Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

Nihurumie Asuu wangu, iwapo nimekukosea

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,131
Reaction score
33,902
Wanawake na vijana wa siku hizi, huwa mnaombaje msahaha kwa wapenzi / wenza wenu. Njooni mnipe mbinu zenu mpya za 2025.

Sisi mabinti wa zamani, ukiona umekosea unatafuta kale kanight dress kako kepesi unakavaa halafu unafunga kitenge juu. Akirudi toka kazini anakuta umempikia chakula chake pendwa.
Wajomba zenu walikua wanapenda kuangalia taarifa ya habari kila usiku, unampakulia chakula halafu unakaa na wewe kwenye kochi kitenge unapandisha juu kidogo anaona paja kwa mbali na ule mtelezo wa night dress.

Ukisimama kutoa vyombo, kitenge chako ulichokilegeza kinaanguka bahati mbaya, inabaki nightdress tu na hauna pichu ndani. Basi unainama mbele yake, unakiokota halafu unakifunga tena juu ya kifua unamtolea vyombo, unaenda jikoni.

Dakika si chache utasikia, mama fulani naenda kulala, hauji?
Hapo, kwisha habari yake, msamaha uliobaki unaombea kifuani huku anagugumia kama beberu.

season 1 starz GIF by Blunt Talk.gif

Haya wadada na vijana, na nyie tuambieni siku hizi mnafanyaje?
 
Uzito wa kosa na aina ya msamaha ni vitu vya kuzingatia......

NB:Kuna mbinu ukitumia utawapa bure gharama ndugu zako kukodi ma-coaster👌👌👌
 
Mimi unichiti wazi wazi 😂😂😂 alafu unizungushie taarabu sebuleni wallahi serikali watajuta kunikabidhi hili chuma lao😂😂
Vile nimecheka 😂 hayo makosa makubwa makubwa, maombi ya msamaha wake yanakuwaga mkubwa pia.

Mfano mie anakuja na gia ya "Ulisema unataka kumfanyia mama mkwe ukarabati kidogo pale nyumbani, milioni tano hiyo hapa mama fanya utakayoweza."

Unafikiri nitasemaje 😂😂😂?
 
Kuna mmoja nakumbuka alikuwa na heshima sana yule binti maskini ya Mungu kosa kidogo tuu atakimbilia kwao kumchukua mama yake aje muombee msamaha😂😂😂

Siku katikati ya usafi alidondosha PC akavunja kioo nashangaa jioni narudi Nakuta ugeni mzitoo badala ya kuwa na hasira Nilienda chumbani kucheka pekeangu😂😂😂
 
Eti ukaenda kucheka peke yako 😂 😂 mwenzako kiroho juu juu.
Sasa naye alikua hakujulii, akuombaje msamaha mpaka amlete mama yake?
 
Back
Top Bottom