maisha

  1. JamiiForums Tanzania Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

    Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji. moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
  2. JamiiForums Tanzania This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
  6. JamiiForums Tanzania Nimegundua kwenye maisha, maumivu yapo kukupa funzo

    Iwe kwenye MAHUSIANO Iwe kwenye Biashara Uwe kwenye elimu Iwe kwenye ajira KAZI nk. Maumivu yapo kukufanya ukomae, Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
  9. JamiiForums Tanzania Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

    Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo. Kero kuu za maisha ya bachela: 1. Hakuna mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini, Rais Ruto ametoa amri niuliwe

    Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

  15. JamiiForums Tanzania Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

    Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano, -Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu maisha yangu na mke wangu. Mimi ni muislam

    Ukweli. Baada ya mzee magu kutangulia mbele ya haki kipato kiliyumba. Ukweli ni kwamba mzee yule alimuweka kila msomi na mtumishi alipostahili. Nilimpata nafasi ofisi ya umma yenye kipato na posho za wastan. Wife alifurahia maisha, anapoona hali sio nzr anakuwa hayuko kwenye Ibada, hali ikiwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini maisha ni Ubatili?

    “Kwa nini maisha ni ubatili” ni la kina sana—ni swali ambalo watu wengi mashuhuri wa falsafa, dini, na roho wamejiuliza kwa maelfu ya miaka. Hapa kuna majibu kwa mitazamo mbalimbali: 1. Mtazamo wa Biblia – Kitabu cha Mhubiri Katika Biblia, hasa kwenye Mhubiri 1:2, inasema: Maana yake ni...
  19. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuanzia maisha au ya kulindia kiwanja

  20. JamiiForums Tanzania Ni vipi kama mwisho wa maisha yako kwenye sayari hii ndio mwanzo wa maisha kwenye sayari nyingine?

    Labda Mtu unaweza kujiuliza kama kuna sayari nyingine,na pia basi ujiulize kama ulitambua uwepo wa sayari hii kabla kuzaliwa?. Kuna wakati unaweza kudhani labda maisha ni mlolongo usioisha au kumalizwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…