maisha

  1. I

    SoC01 Wasafiri wawili

    ISMAIL MAYUMBA Watu wawili wakiwa wameianza safari ya baharini, wakiwa kwenye jahazi na safari yao ikigharimu miaka yao tisa katika kuishi. Sio kama awali bali saivi bahari ina machafuko na vimbunga vya kila aina na mawimbi yanayotisha. Ikafika kipindi wakaanza kusikia njaa na kwa bahati...
  2. Karibuni Dar es Salaam wageni mnaokuja kutafuta maisha na kufanya biashara

    Dar ni jiji ninalolifananisha na Jikoni kwa Tanzania hii, nadhani wote tunajua sifa ya jiko ni mahali panapoandaliwa na kupikwa vyakula vyote tunavyovipenda na tusivyovipenda. Dar ni mkoa ambao naupa heshima ya kupafananisha na jiko kwasababu ni mkoa ambao ni chanzo cha kila kitu. Ukitaka ma...
  3. SoC01 Mambo ya kuzingatia kabla ya kuhamia Dar es Salaam

    Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapaka na Bahari ya Hindi. Jiji...
  4. SoC01 Hekima: Ufunguo Halisi wa Utajiri

    Dunia inatangaziwa kutatokea mafuriko baada ya siku tano. Dalai Lama anawaambia waumini wa Kibudha inatakiwa wafanye tahajudi (meditation) na wasubiri kuzaliwa upya (reincarnation). Papa anawaambia waumini wa Kikatoliki duniani kutubu dhambi zao na kuomba. Lakini Mwalimu wa Kiyahudi (Rabbi)...
  5. Poleni vijana mnaofikiria kuwa na pesa utapata mapenzi ya kweli

    "Kijana tafuta pesa" ndio kauli utasikia vijana wengi wakishauriana.... Na pia wanawake mkiona nyuzi humu vijana wanapigizana kelele watafute pesa ili wawapate mnajiona mpo juu....lakini ukweli ni kwamba.... Wanaume wenye pesa wengi wao wanatumia nguvu ya pesa na wanakinai papuchi haraka...
  6. S

    Ukosefu wa ajira, ugumu wa maisha na Katiba Mpya ndio vitakavyoiondoa CCM madarakani

    CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani. Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
  7. Kilio Cha tozo za miamala ni ushahidi kuwa wananchi wanakaribia kuzisahau tofauti zao za kisiasa dhidi ya maisha Yao.

    Wanasiasa someni alama za nyakati, kaeni chonjo saa mbaya. Tozo kubwa kwenye miamala ya simu imekwenda kufuta mstari muhimu sana kwa wanasiasa unaowatenganisha watanzania kwenye itikadi za vyama vyao vya siasa. Hakuna wanaCCM wala wapinzani kwenye tozo za miamala ya simu. Hii sio ishara njema...
  8. Z

    SoC01 Biashara na mafanikio katika maisha

    1.BIASHARA. 2.MAFANIKIO KATIKA MAISHA. 3.HITIMISHO 1.0.BIASHARA. Kuna aina mbalimbali za biashara na aina ya ufanyaji biashara zinazoweza kukukuza kiuchumu. Katika andiko hili litakuonyesha ni nini ufanye ili biashara yako iwe na mafanikio makubwa. 1.1. Kupata soko la biashara yako. Watu wengi...
  9. Je,Ni kweli kuwa matajiri Wengi hawa enjoy maisha?

    Niliwahi kusikia mahali kwamba heri masikini na watumwa wao ndo hawanaga stress kama boss eti kwamba matajiri wanateseka sana japo wana hela lakini haziwasaidii kupata furaha Wala kupata usingizi mzuri wala kuwa na amani ya moyo naombeni tu kujua kama ni kweli au ndo zetu maskini kujipaga...
  10. Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu

    MZEE RUKHSA SAFARI YA MAISHA YANGU Leo nimeingia Maktaba nikawa naangalia makala ambazo nimeandika kuhusu mambo tofauti ya serikali wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi. Kilichonifanya nifanye hili ni kule kusoma sehemu za kitabu cha Mzee Mwinyi na katika kusoma huko kukanikumbusha...
  11. SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
  12. Maisha haya! Nimetolewa vyombo nje na mwenye nyumba

    Nimetolewa vyombo vyote nje sasa hivi mzee mwenye nyumba kashindwa kunielewa; amefungia vyeti, redio na vitu vyangu vya muhimu. Hapa nataka niende kwa kiongozi wa mtaa.
  13. Maisha mapya baada ya kuvunjika kwa mahusiano

    Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
  14. Maisha yalivyokua kabla ya Miamala

    Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao. Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
  15. Sisi vijana wa Kusini mwa jangwa la Sahara tuwe na nidhamu (self discipline) kwenye maisha

    Kwa utafiti ambao sio rasmi unaonyesha vijana wa kusini mwa jangwa la Sahara wanaongoza kuishi maisha yasiyo ya ndoto zao binafsi naunga mkono hoja hiyo nikiwa Mimi na marafiki zangu Kama mifano halisi. Katika maisha yangu nilitamani siku moja kuwa mhandisi wa mitambo lakini sasa ni mlinzi...
  16. Waheshimu wazazi uchelewe kufa na upate baraka za maisha

    Habari wana jukwaa! Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi" Mtoto alimjibu mama yake "Mungu hawezi kuwa na sisi tumeshajaa tayari kwenye gari labda akae kwenye buti" Huyo mtoto...
  17. Visa vya Bima: Wenye magari wanayachoma moto ili walipwe

    Watanzania wengi wamekuwa na uelewa mdogo kuhusu masuala ya Bima na wengi wao wamekuwa wakitafsiri Bima kama kujiongezea gharama za maisha kwa kukatia Bima.
  18. Natafuta kazi nijikimu kimaisha

    Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
  19. Maisha ndani ya Manga Kissa: Internet Café za ajabu nchini Japan

    Manga ni riwaya picha (Kwa Kiingereza comics au graphic novels) zenye mtindo wake wa kipekee kutokea nchini Japan. Manga ni maarufu sana nchini humo kiasi kwamba kuna mamia ya maktaba zilizojaa Manga tu. Maktaba hizi huitwa Manga Kissa Manga Kissa nyingi ziko karibu na vituo vya treni...
  20. Ushauri kwa wanaotaka kuanza maisha mbali na wazazi

    Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali. Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa. Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…