maisha

  1. JamiiForums Tanzania Salim Himidi katika picha, katika mazungumzo

    SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika. Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa la waliokata tamaa maisha, ila hakuna namna mpaka mitano ikatike

    Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama. Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya. Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha...
  3. JamiiForums Tanzania Kipi cha kufanya kwa kijana anayeanza maisha?

    Habari za muda huu watanzania wenzangu Kati ya 1.kufuga ng'ombe wa maziwa na kulima mazao ya bustani pemben yake eg.Hoho,chinese,pilipili etc (location ni pwani au Dar) 2.Kufanya uwakala wa mobile money mpesa,tigopesa etc 3.kufungua duka la dawa baridi za binadamu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Misukosuko ya maisha tunatoka nayo mbali sana

    Wakuu, kiukweli maisha yetu tunatoka nayo mbali sana, kuna kipindi unakua unapita katika njia ya maisha mpaka unahisi kama hiyo njia umepotea vile. Kiukweli siwezi kusahau pindi nikiwa kwenye hekaheka za kutafuta kazi nilipeleka barua yangu ya maombi ya kazi kwenye kampuni moja maarufu hapa...
  5. JamiiForums Tanzania Ofisi za ngazi ya kata, Tarafa na, wilaya tabu sana

    Habari za wakati wakuu. Mimi nimejifunza jambo, Nimetembelea karbuni ofis nyingi apa nchini kuanza na ofis za Chini yaan kata,Tarafa, Wilaya, Mkoa mpaka zile za ngazi ya juu, nilichojifunza watu wanaoishi ktk ofis za Kuanzia kata, Tarafa, Wilaya Hawa watu hawpo charming kwa mteja wao ni watu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu

    Habari za mida wana JamiiForums. Naomba nami nitoe kisa changu cha maisha cha kweli. Kifupi nimelelewa na wazee wangu, nimesoma kwa tabu sana, ila kwakuwa nilikuwa vizuri darasani nilitoboa kila nilipopita. Nimemaliza chuo kikuu nikarudi home, nikaajiriwa na kampuni binafsi kwa mkataba wa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

    Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani. Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani. Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki. Je...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

    Niaje wakuu, Nataka kuhamia Rwanda, shughuli zangu ni za kimtandao kwahiyo swala la kazi halina shida naweza ku-survive popote. Mambo yakoje huko kuhusu maisha ya kawaida ya kila siku, warembo, burudani, usalama nk?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mtu akikamatwa akizoa mafuta kwenye lori la mafuta lililopata ajali afungwe kifungo cha maisha jela

    Naomba bunge litunge sheria ya kifungo cha maisha jela kwa mtu yeyote atakayekamatwa akizoa mafuta yanayomwagika kwenye lori lililopata ajali. Sheria hii itapunguza madhara yanayotokana na malori ya mafuta yanapopata ajali. Tusitumie nguvu nyingi sana, tutumie sheria tu hii itasaidia sana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Furaha ni nini? Nitaipataje furaha?

    Habari wanabodi Mimi ndugu yenu naishi maisha ya kawaida tu, ashukuriwe muumba nina kipato cha kuweza kubadili mboga na kadhalika, naamini nimependelewa kuliko wengi wanaonizunguka, sitaki kujikweza lakini si haba (ashukuriwe aliye juu). Naishi maisha ya kawiada (common man life), tatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufanikiwa maisha haya?

    Habari zenu wanajamvi, wakubwa zangu shikamoni! Katika maisha haya yanayoenda kasi tofauti na karne ya 19 na 20, suala la kutoboa linahitaji kuwa na akili ya kujiongeza sana na mengine mengi. Katika kufanikiwa kimaisha kuna mambo mengi sana unayafanya, lakini kuna moja tu utalifanya, basi ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli ya maisha yangu

    Kisa cha kweli kilichompata rafiki yangu. SEHEMU YA KWANZA Umasikini ulikua chanzo cha mimi kugundua mapema kabisa tofauti iliyokuepo kati ya baba na mama yangu, Nililala na baba na mama yangu chumba kimoja hadi nilipoanza darasa la kwanza hapo ndipo uhalisia ukauzidi nguvu ukimya wa kuzuga...
  13. JamiiForums Tanzania TCRA rungu lao lingekuwa linafika Kenya, wangeifungia Citizen maisha

    Hawa ndugu zetu Wakenya naona wameamua kuishika Serikali yetu sharubu kwa kutuita “Hamnazo”
  14. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Niliwahi kutembea kwa mguu kutoka Posta mpaka Goba baada ya kukosa nauli

    Hakika maisha yana changamoto. Miaka 6 nyuma nikiwa katika harakati za kutafuta kazi Dar es salaam nikitokea mkoa nakumbuka nimewahi kuswaga mguu Posta- Goba baada ya mfuko kukosa mia 4 ya daladala. Hii ilijitokeza mara nyingi tu. Unatembea mpaka unajiona huna akili au hauko katika hesabu ya...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanafunzi apoteza maisha baada ya kupigwa kichwani na Mwalimu

    Wazazi waliokuwa na hamaka walivamia shule ya msingi ya Gitithia eneo bunge la Lari wakitaka kukamatwa na kuzuiliwa kwa mwalimu aliyemtandika mwanafunzi ambaye baadaye aliaga dunia. Mwanafunzi huyo aliyetambuliwa tu kama Wambui anasemekana alipigwa kichwani na mmoja wa walimu wakati alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali fungeni shule na vyuo kuokoa maisha

    Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao! Covid haina madhara makubwa kwa vijana na watoto, wanaugua na kupona tena bila dawa za maana. Tatizo ni kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Tuliowapa dhamana ya kulinda maisha yetu wameyaweka rehani?

    Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na Nircamf amabayo inawakereketa kohoni Hii yote ni baada ya Maalim Seif (Rip) ambae anaweka...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wakili Musa Rajabu Mfinanga afariki dunia baada ya kupata Changamoto ya Upumuaji

    By Mchambuzi kupitia Twitter: TANZIA 👉Wapendwa nasikitika kutangaza kwamba rafiki yangu wakili msomi Musa Rajabu Mfinanga ameaga dunia leo kwa changamoto ileile Tafadhali tuchukueni hatua. Poleni wanasheria wote na mhimili wa mahakama.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha nyie acheni tu, Mzungu mwenyewe hapa alichoka kabisa

    Unajua sisi tumekua katika mazingira ambayo kuna vitu huwa tunaona vya kawaida kumbe sivyo. Yaani tunaamini ndio ilivyo kwa watu wote. Yale maisha mfano watu walikuwa wanalalamika kuwa bei ya sukari kuna kipindi imepanda nikawashauri badala ya kununua sukari wawe wananunua Asali ndo nzuri...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, kweli tangu awamu ya tano iingie madarakani gharama za maisha hazijapanda? Kuwa na huruma kwa Watumishi wa Umma

    Ndugu zangu wana JF, majibu ya PM Kassim Majaliwa yanashangaza sana na kutia ukakasi. Majibu aliyotoa kwa mbunge wa Konde kuwa kuongeza mishahara huongez gharama za maisha ni fedheha kubwa kwa watumishi wa umma. Hivi PM Majaliwa tokea umekuwa waziri mkuu wa Tanzania unataka kusema kuwa gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…