maisha

  1. Aina za Watu Wanaoweza Kukuchosha Ukiwa nao kwa Muda Mrefu: Mafunzo ya Maisha Katika Mazingira ya Kitanzania

    Katika maisha ya kila siku, tunalazimika kuishi, kufanya kazi, au kushirikiana na watu wa kila aina. Wapo wanaotutia moyo, wanaotufanya tucheke hata tukihisi kuzidiwa na mzigo wa maisha; lakini pia wapo wanaotuchosha kwa maneno yao, tabia zao, au hata hulka zao ambazo, kwa dakika chache tu...
  2. Sina Furaha Na Maisha Yangu

    Mambo! hope you good Sina furaha na maisha yangu kabisa nimekuwa mtu mwenye mawazo mengi sana kuna time natamani hata nisiwepo duniani niendee kukaa mbali kabisa Majukumu niliyonayo, (ninayopewa ni mazito kuliko umri wangu nimeanza kutafuta katika umri mdogo sana namshukuru mungu nimelelewa na...
  3. Mwanasiasa ukifeli siasa kaa kwa utulivu

    Utangulizi Katika historia ya siasa, kuna dhana hatarishi inayojitokeza mara kwa mara miongoni mwa baadhi ya wanasiasa, dhana ya kutafuta huruma ya wananchi kama njia ya kuficha udhaifu wao wa kisiasa. Wanasiasa hawa, baada ya kushindwa ama kwa kukataliwa kwenye sanduku la kura, au kwa kuonekana...
  4. Kwa Nini Wengi Hawahoji Maisha? – Safari ya Kifalsafa, Kisaikolojia na Kihistoria ya Udadisi wa Akili ya Binadamu

    Je, binadamu aliwekwa duniani kuishi tu kama mnyama mwingine yeyote—kula, kulala, kuzaa, na kufa bila kuuliza chochote? Je, maisha haya ni mkusanyiko wa matukio yasiyo na maana, au yana lengo ambalo linapaswa kuchunguzwa kwa undani? Hili ni swali la msingi ambalo kila binadamu anapaswa...
  5. Hapo nyuma nilidhaniaga wema na unyenyekevu ndio silaha ya mafanikio na aman katika maisha ila AGGRESIVENESS ndo funguo ya huu mpango mkakat wa maisha

    Wema na unyenyekevu ni vya kumfanyia baba na mama, mjomba na shangazi, bibi na babu. Ila system endelevu za maisha hazijatengenezwa kwa ajili ya mtu alio fair bali zimetengenezwa kwa ajili ya mtu alie fit. Tofauti na hapo utabaki kunung'unika na kulaani, kwamba iweje upole na fairness...
  6. Je, una kiwango cha kuridhika kwenye maisha yako au you just want it all?

    Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji. moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko mdogo, ni kauli ya tafuta hela ili uishi vizuri, ule bata uwe kati ya watu wanao ishi na sio wanao...
  7. This is a fact of life: Maisha ni fumbo gumu. Ishi leo yako ukiwa hapo, ipo kesho utakuwa mahali pengine. Amri moja nawaachia - Pendaneni..!!

    PICHA HII ILIPGWA JANUARI MWAKA 2010. UNAIKUMBUKA...? Wa kwanza kulia (waliokaa) ni Prof.Idris Mtulia, aliyekua Mbunge wa Rufiji. Anayemfuatia ni Prof.Mark Mwandosya wakati huo akiwa Waziri wa maji na umwagiliaji. Anayemfuatia ni aliyekua mkuu wa wilaya hiyo Bw.Kassim Majaliwa...
  8. Jinsi ya kuwa na bahati kwenye maisha yako

    Bahati mara nyingi huonekana kama jambo lisilotabirika, lakini kuna mambo ya kiroho, kiakili na kimatendo unayoweza kufanya ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kupata bahati. Hapa chini ni njia mbalimbali za kuimarisha "bahati" yako: --- 1. Badilisha Mtazamo wako Amini kuwa una bahati –...
  9. Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  10. Hivi ikitokea mdaiwa wa HESLB hajawahi kuajiriwa mpaka maisha yake yote anazeeka lile deni inakuwaje?

    Naomba majibu wakuu kuna mtu wangu wa karibu hajawahi kuajiriwa huu mwaka wa 22.
  11. Nimegundua kwenye maisha, maumivu yapo kukupa funzo

    Iwe kwenye MAHUSIANO Iwe kwenye Biashara Uwe kwenye elimu Iwe kwenye ajira KAZI nk. Maumivu yapo kukufanya ukomae, Usiogope kuumia unaandaliwa kiwa Bora kesho
  12. Jinsi ya Kuwa na Consistency na Focus Katika Biashara na Maisha ya Kawaida

    Katika ulimwengu wa leo wenye kelele nyingi, vishawishi kila kona, na presha ya kila siku, kuwa na focus (umakini) na consistency (msimamo) imekuwa kama superpower. Watu wengi wananza vitu vizuri, lakini wachache sana wanavimaliza. Wachache zaidi huwa consistent mpaka mafanikio yaje. Ukweli ni...
  13. B

    Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
  14. Kero za Kubaki Bachela – Maisha ya Kuazima Furaha kwa Wengine!

    Wakuu Nimerudi tena na hawa kataa ndoa, nimekaa nikaangalia maisha ya mabachela (na mimi nimewahi kuwa mmoja wao), nikagundua kuwa kubaki hujaoa kwa muda mrefu ni kama kujitesa. Maisha ni ya muda, ya kubahatisha, ya kuomba msaada kwenye kila jambo. Kero kuu za maisha ya bachela: 1. Hakuna mtu...
  15. Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  16. Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini, Rais Ruto ametoa amri niuliwe

    Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
  17. Mabadiliko 7 ya Mtazamo Yanayoweza Kubadilisha Maisha Yako

    Mafanikio yako yanategemea sana mtazamo wako. Wazo hili nililipata katika uzoefu wa Richard Yu. Alikimbia China ya Kikomunisti, akaanza maisha upya Marekani (yeye na wazazi wake), na baadaye akajenga biashara kadhaa zenye mafanikio—ikiwemo online school (shule ya kidigitali). Safari yake...
  18. Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  19. Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

  20. Ingia kwenye ndoa pale unapokuwa tayari kwa ajili ya maisha ya ndoa

    Wapo baadhi wanaoingia kwenye ndoa kwa sababu flani amaeoa/kuolewa, yani hajui kwanini ameingia kwenye ndoa. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ndoa kuvunjika kwa sababu mbalimbali kwa mfano, -Kijana anaamua kuoa lakini unakuta bado ana tabia za mvulana yani bado hawezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…