maisha

  1. JamiiForums Tanzania Ni somo gani umejifunza katika maisha

    Hell Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
  2. JamiiForums Tanzania Be real ,usi-fake maisha

    Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao. Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike. Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko...
  3. JamiiForums Tanzania Its okey ni maisha yako ndugu, lakini hauwezi nishawishi kidume nivae vipensi vifupi vya kubana mapajani alafu vina rangi mara ya pink sijui dhambarau

    YANI MWANAUME UNABANA MAKALIO NA MAPAJA🤡🤡 Kuna wakati wanawake waliwafukuzia wanaume katika fashion zilivyo za kiume, Ila leo vijana wa kiume sasa ndio wanafukuzia kuvaa fashion za kike. Hawa ndio wale wanakujaga na nyuzi humu wanaandika "wakuu mke wangu ananigombeza kama mtoto, nifanyeje?"...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

    Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako. Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
  5. JamiiForums Tanzania Aina gani ya gari inafaa kuanzia maisha?

    Enheeeh wajomba naombeni msaada ni aina gani ya gari nafaa kuanzia maisha kama kijana mwenye mshahara wa 2M? Nilijichanga nikafikisha kiasi fulani nataman kupata gari ila nawaza aina ipi ya gari itafaa na yenye less service n maintenance. Kuna fundi aliniambia Nissan Dualis nilipozifuatilia...
  6. JamiiForums Tanzania Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

    Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli Jitambue.
  7. JamiiForums Tanzania Kuna nyuzi ziliwahi kutrend humu hadi zikageuka kama mfumo wa maisha watu fulani lakini kama ulivyo upepo yakapita na kuisha

    Wale jamaa na uzi wao wa kunywa mikojo yao ya asubuhi ili washinde bet za milioni 200 na watu walikunywa kwa kweli maana sisi waafrika na mambo ya kufikirika,🤣🤣🤣 Uzi wa Ontario na victims wake , kila mtu alitaka atengenezee pesa akiwa amekaa chumbani kwake kilichotokea wanajua🤣🤣 Nyuzi za yule...
  8. JamiiForums Tanzania Haya hapa Mambo Ambayo yanaweza kuharibu maisha Yako yote na jinsi ya kuyaepuka

    Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote. Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka. 01.Ulevi wowote...
  9. JamiiForums Tanzania Kila unapomsaidia mwanamke, hakikisha unamdinya kwanza. Vinginevyo, what goes around, goes away

    Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
  10. JamiiForums Tanzania Eti jamaa anatabiriwa kuwa asilimia 44 ya maisha yake ataishi "nchi za america". Tazama video

    Mi naona haina haja ya kulaumu wanabii uchwara maana wanatumia fursa ya waliokubali ujinga kama huu uwatawale
  11. JamiiForums Tanzania Mama anapunguza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma mabenki wao wanaongeza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma hili lakuangaliwa

    Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi walikuwa na asilia 13% 14% Baada ya mama kuanza angalia maslahi ya watumishi benki sasa asilimia zao...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha yenye raha si bora kama hayana amani

    Siku moja, panya wa mjini alisafiri kwenda kumtembelea rafiki yake, panya wa shambani. Panya wa shambani alimkaribisha kwa furaha, akamletea chakula alichokuwa nacho – mbegu, mizizi, na vipande vya mihogo. Ingawa si vya fahari, alitoa kwa moyo mkunjufu. Lakini panya wa mjini alipoonja vyakula...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa hivi maisha hayachangamishi tena; mbadala ni nini?

    Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  16. JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wasiofuga na kulima ndio uona maisha ni magumu

    Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu. Kwa wale wasiolima na...
  18. JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  19. JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  20. JamiiForums Tanzania Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

    Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…