Inafikirisha sana, sisi wanaume tumekuwa tukimaliziwa vipato vyetu na hawa warembo tunaowapenda au kuwatamani.
Imekuwa ni kawaida, ili upate huduma na heshima ni lazima ugharamikie kwa namna yoyote ile; iwe kwa fedha,mali, nafasi n.k.
Kuhonga kumekuwa hakuepukiki, wengine maendeleo yetu...