maisha

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Je, Kweli Umenasa au Umezoea Hali Ulionayo? Tafakari Kuhusu Maisha na Mabadiliko

    Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

    1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada. 2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako. 3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu. 4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo 5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Usiwe pumziko la mtu aliyecheza na maisha yake

    Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora. Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko. aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake...
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Natafta Room yakuanzia maisha bukoba

    Habari Wana JF Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏 Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa 🙏🙏
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

    Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja. Kuna wengine hata uhakika wa msosi hana lakini huwezi kuona wanatetereka. Ramadan ikifika wengi hulegea na wengine hujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso. Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nin?
  9. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tunaishi au Tunapona? Maisha na Changamoto za kila siku

    Poop! Funika, funua... Ngoja niwafunulie! Wadau wa JF, poleni na pilika za maisha, njooni tusimuliane! Leo nimekuja na bango lenye swali moja: "Tunaishi au tunapona?" Maisha yetu ni kama bati la nyumba—linapopigwa na mvua, linatoa sauti, lakini halilia. Tunatembea barabarani tukitabasamu...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

    Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface. Alivutia sana watalii pale...
  11. A.MTALE

    JamiiForums Tanzania Kisa katika sehemu ya maisha halisi

    Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?. Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja. Kisa katika moja ya maisha halisi ya A.Mtale. Wakati nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza huko Dodoma niliajiriwa na shirika moja...
  12. Gengis Khan wa Jf

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  13. puker

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

    Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana. Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kupata tobo la maisha ruksa kuwavimbia wabaya wako

    Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa . Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu . Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba ...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Wakuukwanza niseme nakushukuru sana kwa JamiiForums haswa inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyojiunga sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka nikajikuta najiahidi kujileta kwako Kitu niligundua tangu nikufatilie ni uko very so down to earth not...
  16. Mr Ballo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  18. Millennium bahati

    JamiiForums Tanzania Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
  20. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
Back
Top Bottom