maisha

  1. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Waliobaka wamefungwa maisha, je aliewatuma nini kinaendelea. Haki ngumu sana!

    Nawaza tu kama wale jamaa wamefungwa maisha kwa kubaka Vipi aliewatyma?? Na kama bado yupo mtaanj mmejipangaje kumlinda yule dada aliefwanyiwa usheenzi Nawaza tu kama aliewatuma watuwake wameenda maisha Usalama wa yule dada ukoje??
  3. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu mkiambiwa hamna utu na wake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha yaendelee?

    Ndugu zangu.. Japo wanaume tuna mioyo migumu ya kuvumilia kila jambo ila hakuna kauli inayouma na kujeruhi sana kama kuambiwa huna "UTU" na mkeo Sasa . Hivi nyie wezangu mkiambiwa hamna utu na wake au wanawake zenu huwaga mnafanyaje ili maisha ya endelee maana mimi naona na karibia kukata...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinafichwa sana kwenye maisha ya wasanii wa bongo unachoamini kwa asilimia 100 kipo?

    Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo. Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki Nusu ya wasanii wanavuta weed Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
  5. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  6. didy muhenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia vigezo gani kumtambua Mwenza wa maisha?

    Wakuu tunaomba mtupe tips za kujua kua huyu ndo mwenza wako wa maisha yaan mke bora au mume bora. Vijana tumechoka ubachela sema tunaogopa sana ndoa emu tupeni mafunzo kidgo tusije kupigwa za kichwa kwenye ndoa.
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kifungo cha maisha kwa wabakaji waliotumwa na afande siyo habari njema

    Hii sio good news ever. Labda huelewi. Kifungo cha maisha/Life sentence (L.S) haitawafundisha kitu hawa vijana. Kwanini nasema hivi. 1. L.S hawafanyi adhabu nje ya ngome ambazo ndio ngumu kumrekebisha mhalifu. Wao ni watu wa ndani tu kula na kulala. Wanaohukumiwa adhabu chini ya kifungo cha...
  9. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Inaweza kuwa ni igizo lakini furaha ya maisha ni pale unapokuwa sababu ya kutabasamu kwa mwingine

  10. Mr No fair

    JamiiForums Tanzania Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha zifuate

    Hatua Muhimu za Kufanikiwa Kiuchumi katika Maisha Kufanikiwa kiuchumi kunahitaji mchanganyiko wa mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mipango, ujuzi, na mtazamo sahihi. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo unaweza kuchukua: ### 1. Elimu na Ujuzi: Elimu ya juu: Ingawa si lazima kwa kila...
  11. nipo online

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji wa maisha ni mjini wa kijijini wapi rahisi kufanikiwa?

    Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao. Kabla sijaanza harakati zangu namimi nikahamia mjini gafla, Leo nimewaza kua sijui nirudie tena japo hata kwa...
  12. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Vijana wa 1980's tunaelekea kuwakana mastaa tuliokua nao, tuliiga kila aina ya maisha waliyoishi, hatukujua ya sirini

    Siku zinakwenda namkumbuka Tupac Amar Shakur 2Pac msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki wa hip hop,Alijitokeza sana kuhamasisha vijana na jamii kuhusu masuala ya kijamii na kisiasa,Nyimbo zake nyingi ziliangazia ubaguzi wa rangi,umaskini, na ukosefu wa haki za kijamii,je angekuwepo hai...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Ikitokea leo Simba ikashinda au ikatoa sare naenda kuwin hii milioni 46 siku ya leo maombi kwa Simba

    Timu yangu ya mwisho iliyobaki kwenye mkeka wangu wa timu 25 ni simba iakiamua kuniua sawa siku ya Leo maombi yangu napeleka kwenye hii klabu ya simba sijui ilikuaje mpaka nikaiweka kwenye mkeka asiee maana siiamini maana hivi itatoboa kweli hii timu ya watani zangu
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Ila Watanzania tulio wengi tuna maisha magumu sana!

    Nasikitika sana kuona hii hali mtaani, yaani mtu ananishangaa kuona naweka vocha ya elfu kumi naweka bando la mwezi mzima😭😭, nimesikitika mno, tena sana. Hali ya maisha huku mtaani ni ngumu. Sasa jirani zangu kila nikionekana wanaomba tu salio la kupiga kwa wapendwa wao. Kwa kweli wakati...
  15. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Viungo vitatu vinavyoharibu maisha ya wanaume wengi

    Karibu... 1. MDOMO Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
  16. Brojust

    JamiiForums Tanzania Sema maisha yanaenda kasi sana, hivi ni kweli iPhone 16 Promax kwa hapa bongo ni 6,800,000/=

    Salaam wakuu! Nimeambiwa na nikaenda kwa vendor mmoja akaniambia kabisa iPhone 16 promax 1TB ni milioni sita na laki nane za kitanzania. NB; Najua hapa kuna comment zinakuja na wataniambia "tafuta hela dogo" Unapata wapi nguvu ya kununua simu milioni saba kasoro na huna professional yoyote...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha ni jambo la kusadikika halipo kiuhalisia na sijawahi kuliona na halitatokea

    Kiuhalisia kabisa hakuna kitu kinachothibitisha UGUMU WA MAISHA! Hili ni jambo la kufikirika tu ambalo viumbe na wanadam waliamua kuyabatiza maisha! Binadamu kaumbwa na akapewa mazingira ayatawale! Sasa unaposema MAISHA Ni MAGUMU mimi huwa simuelewi Magumu kwa kuyalinganisha na yepi? Binadamu...
  18. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Kijana fahamu na ishi kwenye kusudi lako

    Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo. Ni kama tunaiba hii...
  19. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Miji ya Kesho: Jiji Lako Litakuwaje Miaka 10 Ijayo?

    Hebu tafakari kidogo – miaka 10 ijayo, jiji lako litakuwaje? Unafikiria majengo marefu zaidi? Magari yanayopaa? Well, sio mbali sana na uhalisia! Sasa hivi, tunazungumzia smart cities – miji ambayo inatumia teknolojia kuboresha maisha ya kila siku ya wakazi wake. Naamini umeona dalili za awali...
  20. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hivi ni vitu ambavyo sitakuja kuvimiliki kwa maisha yangu yote

    1. Bunduki 2. Vilipuzi vya aina mbalimbali 3. Sumu za aina mbalimbali 4. Sitafuga nyoka wa biashara (sumu ya nyoka ni biashara nzuri) 5. Sitafuga nge kwa ajili ya biashara 6. Sitafuga samaki aina ya Bunju 7. Sitafuga aina yoyote ya kasa
Back
Top Bottom