maisha

  1. JamiiForums Tanzania Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

    Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  4. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda resi aisee ati mda si mrefuu chawa nawe anakuwa na chawa wakee..niongezee sautii??

    Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine Usiunderestimate machawa kabisaa Mda si mrefu soon tutaonaaa Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa Aisee maisha punguza kesii ukoresi sana
  5. JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  7. I

    JamiiForums Tanzania MacBook Air au MacBook Pro? Ipi Inafaa kwa Kazi Zako Mwongozo wa Kitaalam Kabisa wa Kuchagua Kulingana na Kazi, Bajeti na Mtindo wa Maisha

    Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?" Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
  8. JamiiForums Tanzania Chamillionaire: Ridin Dirty na Maisha nje ya Muziki

    They see me rollin' They hatin' Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty Tryna catch me ridin' dirty Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya yalikuwa ni kama wimbo wa dunia haswa sehemu za disco, aliyeimba wimbo huu wengi wanamfahamu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu mtaani

    Wazee kila tunachofanya hakiendi mzunguko wa pesa ni mdogo saizi imefikia wakati kula milo miwili ni shida inabidi mchana mpige pas ndefu ili mle usiku Watoto shule ni taabu tupu kila siku nauli sijui hela ya chakula huku mwenye nyumba anadai kodi kwakweli ni taabu tupu Wazee mwenye mchongo...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    Take Note.
  11. JamiiForums Tanzania "Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

    Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii . Hoja zao ni zile zile Amani ikipotea tutaseka. Tuilinde Aman yetu . Kuna Maisha baada ya Uchaguzi. Wapumbavu Wakubwa Nyinyi ,msokua na Haya ,majizi na wazandiki ,mifilisi ya Nchi hii Maisha...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo ni Birthday yangu, miaka 25 sina mtoto wala uelekeo wa maisha

    Nilikuwa sina hili wala lile, ghafla sms kutoka Voda ikaingia kwa simu na kunikumbusha kuwa leo ni Bday yangu Kwa furaha nikatoka ndani ya chumba changu na kusimama nje ya nyumba ya Mzee Matula, nikapiga kelele kwa sauti kuu "Happy Birthdaaaaay to meeeee". Ile kugeuka nyuma nashangaa majirani...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara kama ya kuuza shuka unasubiri mpaka mtu awe anaanza maisha

    Mtu mzima akianza kuishi gheto au kwake ananunua shuka mara moja Tu hizo labda mpaka Miaka mitatu ndo aongeze nyingine hio biashara kichaa sasa yaani mpaka usubiri mtu aje kuanza kazi mkoani kwako
  14. JamiiForums Tanzania Hii imetokea kijijin kwetu kabisaa maisha magumu sanaa

  15. JamiiForums Tanzania Halima Mdee huyu ni Binti niliyempenda katika maisha yangu.

    Halima Mdee nilimfahamu akiwa tayari amejiunga na CDM ni mwanamama nilimpenda sana japo hajui. Miaka flan huko nilijiunga na chuo flan dodoma lengo nimuone Kwa ukaribu. Kuna wakati alikuwa akinunua matunda sehemu flan Dodoma na mimi nikasogea kununua matunda wakati sikuwa na bajeti nayo...
  16. JamiiForums Tanzania Mungu Mmoja Katika Vipengele Vitatu: Baba, Mwana, na Roho

    Mjumbe Wa Nafsi Za Watu Kwanza, tuanze na jambo la msingi. Watu husema “Mungu ni mmoja,” lakini maandiko ya Kikristo yanasema Yupo katika sura tatu: Baba, Mwana na Roho Mtakatifu. Hii siyo hesabu ya kawaida. Si rahisi kama kusema moja + moja + moja = tatu. Bali ni fumbo la maisha lenye maana...
  17. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maisha ya watoto wa familia ya Benito Mussolini baada ya kifo cha baba yao 1945?

    Unafahamu kilichowapata watoto wa Benito Mussolini baada ya kifo chake? Je, walibeba mzigo wa makosa yake? Baada ya kuuawa kwake mwaka 1945, watoto wa Benito Mussolini waliishi maisha yenye mashaka na huzuni tele. Ingawa wao wenyewe hawakuwa wahalifu kama baba yao, walijikuta wakibeba mzigo...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maisha magumu mpaka nimemuuliza mke wangu kama ana boyfriend atukopeshe

  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtume Paulo hakuingia katika mahusiano kwa maisha yake yote.

    Kuna mambo mawili hapa ya kuthibitisha kuwa mtume hakuwahi kuwa katika mahusiano: #1. Paulo alisema wazi kabisa kuwa alikuwa mseja (1Kor. 7:7-8). Aliandika mafundisho mengi kuhusu ndoa mara nyingi sana - lakini kamwe hakuwahi kuandika kuhusu yeye mwenyewe kuwa katika ndoa. Katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…