maisha yako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  2. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  3. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  4. Aaliyyah

    JamiiForums Tanzania Watoto wako walibadilisha vipi maisha Yako...!

    Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba japo baba hakuuwa msimuliaji nzuri NB Visa nilivopata Kwa muda tofaut tofaut mara nying nilikuwa...
  5. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania TKZ 2025: HESHIMA kwa Wazazi ni Lazima na Muhimu katika Maisha yako

    Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba mtu mwenye mafanikio ni yule anayewaheshimu Wazazi wake. Mtu anayewaheshimu Wazazi wake, haishii...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania As Man unataka kuwa na furaha 2025 na kipindi chote cha maisha yako kilichobaki basi code ni hizi

    Code ni simple tu Love yourself first afu mengine yafuate. 1. Kula vizuri 2. Vaa vizuri 3. Fanya mazoezi 4. Tafuta pesa
  7. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Brooo wekeza kwenye maisha yako sio wanawake

    asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye ndoa au mahusiano ndo maan ni rahisi kwa mwanaume tajiri kumuoa au kuwa kwenye mahusiano na mwanamke...
  8. vnn

    JamiiForums Tanzania Nimegundua ni upumbavu kuweka maisha yangu rehani tena kisa CHADEMA!

    Haya ni maoni yangu binafsi, Mimi nimekua mkereketwa wa Chama hiki nikiamini kua ni chama cha ukombozi, nimekua nikishiriki harakati japo kwa ngazi ya chini, tukipiga kura. Tunabaki kulinda kura, nimeshawekwa mahabusu kwenye uchaguzi mdogo wa ubunge mwaka 2009 enzi hizo akina zitto bado wako...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  10. Daudi Kempu

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi ya kujiuliza na Kutafakari ukiwa hujui ufanye nini na maisha yako

    1. Ni shughuli zipi zinakufanya ujisikie hai zaidi? Yaani ni jambo gani ukilifanya unaishi ndani ya kulifanya, hata kama halikupi hatua kubwa kulifanya tu kunakupa amani ya ndani? 2.Ndoto zako za utotoni zilikuwa zipi? Binafsi utotoni nilikuwa na ndoto ya kuwa mwanajeshi, ila kila...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

    Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine. Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja. Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
  13. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote

    Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
  14. Bonge La Afya

    JamiiForums Tanzania Mtaa Ndio Unaokupa Hatima ya maisha yako

    Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuanguka ghorofa Kariakoo; Kuridhika au kutoguswa na upuuzi unaohatarisha maisha yako ni kushiriki kujimaliza mwenyewe.

    Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground. Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
  16. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Watu watano muhimu katika maisha yako

    Huyu ni mtu ambaye anakusaidia wakati yeye mwenyewe anataka msaada,yani kuna watu ambao wao wenyewe hali zao ni za mashaka lakini bado wana moyo wa kutoa,kama wewe ni mmoja wapo ubarikiwe sana Mtu ambaye anawapuuza watu wengine kwa ajili yako,yani watu wengine wanampa maneno ya uchochezi au...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukioa mikoa ifuatayo maisha yako lazima yawe mazuri mbeleni

    Mikoa ifuatayo ndio una wanawake unavoweza fanya nao maisha 1.Kilimanjaro 2.Iringa 3.Kigoma 4.Mara 5.Mwanza Ruksa kukosoa nakaribisha maoni. Mapendekezo... Ushauri Aya twende🏃‍♂️
  18. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  19. Joshua Simon

    JamiiForums Tanzania Kijana fahamu na ishi kwenye kusudi lako

    Kijana wa miaka 23 anajua nini Cha kufia. Kwenye maisha, lazima ujue nini kusudi lako. Lazima ujue nini unaweza kukifia ama nini kinakufanya uishi. Kwakweli wengi wetu tunapumua tu. Tupo hai si kwa kusudi lolote, ni basi tu oxygen inajipitisha mbele yetu na tunapita nayo. Ni kama tunaiba hii...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jipe raha mwenyewe usipojopa raha maumivu n sehemu ya maisha yako

    Sio kila mtu anapenda kukuona ukifanikiwa. Tumezungukwa na watu wenye roho mbaya wakiuliza lini utaanguka maisha yako Usipotawala utatawaliwa. Usipotafta raha machungu yatakuwa mtaji wako ukiwa na maumivu ni furaha kwao Mateso yetu kwaoo n sikukuuu Kuanguka kwetu n shangwe usiku mzima kwenye...
Back
Top Bottom