maisha

  1. JamiiForums Tanzania Toka Mchamba Wima hadi Iran, nahitaji kwenda kutafuta maisha

    Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa mke nioe ili niweze kupewa ukaazi wa kudumu. Ikiwa wale walioenda marekani, canada na uk wameoa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  3. JamiiForums Tanzania Mkoa nitakaoweza kutoboa kimaisha kirahisi kati ya Dar na Mwanza nikiwa na mshahara wa laki 5 na point

    Ndugu zangu Mimi ni mtumishi wa umma, mshahara wangu ni kati ya laki 5 mpaka 6 kwa mwezi nikiondoa makato na Kodi Hivi Sasa naishi kwenye mkoa wa kawaida kutokana na location ya ajira , hivyo kutokana na ugumu wa maisha minaokumbana nao hapa ikiwa ni pamoja na kukosa kitu cha ziada cha kuongeza...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Alichofanyiwa huyu askari wakati wa uchaguzi jana kitampunguzia ari ya kipolisi maisha yake yote

    Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa! Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao) Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura! Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ni vile wewe umeamua kuishi. Ukisema kuanzia sasa sitavaa nguo ya mtumba mpaka kifo chako itakuwa hivyo

    Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana. Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017. Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchaguzi umekwisha maisha yaendelee

    Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
  7. JamiiForums Tanzania Tumuombee dua Prof. Janabi aishi maisha marefu, kinyume chake mafundisho yake yatapuuzwa, Taifa litaangamia kwa vitambi

    Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha. Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa maisha

    Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa Maisha. Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
  9. JamiiForums Tanzania Fomula Zinazouendesha Ulimwengu: Uchambuzi wa Msingi wa Fomula 17 Zilizobadilisha Maisha Yetu

    Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi, fomula zimefungua milango ya uvumbuzi wa sayansi, teknolojia, na hata maisha yetu ya kawaida. Lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌

    Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea... Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
  11. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume. Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
  12. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  13. JamiiForums Tanzania Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  14. JamiiForums Tanzania Haya maisha mazuri sana

    Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu Wakati naingia...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha bila ya kuingia JF

    Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Maisha maeneo ya Sinza

    Wakuu habari By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza). Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi. Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo 1. Sinza Kivulini 2. Lufungila hadi kwa mama ngoma 3...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha ya Tundu Lissu Kisiasa ni Kuunda Chama Chake cha Siasa. Napendekeza Jina: United Front for Democracy (UFD)

    Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema. Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
  20. JamiiForums Tanzania Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…