mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Chakula: Kichocheo cha kuimarisha mahusiano mazuri ya familia

    Familia bora ni ile ambayo inayoishi kwa upendo na amani, lakini ili ubora huo utimie wanafamilia wanahitaji muda wa kukaa pamoja na kuzungumza mustakabali wa maisha yao. Familia inayotajwa hapa inajumuisha wazazi yaani baba na mama, pia watoto ambao wamejaariwa kuwa nao. Lakini kutokana na...
  2. JamiiForums Tanzania Mahusiano yawe yanashake umjue aliyeyaingilia na anakuzidi kila idara

    Ukianza kuambiwa mtu yuko busy, hakuna aliye busy kiasi cha kusahau ubavu wake. Hata awe safarini kabla ya kulala atatafuta muda wa kukujulia hali. Mwenza akikosa muda kabisa wa mawasilianao mmh kuna alikoanza. Sasa unabahatika kukutana na huyo mtu watatu katika mapenzi yenu. Umkute...
  3. JamiiForums Tanzania Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Siri yakumaliza ugomvi ndani ya mahusiano.

    Tumejaribu kuwauliza wazee kwanini walifanikiwa kwenye mahusiano. Akatokea bibi mmoja akatuchana live. Akasema Mara nyingi akina Dada wanafunga benki zao za pale kati wakati akina kaka tupo tayari kila wakati kupeleka hela zetu lakini tunakosa Huduma nakwakawaida sisi tuko tofauti sana kila...
  5. JamiiForums Tanzania Madoa matatu yanayo chafua mioyo ya Mama zetu na kuwa acha kuwa watu wapweke zaidi na kwa kipindi kirefu zaidi ya Baba zetu.

    Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu alieumba ulimwengu, kwani mama ndie binaadamu anaechukua nafasi kubwa zaidi katika kuja kwetu duniani...
  6. JamiiForums Tanzania Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

    Akiwa na urafiki na mwanaume Kipindi mmekosana/mmenuniana Kipato cha mwanaume kikipungua. Uwepo/awapo amesafiri Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
  7. JamiiForums Tanzania Hitaji lako ni nini katika mahusiano?

    Good morning, guys! Kuna siku ukiwaza na kutafakari kwa nini upo katika mahusiano utajikuta umeshapoteza muda wako, pesa zako na hata kupoteza muelekeo wa maisha kwa mtu ambae hujui kwa nini ulikuwa nae wala kwa lengo gani? Katika kizazi cha leo ukiondoa mapenzi au NGONO, katika mahusiano...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji Mahusiano ya kujivunia

    Kwa jina naitwa pol kjna wa miaka 24 ni muhitim wa chuo kikuu.,kitu kilichonivuta niandike katka thread hii ni uitaj wa mschana mwny mapnz thabt ,kuna msemo usemao "every successful man there is women behind" kiuklwl kwny mnpz dhat yalio na equal interests btn both side ni mazur sana, before...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Sintosahau za mahusiano

    Natumai hamjambo wanajukwaa, kila mmoja wetu kapitia matukio kadhaa katika mahusiano ambayo ni ngum kuyasahau, hivo nivizuri tukashare ajili yakujifunza. Upande wangu nilikua nakasumba ya kumfuata mpenzi wangu kwao kila tulipokua na miadi ya sex, bt siku hiyo nilipitiwa usingizi hivo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanaume kuomba msamaha kwenye Mapenzi ni udhaifu

    Mapenzi yana nguvu sana hasa kama Hujawahi kuumizwa, lakini katika Makosa yote mtu hasa mwanaume anaweza kuyafanya kwenye mahusiano bhasi ni KUOMBA MSAMAHA kwa kosa ambalo sio lako ili mradi tu usimpoteze mwanamke ulienae ni Uboya wa kiwango cha lami. Omba msamaha kwa kosa ulilofanya sio manzi...
  11. JamiiForums Tanzania Kaanzisha mahusiano mengine akiwa na mimba

    Wakuu habari ya asubuhi. Moja kwa moja niende kwenye mada, huyu mwanamke nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, kuna wakati alishika ujauzito, tukakubaliana kulea mimba hiyo, basi tukalea mpaka ilipofika miezi mitatu ndio balaa likaanza, yeye kutaka tuachane. Kuna siku alikuja...
  12. JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anayekupenda, ila hawezi kukuambia

    Kumekuwa na imani potofu kwa wanawake kwamba hawawezi kumwambia ukweli mwanaume anampenda kwanza mpaka mwanaume aanze lakini ukweli usiopingika ni kwamba wao pia hupendi na mara nyingi wao wakianza kupenda hupenda kweli kufikia stage hata ya kuhisi kuumwa. Hizi ni dalili za mwanamke anaekupenda...
  13. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha baadhi ya mahusiano kudumu na mengine kutodumu?

    Mahusiano ya kimapenzi huwa na mazuri pale mwazoni, wengine hudai kuwa unavyoanza mahusiano mapenzi mwanzo ndivyo hukua. Je, ni kwanini baadhi ya mahusiano ya mapenzi huvunjika na mengine hudumu daima? Je, umewahi kujiuliza “Kwa nini ni uhusiano wetu una shida sana? Mambo yalikuwa mazuri sana...
  14. JamiiForums Tanzania Usimchukulie poa mtu ambaye humfahamu

    Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa. Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ushawahi kutongozwa na Shoga? Yamenikuta leo wakuu

    Nipo zangu facebook juzi kwanza nikaona messeji inbox inaanza na "hi" kucheki nikaijibu baada ya muda huyo mtu akatuma friend request nikaona ni rafiki tu kama marafiki wengine nimechat nae anaanza kuniita " my" nikamuuliza we chalii una maana gani akasema oooh hakuna shida. Nikahisi huyu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanawake

    Mwanamke unaweza kupika chakula gani cha Tsh 1000 mkashiba wewe na mumeo? Wanaume tuangalieni majibu hapa ndo pa kupata wa kuoa.
  17. JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na Marekani (2)

    Hii ni sehemu ya pili katika muendelezo wa makala inayohusu uhusiano baina ya taifa tajiri na lenye nguvu duniani, Marekani na moja kati ya mataifa masikini duniani, Tanzania. Katika makala iliyopita niligusia kwa juujuu, maeneo ambayo uhusiano ulikuwa mzuri, hasa kwenye huduma za kijamii...
  19. JamiiForums Tanzania If a woman has sex with a man, his DNA lives in her forever

    -If a woman have sex with a man, his DNA lives in her forever. A research by university of Seattle USA has proven that. There is now a greater understanding of why God asks us not to have sex before we get married. This research proves that any man, that a woman has sex with leaves a part of...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila nikitongoza nakataliwa?

    Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI! Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali 'outing' huwa wananipa Majibu mabaya yaani wananikatalia. Nimewahi kusikia mabinti hawanitaki eti nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…