michezo

    Tuko kwenye zama za kidijitali ambapo michezo ya video haipo tu kwa ajili ya kuburudisha. Zamani, ilikuwa kawaida kuona michezo ya video kama njia ya "kupoteza muda," lakini sasa, teknolojia imeleta mapinduzi makubwa – unaweza kujifunza stadi mpya kwa kucheza michezo! Fikiria hili, wewe...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  3. JamiiForums Tanzania Alan Turing: Baba(pioneer) wa computer za kisasa aliyeishi maisha ya utata kama shoga na kufa kifo tata kilichohusisha ushoga wake

    Alan Turing anachukuliwa kama baba(mwanzilishi) wa computer za kisasa, Muingireza aliyezaliwa mwaka 1912 na kufariki mwaka 1954 katika kifo chenye utata mkubwa akiwa na miaka 41 tu. Huyu ndiye aliyepangilia na kurasimisha nadharia za ufanyaji kazi wa computer za kisasa na pia kutengeneza Turing...
  4. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kumpa Mwanamke anaeweze kuvumilia kila hali ngumu za maisha unazokumbana nazo Mwanaume

    Intro: Bila salamu. Literature Review: Ni kwamba ni ngumu sana kwa mwanaume kumpata mwanamke mvumilivu wa kila hali, hapa nieleweke ninaposema kila hali hususani hali ngumu za maisha yaan ukata, hali ya kutokuwa na kitu mfukoni, umepigwa ukapigika, umepigwa ukapauka ukafubaa, hali ya kukimbiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  6. JamiiForums Tanzania Nimechoka na haya maisha nataka kujiua nipumzike

    Kama nilivyoandika kwenye mada hapo juu, nimekuwa nikipitia magumu kila kukicha baada ya kupoteza mali mke kaniacha sina chochote Nimetengwa na ndg karibia wote hata nliokuwa nawasaidia nimekuwa ni mtu wa masononeko kila kukicha mbaya zaidi connection zangu karibia zote zimepotea Nimepoteza...
  7. JamiiForums Tanzania Low Profile ni Mbinu itakayokusaidia katika mapambano ya Maisha

    LOW PROFILE NI MBINU ITAKAYOKUSAIDIA KATIKA MAPAMBANO YA MAISHA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nilisema, usitafute Wala usilazimishe kuheshimiwa na kîla Mtu. Nikasema, siô lazima kîla Mtu akuheshimu, nikimaanisha siô kîla heshima ni muhimu kwako. Nasema, kîla heshima inakuja Kwa Wakati...
  8. JamiiForums Tanzania Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

    Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yatakosa maana baada ya miaka 20 tu ijayo

    Nikusalimu Ndugu!! Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala. Maisha ya hapa ulimwenguni yameanza KUKOSA maana Lakini ifikapo 2045 takriban miaka 20 ijayo maisha ya mwanadamu...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

    Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
  12. JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

    Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu. Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la: Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dua ninazoomba kila siku katika maisha yangu

    1. Allah aniondoshe katika dunia hii hali ya kuwa umeniridhia 2. Allah aniondishe katika dunia hali ya kuwa sina dhambi hata mmoja 3. Anijalie kaburi langu liwe miongoni mwa mabustani ya peponi na lisiwe miongoni mwa mashimo ya moto wa Jahannam 4. Namuomba Allah anijaalie aniingize katika...
  15. JamiiForums Tanzania Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

    Nimeamua nikazeekee kijijini kwa sababu zifuatazo:- Kule kijijini nitapata hewa safi isiyokuwa na mchafuko Kule kijijini nitapata majirani wema wasiokuwa na choyo Kule kijijini tutakuwa tunatembeleana bila chuki Kule kijijini tutakuwa tunakunywa togwa pamoja Kule kijijini tutapunguza msongo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha: Safari ya kujifunza, kukua na kupata maana

    "Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
  17. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  18. JamiiForums Tanzania Maneno ya busara yenye hekima kuhusu maana na safari ya maisha

    Haya ni baadhi ya maneno ya busara kuhusu maisha: 1. "Maisha ni safari, siyo mbio. Chukua muda kufurahia kila hatua unayopiga." 2. "Changamoto ni sehemu ya maisha; zinatufundisha kustahimili na kukua." 3. "Ushindi wa kweli maishani ni kushinda hofu yako na kuendelea mbele." 4. "Maisha yana...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google. Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha...
  20. JamiiForums Tanzania Umejiandaa vipi na maisha ya uzeeni (Retirement)?

    Wana jamvi uzima na afya uwe kwenu nyote. Hapa siongei na wavulana na vijana wa hovyo. Bali naongea na vijana na watu wazima wenye kujitambua haswa. Ni ukweli pasina shaka kuwa maisha ya ujana yanapita upesi sana. Kama usipojiwekea malengo ya huko mbeleni utaishi maisha ya tabu sana. Wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…